Vita zina mambo mengi sana. Niger wamefunga anga lao. Mali nao wakifunga wanigeria watapata tabu sana kusafiri

Vita zina mambo mengi sana. Niger wamefunga anga lao. Mali nao wakifunga wanigeria watapata tabu sana kusafiri

Shabikien wafanya mapunduz bila utaratibu sabab naamin mna vichwa vya kuku kwamba mpk leo ni mwanajeshi gan alileta mabadiliko akiwa kama rais aliyeingia kimapinduz , baada ya miaka 10 tutakuwa tunalia kutaka watolewe madarakani

Gadafi:

Alipindua libya na kuwatoa vibaraka wa wazungu madarakani na kuanzia hapo libya ikawa nchi tajiri sana.

Magaidi yote yanapewa ufazili na msaada wote kutoka west ili wafanye nchi iwe zaifu

Wanakuja kutoa msaada kwa serikali kujifanya wanapamban na magaidi kwa masharti ya kuwa malipo yao iwe madini,mafuta ,gesi

Silaha wanazowapa magaidi ndo hizo hizo wanawapa waasi hapo wanawaambia pia waasi kuhusu mipango yenu ya kivita.

Ndo maana vita za marekani na magaidi haziishi kwa sababu ya michezo kama hiyo.

Kama sio Russia kuingilia kati pale Middle East hadi leo tungekuwa tunaongelea mambo ya ISIS.

0d952989-2cab-444a-b274-aaa3f5c1627c.jpg

IMG_2587.jpg
 
Shabikien wafanya mapunduz bila utaratibu sabab naamin mna vichwa vya kuku kwamba mpk leo ni mwanajeshi gan alileta mabadiliko akiwa kama rais aliyeingia kimapinduz , baada ya miaka 10 tutakuwa tunalia kutaka watolewe madarakani
wewe una kichwa Cha panzi , baada ya mabadiliko ya mfumo was vyama vingi demokrasia imedumaa na walioko madarakani wanajinufaisha wao na kizazi Chao. Mtu kama nape ana uwezo Gani WA kuwa waziri was nchi huy
Shabikien wafanya mapunduz bila utaratibu sabab naamin mna vichwa vya kuku kwamba mpk leo ni mwanajeshi gan alileta mabadiliko akiwa kama rais aliyeingia kimapinduz , baada ya miaka 10 tutakuwa tunalia kutaka watolewe madarakani
wewe kichwa chako ni Cha panzi, lakini ngoja nikueleweshe pamoja na uelewa wako mdogo.
Tuliporudi mfumo was vyama vingi wengi tulitegemea demokrasia kukua, matokeo yake demokrasia imezidi kudumaa.
Viongozi waliopo madarakani wanajijali wao na familia zao. Hivi Nape ana uwezo Gani WA kuwa waziri huyo ni mfano mmoja ila wapi wengi.
Mikataba yote mibovu imesainiwa baada ya kuingia mfumo was vyama vingi na walichofanya ni kutumia time za uchaguzi kuwa chini yao, kutumia polisi na jeshi, kuweka mamluki kwenye vyama.
Hata kama mapinduzi hayataleta kile kinachotakiwa no wazi Hawa watu wakitolewa nje ya mfumo na serikali ikirudi ya kiraia watatambua hii nchi ni ya watanganyika wote na sio familia zao.
 
Shabikien wafanya mapunduz bila utaratibu sabab naamin mna vichwa vya kuku kwamba mpk leo ni mwanajeshi gan alileta mabadiliko akiwa kama rais aliyeingia kimapinduz , baada ya miaka 10 tutakuwa tunalia kutaka watolewe madarakani
Hao wanademokrasia wameleta mapinduzi gani ya kiuchumi?
 
Back
Top Bottom