Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 3,119
- 1,430
Ushoga kwa Tanzania ni kama ulishahalalishwa kinamna fulani hivi.Kwani inahitaji siku ngapi kumtia mbaroni Athuman Kapuya na wale mapacha wake? Huku kuchukua hatua kwa kujivuta vuta ndiko kunakoyalea huu upuuzi.
Ova
Ningeshangaa kama ingefika post ya 10 bila Marekani kutajwa! Athuman Kapuya sio mtoto; wala sio maamuma! Ni profesa tena profesa wa elimu; msomi kweli kweli nchi hii. Amewahi kushika vyeo vingi nchi hii tangu uhadhiri, ubunge hadi uwaziri including wa elimu na ulinzi. Kafundisha na kukuza wengi Prof. Kapuya.Tatizo vitabu vingi tunatumia kwa uzamini wa marekani kwa nini tusiletewe na vitabu vya ushoga ndani tusipende dezo bali tuthamili tulivyonavyo kwanza ili kukabiliana na hili janga
Kapuya kafanyaje tena hapo Kaliua?Ningeshangaa kama ingefika post ya 10 bila Marekani kutajwa! Athuman Kapuya sio mtoto; wala sio maamuma! Ni profesa tena profesa wa elimu; msomi kweli kweli nchi hii. Amewahi kushika vyeo vingi nchi hii tangu uhadhiri, ubunge hadi uwaziri including wa elimu na ulinzi. Kafundisha na kukuza wengi Prof. Kapuya.
Kwa mtu wa kaliba hiyo, kulaumu wengine badala ya kujilaumu kwa ujinga wenu ni kujaribu kutafuta visingizio vya ku-justify ujinga huo. Kwani ni lazima kila mnachopewa na Marekani mpokee?
Kufuatia Sakata hilo Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha ameifungia Taasisi hiyo isiyo ya kiserikali ya Athumani Kapuya kutokuendesha shughuli zake ndani ya Mkoa wa Tabora wakati huo akiagiza kukamatwa kwa waratibu na viongozi wa Taasisi hiyo.
Ilikuwa enzi za Akudo Impact!
Hahaha wenyewe Kwa wenyewe kapuya aka Mzee wa kueneza ngomaSerikali Mkoa wa Tabora imekamata shehena ya vitabu vyenye machapisho ya kufundisha na kuhamasisha vitendo vya
Nilidhani hiyo taasisi ni yakeIlikuwa enzi za Akudo Impact!
Ukiona mtu anapigia sana kelele ushoga mara nyingi utakuta anaogopa kugundulika kuwa nae ni shoga au ana matamanio ya kuwa shoga.Nyie mashoga mnataka watu wawe mashoga kama nyie ili mwisho iweje?