Vitabu vilivyoandikwa na Waandishi wa Tanzania

OLS

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2019
Posts
426
Reaction score
685
Waandishi wa Kitanzania na vitabu vyao

Vitabu vya Watoto

Muandishi
Jina la kitabu
W. Mkufya
  1. Androko na Simba
  2. Ziraili na Zirani
Richard Mabala
  1. Mabala the Farmer
  2. Hawa the Bus Driver
Elieshi Lema
  1. Safari ya Prospa
  2. Mwendo
  3. Parched Earth
  4. Nyamanza Ndege wa Amani
  5. Parched Earth: A Love Story
  6. Jamila na Kamali
  7. Safari ya Prospa
  8. Mwendo
  9. Cousin Lusu: A Graded Reader for Standard 4
  10. The Man from Tanga: A Reader on HIV/AIDS for Standard 4
  11. Jipende (Fresh na Maisha) (Swahili)
  12. Ndoto ya Upendo (Swahili)
  13. Jilinde (Fresh na Maisha) (Swahili)
  14. Jijue (Fresh na Maisha) (Swahili)
  15. Upendo's Dream
  16. In the Belly of Dar es Salaam
Nadir Tharani
  1. No End. Beginning – Bila Mwisho. Mwanzo
  2. Beginning. No End – Mwanzoni. Bila Mwisho
Fanuel MlengeMaandamano ya Serengeti
T.P Ndumbaro
  1. Nyimbo za Watoto wadogo. Kitabu cha kwanza
  2. Nyimbo za Watoto wadogo. Kitabu cha pili
Mehta Abeid
  1. Mlilwa shujaa
  2. Msako wa mwizi
  3. Mlilwa amtafuta baba yake
  4. Kisa cha Mfalme Choyo
  5. Mtego kabambe
  6. Mtoto wa masikini na mtoto wa mfalme
  7. Mlilwa na Ndege wa Ajabu
  8. Jini la kike
  9. Anaona, anasikia
  10. Mji wa mawe
  11. Unyama wa Mafia
  12. Sehemu ya Mwisho
  13. Kisa cha Sungura na Simba
  14. Mlilwa na Ndege wa Ajabu
  15. Debe la Dhahabu
  16. Kisa cha Mpiga Zeze na Binti Mfalme
S. F. ShijaHadithi kwa Watoto 1
J.S. MadumullaSungura Mjanja na Tembo / watoto
Katti-ka- BatemboMzungu wa kula : Hafundishwi mwana!
Marco MussaAdili, kisiwa cha lulu
Corona CermakSauti ya jogoo
Anania Mbawala
  1. Nimekugundua.
  2. Zulfa Ice I.
  3. Zulfa Ice II.
Dogobert J. MunywambeleShughuli Za Kila Siku Za Anna
 
Biographies/Autobiographies
 
Vitabu vya Biashara, Fedha na Uchumi
 
Vitabu vya kiada ( Darasani )
 
