The genuius
Member
- Dec 14, 2019
- 69
- 42
Tofauti kvp ndugu sija kuelewa🤦basi naamini andika yako hapa na huko ni tofauti!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tofauti kvp ndugu sija kuelewa🤦basi naamini andika yako hapa na huko ni tofauti!
Duh! Naona makosa ya kisarufi tu mengi mengi!anywys hongera!Tofauti kvp ndugu sija kuelewa
Kyakyakya Kyakyakya kaka ww kishwahili ulipata A mwenzako nina d yakupewa ndio maana nilikwenda engineer na kuandika vitabu ni kupenda tuuu haitaji uwena cheti cha BakitaDuh! Naona makosa ya kisarufi tu mengi mengi!anywys hongera!
Huwezi andika "sija kuelewa".. Ni sentensi nzima moja hiyo imeungana!😅 hata id yako nna mashaka kama spelling ndo zenyewe!
Usiwena shida na typing yangu ndugu take content alafu kausha tunafanya mambo mengiDuh! Naona makosa ya kisarufi tu mengi mengi!anywys hongera!
Huwezi andika "sija kuelewa".. Ni sentensi nzima moja hiyo imeungana!😅 hata id yako nna mashaka kama spelling ndo zenyewe!
ulikwenda engineer? hahahhahah upo juu na utabaki hukohukoKyakyakya Kyakyakya kaka ww kishwahili ulipata A mwenzako nina d yakupewa ndio maana nilikwenda engineer na kuandika vitabu ni kupenda tuuu haitaji uwena cheti cha Bakita
Nipe jina lako na majina ya vitabu vyako inbox uongezeka kwenye list ya hao waandishi.Ofcz nduguu pia mm ni muandishi ila wa tz hatukuwai fundishwa tujisomee zaid ni kuweka miguuu kweny maji tukikeshea mtihani ndooo maana wish yetu ndogo sana ndugu nilibahatika kwenda Australia 2yrs ago kule mtoto wa 5 yrs unakuta room kwake kuna documents makubwa kama yote ukimuliza anasema nikiwa niko board nasomaa vitabu kama interesting vile njoo black land ni vice versa yani
Dini ya siasa professor nelson g kisamo udsmNipe jina lako na majina ya vitabu vyako inbox uongezeka kwenye list ya hao waandishi.
Na kama unawajua waandishi wengine ambao hawapo katika hiyo list unaweza ntajia ili niwaweke
Vingine elimu ya giza dr elimasi sokoine , majuto ya maisha mongali Mwakizila, pesa za mkopo elison mwabaga udsm lecture polical scienceDini ya siasa professor nelson g kisamo udsm
Give me example one serious bookYou can rarely find serious books by Tanzanians
Moja, kitabu haini kipo kwenye list na kwa taarifa ni kuwa hiko sio kitabu cha kufikirika,Kuna kitabu cha Adam Shafi, 'Haini', ni kitabu chenye mkasa wa kufikirika ni -kitamu sana. Na ni kitabu kizuri kwa mwenye nia ya kupanua misamiati na uelewa wa lugha ya Kiswahili. Mfano ni kupitia hicho kitabu nikaweza kufahamu breakfast kwa lugha yetu ni 'kisebeho' n.k.
Hakuna shida ndugu naelewa kila kitu ndoo maana mm ni new member ulinzi wakutosha upoNilikumbia utume inbox ili kuficha ID yako, Pia ingekuwa poa ungeandika kama una-cite. Ili nipate jina vizuri kuhakiki uwepo wake
Hivi vitabu sivioni kokote, Ni labda hauzingatii uandishi wa kutofautisha jina la Muandishi na jina la kitabu.Vingine elimu ya giza dr elimasi sokoine , majuto ya maisha mongali Mwakizila, pesa za mkopo elison mwabaga udsm lecture polical science
Nimekupata. Ukikisoma ni kweli kabisa kinasadifu hayo ya mapinduzi.Moja, kitabu haini kipo kwenye list na kwa taarifa ni kuwa hiko sio kitabu cha kufikirika,
Shafii ameandika maisha ya jela za Zanzibar, kwa mfumo wa siasa za muda ule ambapo Karume aliuawa
Vitabu vingi havipo kwenye maktaba za vyuo(mara nyingi) lakini unaweza kuvipata kwenye maktaba ya taifa au maktaba za mkoa. Swala ni kuwa iwe ni Tanzania Library Service, utapata vingi katika hivyoMkuu una maktaba nikija napata hvo vitabu? Kila maktaba ya mkoa nayotembelea nakuta vingi vipo vya kizungu tu.. ukipata cha kiswahili kikechakaa.
Vyuoni ndio kabisa..hupati.