cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi mnayoooo.Yarabi nafsi, na Enzi hizo ndio za jiwe mtu kazi sikwambii hii Leo kwa mama wa kipemba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi mnayoooo.Yarabi nafsi, na Enzi hizo ndio za jiwe mtu kazi sikwambii hii Leo kwa mama wa kipemba
Wazungu wanao msemo wao maarufu usemao "nionyeshe rafiki zako ili nikwambie tabia yako", wakimaanisha kuwa kama ukiwa na marafiki shoga na wewe upo uwezekano mkubwa ni shoga vilevile au huuchukii ushoga hata kama wewe sio shoga.
Baba yangu alikuwa sheikh mkubwa lakini alikuwa na marafiki zake wengi ambao ni wachungaji, mapadre na wakristo ambao walikuwa wanamtembelea hadi nyumbani na wakati mwingine alikuwa anawaomba fedha za kujengea au kumalizia kujenga misikiti mbalimbali.
Tabia hii ya baba ilisababisha baadhi ya watoto wake kuolewa na kuoa wakristo bila kipingamizi kutoka kwa baba, yaani hakuona kama haiwezekani kabisakabisa mtoto wake kubadili dini na kuwa mkristo.
Tanzania tunapokea misaada na mikopo mingi kutoka "nchi rafiki" zetu ambazo wanaamini ushoga ni haki ya msingi ya mtu, na tunajisikia vizuri sana kuwa na marafiki kama hao wanaotusaidia fedha za kukwamua maendeleo yetu.
Binafsi sioni kama tunao uwezo wa kuwaambia kwa dhati na kwa moyo wetu wote marafiki zetu hawa kuwa ushoga kwetu hapana kwa sauti kubwa na ya mamlaka kwa kumaanisha.
Kama una rafiki shoga lazima na wewe nyuma ya pazia na off-camera unakubaliana na tabia hiyo. Kama hutaki tabia ya mtu furani lazina ukae nae mbali yeye na hata vitu vyake, vinginevyo utakumbana na msemo ule wa baniani mbaya kiatu chake dawa.
Kama tumedhamiria kupambana na ushoga kwa dhati na kwavitendo LAZIMA tukatae marafiki mashoga au wanaoamini kwenye ushoga. Kwenye hili nchi zote zinazoona ushoga sio sawa hazina budi kuzigeuzia mgongo nchi za magharibi hata kama kwa kufanya hivyo tutakosa mengi sana, yaani ni ile wachumi wanayoiita "opportunity cost".
Yaani tuchague kati hasara na faida za ushoga vs hasara na faida za kukosa misaada kutoka nchi za mashoga. vinginevyo tusidanganyane kuwa kuna kiongozi wa siasa mwenye mahusiano na nchi za magharibi anaepinga ushoga.
hakuna nchibya Africa inayoweza kujitegemea kwasasa.... so acha unafiki!Ongeza sauti wasikie hadi viziwi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wewe endelea kuf*rwa na wanao ni jambo jema kwako, lakini sisi wenye akili tunajua kuwa unapomchukia mwizi lazima uchukie na vitu vyake alivyoviiba. Hawa jamaa wanawafundisha watoto wetu ushoga. Watoto wetu wadogo wanafundishwa polepole culture ya ushoga na vilainishi vinasambazwa kabisa. Yaani wanaiwahi jamii yetu kule kwenye mizizi kabisa (watoto na vijana). Kumbuka kuwa tabia inaanza kwa kusikia, kisha kuona, then kujaribu na mwisho tabia kamili. Vijana wetu wanasikia sana kuwa ushoga uko Marekani na mikopo na misaada iko marekani pia. Yaani kama ushoga uko marekani na misaadayetu inatoka marekani hiyo inaitwa pairing ambayo Pavlov aliita Classical conditioning (Stimulus-Response relationship) kwenye kujifunza au kwa jina lingine tunaita "stick and corrote". Baada ya ushoga kukubalika na kukolea sawasawa kwenye jamii yetu wanapunguza na kuondoa misaada na mikopo na utabakia ushoga tu. Kumbukeni kuwa Kuna kiongozi wa afrika aliwaambia watu wake zaeni tu tuwe wengi, maana watu wengi ndio uchumi wenyewe, wazungu walimind na sijui kama huko hai hadi sasa. Gadaffi alitaka kuwaamsha waafrika juu ya rasilimali zao, hatunae sasa.Msiwasingizie wazungu kwa ujinga wenu wa kupeana vifiro.
Kuna mzungu alikuja kukushikia matako ufirwe??
Mambo mengine bhana! Ujinga mtupu!
