Vita ya vifaru kule Vulhedar/Bakhmut ishara ya ushujaa wa Urusi

Katika vita hua Kuna hatua Fulani inafikiwa,
Mfano.
Ili kufika mahala Fulani ama kufikia malengo Fulani,
Ni ama mkubali kupoteza idadi kubwa ya askari na silaha na kisha kufikia malengo,

Ama kuepuka kupoteza idadi kubwa ya askari na vifaa lkn na hamtafikia malengo.

Bila kufikia malengo usumbufu mkubwa utatokea siku za mbele.
 
Ukraine ndo kaumia na ataendelea kuumia....nchi yote imechomwa...hakuna hasara ya maana Russia kapata zaidi ya wanajeshi kuuawawa....Ukraine anaisha
 
Hivi unapumulia machine ukiwa wapi au ni kaka mkuu wa Milembe University? Aliyekwambia ktk hii vita urusi inaitaka Kiev ni nani? Yaani huyo US na UKubwa wake nae kajikusanya kwenye kikundi kinaitwa NATO ili kujilinda dhidi ya Russia halafu wewe njomba NCHUMARI unabisha? Ngoja Russia aendelee kuyafumua hayo mabwabwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…