Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wizara ya mambo ya ndani inasubiria nini kufuta usajili ya hiyo NGO?Serikali Mkoa wa Tabora imekamata shehena ya vitabu vyenye machapisho ya kufundisha na kuhamasisha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja kwa wanaume na wanawake ambavyo vilikuwa mbioni kuanza kusambazwa katika shule za msingi bora wakati huo akiagiza kukamatwa kwa waratibu na viongozi wa Taasisi hiyo.
Ulipoanzia, waarabu!Upinde nje nje
Wasabazaji wangapi wako chini ya ulinzi huku wakisubiri uchunguzi kukamilika?Serikali Mkoa wa Tabora imekamata shehena ya vitabu vyenye machapisho ya kufundisha na kuhamasisha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja kwa wanaume na wanawake ambavyo vilikuwa mbioni kuanza kusambazwa katika shule za msingi na sekondari Wilayani Kaliua kupitia Taasisi isiyo ya kiserikali ya Athumani Kapuya.
Hongera sana RC wetuSerikali Mkoa wa Tabora imekamata shehena ya vitabu vyenye machapisho ya kufundisha na kuhamasisha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja kwa wanaume na wanawake ambavyo vilikuwa mbioni kuanza kusambazwa katika shule za msingi na sekondari Wilayani Kaliua kupitia Taasisi isiyo ya kiserikali ya Athumani Kapuya.
bora wakati huo akiagiza kukamatwa kwa waratibu na viongozi wa Taasisi hiyo.
Wakamatwe woteWasabazaji wangapi wako chini ya ulinzi huku wakisubiri uchunguzi kukamilika?
Yes ni sahihiIngetusaidia sana kama wangekuwa wanatoa na maudhui ya hivyo vitabu yaneandaliwaje ili tuwe na mwanga na mradi huu wa kishetani!
Wakamatwe wote
Huyu sio professor Kapuya ila atakuwa na uhusiano nae maana akina Kapuya wapo wengi Tabora especially Kaliua na UramboHuyo Athumani Kapuya ndo Profesee Jumla Athumani Kapuyea? 🙆
Serikali ni butu sana hili eneo, inapwaya pwaya.vitabu ndo mnakamata ila kina.......... delicious au ...........wa mbeya wanatamba tu,, kwanin wasikamatwe wahusika kama kwel ni haramu ivo vitendo!?
aloooh na uko korea ndo kuna wakaka warembo na walaini kuliko ata mimi aseeee🙌🏾🙌🏾,, halali sirikali ipwayepwayeSerikali ni butu sana hili eneo, inapwaya pwaya.
Unang'ata huku inapuliza, wakiwagusa wale hata huko south korea hawataenda watapigwa ban