Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 2,026
- 4,450
Wanunulie uwarudishie.Niliwahi kuiba kitabu cha Musiba maktaba ya Arusha nikawa nachana karatasi tano tano mpaka kikaisha......aise
Originality is overrated.Kiranga,
Uandishi wa Aristabalus Elvis Musiba haukuwa na originality yoyote. Alikuwa akitafsri vitabu vya Nick Carter -Spymaster na kuviandika katika mazingira ya kiswahili wakati actions zote ni zile zile. Kwa mfano kama ulisoma kitabu cha Vatican Vendetta ndicho alichotumia kuandika kitabu chake kimoja, nadhani kitabu cha "Kufa na Kupona"
Kuna historia ya utumiaji wa jina la Nicholaus Carter katika vitabu hivyo kutokea New York miaka hiyo ya sitini, ila ni vitabu vilivyokuwa inspired na vitabu vya Ian Fleming vya James Bond-007. Vitabu hivi viliandikwa na watu wengi sana wakitumia jina la Nick Carter, na main Character pia akiwa ni Nick Carter.Kichuguu, Nick Carter kaandikwa na waandishi wangapi?
Na kama originality is all that, kwa nini kila muandishi hakuja na character wake tofauti?
Mfano wako mwenyewe wa Nick Carter unaonesha originality is overrated.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri huelewei maana ya originality katika creative writing na hivyo inawezekana huwezi kutofautiisha kati ya plagiarism na inspiration. Kuwa inspired kuandika kitabu kuhusu ujasusi lakini ukaja na hadithi tofauti, hata kama umetumia jina la character lile lile siyo plagiarism, ila kukopti hadithi ile ile na kuiweka katika setting tofauti ni plagiarism.Hujajibu swali langu.
Kama originality ni muhimu sana kwa muandishi, kwa nini waandishi tofauti wote wamuandike character mmoja Nick Carter?
Kwa nini kila muandishi asije na character wake tofauti?
Sent using Jamii Forums mobile app
Una mu accuse Musiba plagiarism?Nafikiri huelewe maana ya originality katika creative writing na hivyo inawezekana huwezi kutofautiisha kati ya plagiarism na inspiration. Kuwa inspired kuabndika kitabu kuhusu ujasusi lakini ukajana hadithi tofauti, hata kama umetumia jina la character lile lile siyo plagiarisma, ila kukpti hadithi ile ile na kuiweka katika setting tofauti ni plagiarism.
Tukirudikwenye vitabu vya Nick Carter, wale wanandishi wote waliochangia katika series ile walitumia theme ya series hiyo hiyo, ndiyo maana editor alivikubali, na hawakuchukua credit binafsi; kwa hiyo vilikuwa vinajulikana kuwa viemandikwa na Nick Carter. Mwihsowe correspondences zote zinakwenda kwa Nick carter, siyo kwa aliyendika.
Kama kungekuwa na Mwandishi akaandika na kuuza kitabu chake kwa joina lake binafsi nje ya series kungeweza kuwa na matatizo, siyo lazima ya plagiarism, bali ya Trade Mark
Una mu accuse Musiba plagiarism?
Kigwangala alifanya plagiarism kutika kitabu cha "Why Nations Fail: The Origins of Power, Prosperity and Poverty", kuna sura inaongelea South Korea.
Nikamuambia hapa ume plagiarize pale, nikamuonesha neno kwa neno alivyo plagiarize.
Kwa hivyo, si kweli kwamba sijui olagiarism ni nini. I take plagiarism seriously.
Sasa Musiba ka plagiarize wapi? Tupe detailed account, neno kwa neno, si maneno ya jumla.
Kitabu gani cha Musiba kime plagiarize kitabu gani kingine?
Weka majina ya vitabu hapa tuchambue neno kwa neno.
Nimekuuliza, unachora wapi mstari wa kutenganisha originality na inspiration, hujajibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza nashukuru sama kama ulikamata watu wanatumia plagiarism kujipatia sifa; na pia nashukuru kuwa unavumilia typos ninazofanya kwani mara nyingi vidole vyangu huenda kwa spidi tofauti na mawazo yangu wakati ninatype, ndiyo maana huwa narudia post tena baadaye kurekebisaha makosa.Una mu accuse Musiba plagiarism?
Kigwangala alifanya plagiarism kutika kitabu cha "Why Nations Fail: The Origins of Power, Prosperity and Poverty", kuna sura inaongelea South Korea.
Nikamuambia hapa ume plagiarize pale, nikamuonesha neno kwa neno alivyo plagiarize.
Kwa hivyo, si kweli kwamba sijui olagiarism ni nini. I take plagiarism seriously.
Sasa Musiba ka plagiarize wapi? Tupe detailed account, neno kwa neno, si maneno ya jumla.
Kitabu gani cha Musiba kime plagiarize kitabu gani kingine?
Weka majina ya vitabu hapa tuchambue neno kwa neno.
Nimekuuliza, unachora wapi mstari wa kutenganisha originality na inspiration, hujajibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi niliigundua independently.