Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
- Thread starter
- #21
Inaonekana ni hivyo.Ni watu.Robot lisingetoka mwishoni kifaru kinapomalizikia kuungua na kukosa mwendo.Yaonekana ni watu,kuna watu wanaonekana wakiruka baada ya kulipuliwa,
Hawa askari wa vifaru hivi ndio wale waliolalamikiwa na Ukraine kuwa sasa Urusi inatumia askari wake wenye uzoefu na utaalamu zaidi kutupiga. .Hao ndio wale waliokula viapo vya kijeshi na kukaa na ujuzi wao pengine tangu wajiunge na jeshi bila kuutumia. Pale vifaru vimepangwa kwenye mstari unapewa amri moja,....mbili....tatu ....Ondoa !. Ukitekeleza kule mbele unaweza ukaripuliwa ukafa au ukavuka na kufika nga'mbo ya pili,Lakini ukikataa amri unauliwa moja kwa moja.Uchaguzi wa kishujaa wa mwanzo ni bora kuliko kupigwa risasi au kupigwa na nyundo za kupasulia mawe ambazo Prigozin anazo.