Vitabu vilivyoandikwa na Waandishi wa Tanzania

Vitabu vilivyoandikwa na Waandishi wa Tanzania

Yaka,
Unaonekana ni msomaji,

Muandishi Kamara Kusupa nilipata bahati ya kuonana nae na nilizungumza nae kidogo. Anaandika vizuri pia ni mtafiti, lkitabu chake kuhusumaisha yake gerezani nimekiweka kwenye Biographies kwa kuwa mule ameelezea maisha yake
 
OEDIPUS,
Kitabu elimu ya gizani
Mwandishi elimas sokoine
Kitabu majuto ya maisha
Mwandishi mongali mwakizila
Kitabu pesa za mkopo
Mwandishi beson mwambaga
Kitabu bibilia iliyo potea
Mwandishi dr nelson g kisamo
 
The genuius,
Hivi ulivyoandika hapa vinaweza kuwa bado havijawa published, ni compendium au just articles, maana hata huyo dr. simuoni kokote hata kwa tasnifu yake
 
NimeLIKE nafsini tu.
😳 Comments anatoa mtoa mada kwanza aseee
 
Abdu Baka ana kitabu kinaitwa haifai. Pia kuna kitabu kinaitwa Bosi unakifahahamu? umefanya kazi nzuri kuandaa hii list.
 
Vitabu vya sheria
Kuna kitabu pia cha Captain Ibrahim Mbiu Bendera kinaitwa Admiralty and Maritime Law in Tanzania.

Kaandika vizuri kuhusu sheria zetu za bahari, hakika hutojuta kusoma kitabu chake huyu nahodha (baharia) mkongwe aliyesoma sheria na kuwa wakili wa mahakama kuu.
 
OEDIPUS,
Umemsahau S.N. Ndunguru mojawapo ya waandishi wachache sana watanzania walioandika riwaya kwa lugha ya kiingereza.Riwaya hizo ni "A WREATH OF FR MAYER OF MASASI"-(inatumika kufundishia O-level literature),"DIVINE PROVIDENCE" na SPARED
 
OEDIPUS,

Umeanzia juu sana. Wakongwe ktk uandishi ni:
Aniceti Kiteleza -Bwana Myombekere na Bibi Bugonoka, Ntulanalwo na Bulihwali
-utunzi wa kikerewe 1945
- kopi ya kiswahili 1981
-kopi ya kiingereza 2002


Peter Palangyo -Dying in the sun 1968

Gabriel Ruhumbika -Village in Uhuru 1969
-Miradi Bubu ya Wazalendo 1991
- Janga Sugu la Wazawa 2002
-Uwike Usiwike Kutakucha ----
 
Mkuu kwanza nikupe kongole kwa kuleta uzi huu, lakini ni ombi langu kama kuna uwezekano ingependeza haswa kama ungeweza ku share' nasi hapa kwa kuvi upload' (soft Copy) miongoni mwa vitabu hivyo.Kama vipo.
#Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom