Vita ya vifaru kule Vulhedar/Bakhmut ishara ya ushujaa wa Urusi

Yaonekana ni watu,kuna watu wanaonekana wakiruka baada ya kulipuliwa,
Inaonekana ni hivyo.Ni watu.Robot lisingetoka mwishoni kifaru kinapomalizikia kuungua na kukosa mwendo.
Hawa askari wa vifaru hivi ndio wale waliolalamikiwa na Ukraine kuwa sasa Urusi inatumia askari wake wenye uzoefu na utaalamu zaidi kutupiga. .Hao ndio wale waliokula viapo vya kijeshi na kukaa na ujuzi wao pengine tangu wajiunge na jeshi bila kuutumia. Pale vifaru vimepangwa kwenye mstari unapewa amri moja,....mbili....tatu ....Ondoa !. Ukitekeleza kule mbele unaweza ukaripuliwa ukafa au ukavuka na kufika nga'mbo ya pili,Lakini ukikataa amri unauliwa moja kwa moja.Uchaguzi wa kishujaa wa mwanzo ni bora kuliko kupigwa risasi au kupigwa na nyundo za kupasulia mawe ambazo Prigozin anazo.
 
Nakuona USA wa buza [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 

Us kwenye vita ni habari nyingine mzee! Kule Syria mamluki wa Wagner pamoja na askari wa Syria walijaribu kushambulia base ya Wamarekani kwenye mji khasham.

Kipigo walichopata ilibidi watubu tu.
 
Ukisema Ukraine 🇺🇦 Hajaumia una maanisha nini?
 
Us kwenye vita ni habari nyingine mzee! Kule Syria mamluki wa Wagner pamoja na askari wa Syria walijaribu kushambulia base ya Wamarekani kwenye mji khasham.

Kipigo walichopata ilibidi watubu tu.
Labda inabidi usome tena historia ya Syrian civil war
Ongezea na ya Afghanistan na Iraq

Halafu uje uoneshe u habari nyingine wa USA 🇺🇸 kwenye vita
 
Kumbe umeona kama nilivoona,yani wambele yako kifaru kimelipuliwa alafu nawewe unatafuta upenyo usonge mbele zaidi,hawa ni binadamu kabisa na sio roboti, nimeiona kadhaa baada ya mlipuko wanaluka
 
Sijaelewa mleta mada anasifia Russia Kwa kuwatoa askari wake kafara,,au anasifia jinsi waukraine walivyowatembezea mkong'oto askari wa urusi. ,Aliyeelewa afafanue tafadhari [emoji16]
 
Kama vile iraq afghanstan vietnam ilikua masaa tu eti
 
Umejaribu kuzingatia vikwazo alivyowekewa Urusi na support anayopata Ukraine kutoka NATO na EU? Je, unajua US walishindwa kumtoa Assadi pale Syria sababu ya support ya Russia? Tuweke ushabiki pembeni twende kwenye reality.
 
Siku Russia akishambuliwa nyumbani naenda kulala bar na kufanya sherehe hapa Picnic ARUSHA nimetenga elfu 50000 mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…