bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Al Qaeda chini ya USA vs Wagner Group ya Putin,hao Al Qaeda wamechezea kichapo Cha mbwa koko kuanzia Iraq hadi Syria ndo watawaweza Wagner group kwel.Kimeshaanza kunuka jana zilipigwa mpakani mwa Niger na Mali kati ya Al Qaeda na Wagner
Makundi ya ant balaka na seleka bado yapo hapo Central Africa au kazi ya Wagner Group imewafyekelea mbaliUrusi wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuistabilize Afrika. Popote wanapokuwepo ni watu wa vitendo na si hila hila na kujitia ujanja. Siwatetei kuwa ni wema ila wana afadhali sana. Kama Patrice Lumumba asingekuwa kichwa ngumu Warusi walishamshikia nchi, na hata asingeuwawa. Hapa CAR wameleta amani ambayo ilikuwa ni ndoto. Ni jini fulani afadhali.
Hawauwezi mziki wa WagnerAl Qaeda chini ya USA vs Wagner Group ya Putin,hao Al Qaeda wamechezea kichapo Cha mbwa koko kuanzia Iraq hadi Syria ndo watawaweza Wagner group kwel.
Tangu kitambo tu mbona.Hawauwezi mziki wa Wagner
Dunia haitaosha unafiki leo USA anaisupport Al Qaeda kwa masilahi yao
Nazungumzia kabla ya hapa alipoenda kuvamia mashariki ya kati alikuwa dhidi ya Al QaedaTangu kitambo tu mbona.
Makundi yote ya kigaidi mfadhili mkuu ni USA
Yeye ndie aliunda Alqaeda kwa kumtrain Osama walipozulumiana Osama akajifichia kwenye uislam ili kupata wapigaji cheap au mental slaves akawabrain wash eti anapigania dini jihad,hakuna ugaidi kwenye uislam ni propaganda tu za kuuchafua uislam ili kuleta order Chao off order.
Kundi la kigaidi la ISIS liliundwa na USA ili kumwondoa sadam Hussein lilipomuondoa Osama, USA akashindwa kulidhibiti likasambaa hadi Syria ili kumtoa Al Saad likijiita ISIL kwa msaada wa Wagner Group USA plus ISIL walichezea kichapo Cha mbwa mwitu Allepo Syria hadi wakapotea,huku kundi la ISIS likiwahishwa kuzimu kuwahi bikira 72 na marubani wanawake wa Kirusi walizitendea kazi vizur ndege vita sukoh kuwafyekelea mbali magaidi wa ISIL na ISIS.
Watu walikuwa wanaichukulia poa RUSSIA ila alichokifanya Syria watu wote wakabaki wameduwaa waasi syria walikuwa wameshaiteka mikoa yote ukabaki mji mkuu tu Damascus pekee..yani fikiria kama Tanzania apa yani miji yote itekwe ibaki dar pekee unatoboaje? RUSSIA alivyotia timu tu mpaka leo hii Assad anaenda mpaka sokoni bila ulinzi faa masiala nini[emoji23][emoji23] hakuna cha ISIS wala Al Qaeda wote walifyekelewa mbali leo hii tunavyoongea Syria karudishwa Kwenye jumuiya ya umoja wa kiarabu..leo hii Asad anatoka mpaka nje ya nchi..Tangu kitambo tu mbona.
Makundi yote ya kigaidi mfadhili mkuu ni USA
Yeye ndie aliunda Alqaeda kwa kumtrain Osama walipozulumiana Osama akajifichia kwenye uislam ili kupata wapigaji cheap au mental slaves akawabrain wash eti anapigania dini jihad,hakuna ugaidi kwenye uislam ni propaganda tu za kuuchafua uislam ili kuleta order Chao off order.