VITABU VYA SIASA
 
VITABU VYA DINI
Jina la MwandishiJina la Kitabu
Lwandai P.O.Courses of Instruction
Deogratias H. MbikuHistoria ya Jimbo Kuu la Dar es Salaam
Mwalimu Daniel MwankemwaSumu ya Udini
Ibrahim Noor ShariffTanzania na Propaganda za Udini
Tume ya Haki na Aman TECUtume kwa wafungwa
Kwanini Tujali: Manufaa, Ustawi, kwa Wote
Dr. C.A. Wendell na Mchungaji V.E. JohnsonSafari Ndogo, katika ufalme wa Kristo : Kitabu kidogo cha Historia ya Kanisa la Kikristo
Antoni MakundeYafahamu makanisa yaliyoko Tanzania
Nicolaus Israel MsseseKimada
Alex KenyataMalezi na sala : Katika Kabila la Kimatengo kabla ya kuingia kwa Wamisionari Wabenediktine
Leonidas KalugilaUongozi wa Kanisa : Historia fupi ya uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania kwa maelezo na picha
Hussein Bashir AbdallahUtukufu wa Zanzibar : historia ya Uislamu pwani ya Azania
Benedictine Publications Ndanda PeramihoPapa Yohane Paulo II na kanisa la Tanzania
Hussein SiyovelwaUdini Tanzania : Jinamizi linalotunyemelea : tatizo ni ukosefu wa dira
Elinaza E. SendoroUamsho na karama : Roho Mtakatifu katika makanisa ya kihistoria Tanzania
Judah Bernard Matata KiwoveleMalezi na elimu ya kiinjili katika nchi inayoendelea Tanzania : Mchango kwa mazungumzo ya tamaduni mbalimbali za makanisa ya kiinjili
Julius Kambarage Nyerere
  1. Utenzi wa Enjili kadiri ya Utungo wa Marko.
  2. Utenzi wa Enjili kadiri ya Utungo wa Matayo.
  3. Utenzi wa Enjili kadiri ya Utungo wa Luka.
  4. Utenzi wa Enjili kadiri ya Utungo wa Yohana
  5. Utenzi wa Matendo ya Mitume
Titus Amigu
  1. Makanisa na vikundi vya kidini,
  2. Busara za mzee,
  3. Kisa cha imani: Dini za miungu wengi
  4. Kwa nini wakristu hawakasiriki
Hussein Bashir AbdallahKanisa na biashara ya watumwa
Hamza Njozi
  1. Mwembechai killings and the political future of Tanzania
  2. Muslims and the State
Kanisa la Biblia PublishersJubilii ya Kanisa la Biblia Tanzania, miaka 50
Rev. Richard Lubawa, PhD.Shoulder to Shoulder: Bega Kwa Bega: A Lutheran Partnership Between Minnesota and Tanzania
Elia Shabani MligoElements of African Traditional Religion
Rev. Falres Ipyana Ilomo, PhD. 1. African Religion: A Basis for Interfaith Dialogue Today
2. A Relevant Christian Eschatology for African Context Today
William Ngowi,
  1. Introduction to the Pentateuch and Historical Books Introduction to Penuch
  2. Thus Says the Lord: Introduction to Prophetic Literature thus says the lord
  3. Maandiko ya Kiufunuo Maandiko ya
  4. Misemo ya Mababa wa Jangwani
  5. Paulo na Nyaraka Zake
  6. Utangulizi kwa Injili Utangulizi
Adolf Mihanjo
  1. Falsafa na Ufunuo wa Maarifa: Kipindi cha kati, usasa, na mapambano ya ujenzi wa mihimili ya hoja za maadili, dini, sayansi na sheria Falsafa
  2. Falsafa na Usanifu wa Hoja - Kutoka Wayunani Hadi wa Tanzania Falsafa2
Bp. Desiderius RwomaSala Kulingana na Mahitaji ya Wakatisala kulingana
Pamoja Tusali na Kumwimbia BwanaPamoja
JACEKA A. GORKAYOUTH MINISTRY IN THE FACE OF UNEMPLOYMENT
Fr. Aquiline Tarimo,Human Rights, Cultural Differences, and The Church in Africa human rights
Fr. Lazarus Msimbe,Kristo Mtu Mzima wakati wa Noeli Kristo
General Venance Salvatory MabeyoWewe ni Shahidi wa Kristu
 
Vitabu vya sheria
 

VITABU VYA HISTORIA

 
VITABU VYA LUGHA
 
RIWAYA

Tamthiliya

Jina la MuandishiJina la Kitabu
J.M. MbondeUandishi waTanzania. Michezo ya Kuigiza
Euphrase KezilahabiKaptula la Marx
Emmanuel MbogoMondlane na Samora
Said Ahmed MohamedAmezidi
Ebrahim HusseinMichezo ya Kuigiza (Wakati Ukuta & Alikiona).
S. Edwin SemzabaTendehogo

Katuni

Jina la muandishiJina la kitabu
James GayoKingo No. 1 (Comics)
Marko M. KombaKatuni za Chakubanga wa Mwenge 1979-1991
Said Mbwana Makatta BawjiVituko vya Komredi Kipepe

Ushairi
 
Vitabu vya Elimu & Vitabu vya Ziada
 
Jamii
 
Good stuff, kumbe wa-TZ tunaandika.
Ofcz ndugu pia mm ni muandishi ila wa tz hatukuwai fundishwa tujisomee zaid ni kuweka miguuu kweny maji tukikeshea mtihani ndooo maana wish yetu ndogo sana ndugu nilibahatika kwenda Australia 2yrs ago kule mtoto wa 5 yrs unakuta room kwake kuna documents makubwa kama yote ukimuliza anasema nikiwa niko board nasomaa vitabu kama interesting vile njoo black land ni vice versa yani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…