Wazungu wanao msemo wao maarufu usemao "nionyeshe rafiki zako ili nikwambie tabia yako", wakimaanisha kuwa kama ukiwa na marafiki shoga na wewe upo uwezekano mkubwa ni shoga vilevile au huuchukii ushoga hata kama wewe sio shoga.
Baba yangu alikuwa sheikh mkubwa lakini alikuwa na marafiki zake wengi ambao ni wachungaji, mapadre na wakristo ambao walikuwa wanamtembelea hadi nyumbani na wakati mwingine alikuwa anawaomba fedha za kujengea au kumalizia kujenga misikiti mbalimbali.
Tabia hii ya baba ilisababisha baadhi ya watoto wake kuolewa na kuoa wakristo bila kipingamizi kutoka kwa baba, yaani hakuona kama haiwezekani kabisakabisa mtoto wake kubadili dini na kuwa mkristo.
Tanzania tunapokea misaada na mikopo mingi kutoka "nchi rafiki" zetu ambazo wanaamini ushoga ni haki ya msingi ya mtu, na tunajisikia vizuri sana kuwa na marafiki kama hao wanaotusaidia fedha za kukwamua maendeleo yetu.
Binafsi sioni kama tunao uwezo wa kuwaambia kwa dhati na kwa moyo wetu wote marafiki zetu hawa kuwa ushoga kwetu hapana kwa sauti kubwa na ya mamlaka kwa kumaanisha.
Kama una rafiki shoga lazima na wewe nyuma ya pazia na off-camera unakubaliana na tabia hiyo. Kama hutaki tabia ya mtu furani lazina ukae nae mbali yeye na hata vitu vyake, vinginevyo utakumbana na msemo ule wa baniani mbaya kiatu chake dawa.
Kama tumedhamiria kupambana na ushoga kwa dhati na kwavitendo LAZIMA tukatae marafiki mashoga au wanaoamini kwenye ushoga. Kwenye hili nchi zote zinazoona ushoga sio sawa hazina budi kuzigeuzia mgongo nchi za magharibi hata kama kwa kufanya hivyo tutakosa mengi sana, yaani ni ile wachumi wanayoiita "opportunity cost".
Yaani tuchague kati hasara na faida za ushoga vs hasara na faida za kukosa misaada kutoka nchi za mashoga. vinginevyo tusidanganyane kuwa kuna kiongozi wa siasa mwenye mahusiano na nchi za magharibi anaepinga ushoga.ushoga na uovu Mwingine Ni SAWA tuuu.
Mzazi utalea vipi mtoto wako? asiende kanisani na msikitini? asiende shuleni na vyuoni? Mchungaji, maalim, mwalimu na waumini wenzake ndio waliobeba vilainishi kwenye majuba yao, ataponyoka vipi kwamfano? Mwanao ndio hapendi utajiri miongoni mwa wenzake wote, ndio hapendi kwenda Marekani kwa Greencard au scholarship? ndio hapendi ndinga kali? hebu kuwa seriousHiyo vita inapaswa kufanyika ngazi ya familia. Kama unaacha watoto wako wanalelewa na TV na dada wa kazi huku wewe ukiwa bize kutafuta pesa basi usipigwe butwaa watakapoishia kuwa na tabia za ajabu ajabu.
Serikali kupambana na ushoga ni dalili za ujinga na matumizi mabaya ya rasilimali, kwa maana ni sawa na kufukuza upepo. Itakamata wangapi? Itakuwa inawasakama huko kwenye faragha zao? Si kupeteza tu muda na rasilimali! Alafu wakikamatwa wanapelekwa wapi? Gerezani? Si ndio wataolewa kabisa 🤣🤣
Mzazi lea watoto wako! Acha kuendekeza mambo ya kibeberu na uzungu uzungu wa kijinga nyumbani kwako.
Hachana na Afrika tuizungumzie Tanzanania yetu....Unaijuishaje Tanzania inayojikongoja na mataifa mengine yaliyokwisha kupiga hatua?.Ongeza sauti wasikie hadi viziwi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani kama Taifa kulishakuaga na vita serious ya hii kitu?Wazungu wanao msemo wao maarufu usemao "nionyeshe rafiki zako ili nikwambie tabia yako", wakimaanisha kuwa kama ukiwa na marafiki shoga na wewe upo uwezekano mkubwa ni shoga vilevile au huuchukii ushoga hata kama wewe sio shoga.