Kundi la kigaidi la ISIS liliundwa na USA ili kumwondoa sadam Hussein lilipomuondoa Osama, USA akashindwa kulidhibiti likasambaa hadi Syria ili kumtoa Al Saad likijiita ISIL kwa msaada wa Wagner Group USA plus ISIL walichezea kichapo Cha mbwa mwitu Allepo Syria hadi wakapotea,huku kundi la ISIS likiwahishwa kuzimu kuwahi bikira 72 na marubani wanawake wa Kirusi walizitendea kazi vizur ndege vita sukoh kuwafyekelea mbali magaidi wa ISIL na ISIS.
Alqaeda ilianzia Taliban baada ya wataliban kumchapa kwa msaada wa USA,Mrusi miaka ya 70 alipoivamia Afghanistan.Nazungumzia kabla ya hapa alipoenda kuvamia mashariki ya kati alikuwa dhidi ya Al Qaeda
Marekani waliliita Al Qaeda kundi la kigaidi walipoenda kuivamia AfghanistanAlqaeda ilianzia Taliban baada ya wataliban kumchapa kwa msaada wa USA,Mrusi miaka ya 70 alipoivamia Afghanistan.
Ugomvi wa USA na Mrusi ni hadi mwisho wa Dunia japo wote members wa freemason ndio wapo nyuma ya hii michezo yote
Daaah, utakuta wewe ni baba unayetegemewa kwenye familia,Sawa. Ngoja nitumie uwepo wangu wa bahati mbaya kukupa elimu.
Ugaidi wa Africa chanzo ni middle east countries kwa kushirikiana na ngozi nyeusi.
Uhovyo unahisi mimi ninao ndiyo umefunga akili zako hata uoni namba ukutani.
Tukutane Calvary.
Tena si Baba jina tu, bali Baba wajibu.Daaah, utakuta wewe ni baba unayetegemewa kwenye familia,
Kwasababu walimdhurumu OsamaMarekani waliliita Al Qaeda kundi la kigaidi walipoenda kuivamia Afghanistan
Siku wakifanya hivyo itakuwa ni jambo zuri sanaWagner Group inatakiwa watie timu Congo wakamfurushe kibaraka wa mabeberu aache kupora Congo.
Ambayo imeharibiwa na Marekani na vikundi vyake vya kigaidi!!? Ila mnampongeza .... Bora wazazi wako wangetumia kondomu tu...kuliko kuleta kiumbe hovyo kama wewe humu duniani...
Aahaaa,jibu zuri sanaTena si Baba jina tu, bali Baba wajibu.
25 sina mtoto wa damu ila nina mtoto wa ku adopt hadi leo yupo na anajua mimi ndiye his biological father na hamjui mwingine ila mimi.
Uki- doubt uwezo wangu wa kupambanua mambo basi jua unaweza doubt jibu la kuwa 1+1 =2.
Uwe na asubuhi njema.
Friend! God bless you. Unautulivu mzuri sana unaokuwezesha kuwasadia wale wenye matatizo ya afya ya akili. Mko wachache sana msiolipa tusi kwa tusi. Barikiwa sana.Sawa. Ngoja nitumie uwepo wangu wa bahati mbaya kukupa elimu.
Ugaidi wa Africa chanzo ni middle east countries kwa kushirikiana na ngozi nyeusi.
Uhovyo unahisi mimi ninao ndiyo umefunga akili zako hata uoni namba ukutani.
Tukutane Calvary.
Congo Dunia nzima ya ubepari iko paleWagner Group inatakiwa watie timu Congo wakamfurushe kibaraka wa mabeberu aache kupora Congo.
Kumbe hujajua tu kuwa ilikuwa mapinduzi hewa.No Putin anafurahia Mapinduzi ya Africa wakati Wagner walipotaka kumpindua alibaki kulia Lia hadi Luka Shenko akaingilia kati ili asipunduliwe.
Urusi kujikita Africa ni kumaliza kabisa hata ile aman robo tuliyobakiwa nayo.
Ingekuwa mapinduzi hewa kusingekuwa na kelele zote Wajeda wamezinguaKumbe hujajua tu kuwa ilikuwa mapinduzi hewa.