Baba yangu alikuwa sheikh mkubwa lakini alikuwa na marafiki zake wengi ambao ni wachungaji, mapadre na wakristo ambao walikuwa wanamtembelea hadi nyumbani na wakati mwingine alikuwa anawaomba fedha za kujengea au kumalizia kujenga misikiti mbalimbali.
Tabia hii ya baba ilisababisha baadhi ya watoto wake kuolewa na kuoa wakristo bila kipingamizi kutoka kwa baba, yaani hakuona kama haiwezekani kabisakabisa mtoto wake kubadili dini na kuwa mkristo.
Tanzania tunapokea misaada na mikopo mingi kutoka "nchi rafiki" zetu ambazo wanaamini ushoga ni haki ya msingi ya mtu, na tunajisikia vizuri sana kuwa na marafiki kama hao wanaotusaidia fedha za kukwamua maendeleo yetu.
Binafsi sioni kama tunao uwezo wa kuwaambia kwa dhati na kwa moyo wetu wote marafiki zetu hawa kuwa ushoga kwetu hapana kwa sauti kubwa na ya mamlaka kwa kumaanisha.
Kama una rafiki shoga lazima na wewe nyuma ya pazia na off-camera unakubaliana na tabia hiyo. Kama hutaki tabia ya mtu furani lazina ukae nae mbali yeye na hata vitu vyake, vinginevyo utakumbana na msemo ule wa baniani mbaya kiatu chake dawa.
Kama tumedhamiria kupambana na ushoga kwa dhati na kwavitendo LAZIMA tukatae marafiki mashoga au wanaoamini kwenye ushoga. Kwenye hili nchi zote zinazoona ushoga sio sawa hazina budi kuzigeuzia mgongo nchi za magharibi hata kama kwa kufanya hivyo tutakosa mengi sana, yaani ni ile wachumi wanayoiita "opportunity cost".
Yaani tuchague kati hasara na faida za ushoga vs hasara na faida za kukosa misaada kutoka nchi za mashoga. vinginevyo tusidanganyane kuwa kuna kiongozi wa siasa mwenye mahusiano na nchi za magharibi anaepinga ushoga.
hakuna nchibya Africa inayoweza kujitegemea kwasasa.... so acha unafiki!
Ghadafi alianzaga ila wakammaliza mapema!
Colonialists wanajua sana mzee!
hatua zipi? maana Kuna kupiga hatua kuelekea nyumbani kwako na kupiga hatua kuelekea porini waliko fisi na mbweha.Hachana na Afrika tuizungumzie Tanzanania yetu....Unaijuishaje Tanzania inayojikongoja na mataifa mengine yaliyokwisha kupiga hatua?.
Hiyo vita inapaswa kufanyika ngazi ya familia. Kama unaacha watoto wako wanalelewa na TV na dada wa kazi huku wewe ukiwa bize kutafuta pesa basi usipigwe butwaa watakapoishia kuwa na tabia za ajabu ajabu.
Serikali kupambana na ushoga ni dalili za ujinga na matumizi mabaya ya rasilimali, kwa maana ni sawa na kufukuza upepo. Itakamata wangapi? Itakuwa inawasakama huko kwenye faragha zao? Si kupeteza tu muda na rasilimali! Alafu wakikamatwa wanapelekwa wapi? Gerezani? Si ndio wataolewa kabisa
Bila shaka na wewe ni upindeNchi za Africa tengenezeni uchumi wenu kwanzaaa.
Hata huko kwa mu7 bado hakuna kitu. Nilifuatilia huo mswaada wa sheria unaosema mtu atakayefungwa maisha gerezani ni yule atakayetangaza kwamba yeye ni shoga. Maana yake ni kama mtu ni shoga na aendelee na ushoga bila kutangaza atakuwa salama.TUNAYE RAISI AMBAYE YUPO JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI NA NI MUISLAM,TUNATAKA TAMKO LAKE KUHUSU HILI SIO MUSEVENI AONGEE YEYE ANAKAA KIMYA KWA KILA KITU.
Kwahyo wewe unadhani ushoga unazuiliwa Kwa matamko?Hata huko kwa mu7 bado hakuna kitu. Nilifuatilia huo mswaada wa sheria unaosema mtu atakayefungwa maisha gerezani ni yule atakayetangaza kwamba yeye ni shoga. Maana yake ni kama mtu ni shoga na aendelee na ushoga bila kutangaza atakuwa salama.
Nadhani hujanielewa nini namaanisha. Kama inawezekana, soma tena nilichoandika hata bila utulivu na huenda ukanielewa. Maana hayo uliyoyasema ni yako. Mimi sijasema hivyo.Kwahyo wewe unadhani ushoga unazuiliwa Kwa matamko?