Vitabu vinavyohamasisha mapenzi ya jinsia moja vyakamatwa Tabora

Vitabu vinavyohamasisha mapenzi ya jinsia moja vyakamatwa Tabora

Serikali Mkoa wa Tabora imekamata shehena ya vitabu vyenye machapisho ya kufundisha na kuhamasisha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja kwa wanaume na wanawake ambavyo vilikuwa mbioni kuanza kusambazwa katika shule za msingi na sekondari Wilayani Kaliua kupitia Taasisi isiyo ya kiserikali ya Athumani Kapuya.

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paulo Chacha akiwa katika Wilaya ya Kaliua amesema vitabu hivyo vimewekwa kizuzini baada ya serikali kupitia watalamu wake kubaini kuwepo kwa uchafu wa maudhui katika vitabu hivyo ambayo vimeingizwa Wilayani humo na Taasisi isiyo ya kiserikali ya Athumani Kapuya kwa lengo la kuvitoa msaada kwa shule za msingi na sekondari.

Akizungumza Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kaliua Dkt. Amini Joseph ameongeza kuwa Msaada huo wa vitabu uliingizwa Sanjali na vifaa tiba ikiwemo vilainishi na taulo za kike.

Mkuu wa Wilaya ya Kaliua Dkt. Rashidi Chua chua amesema shehena hiyo imekamatwa ikiwa na vitabu zaidi ya elfu nane ambavyo huenda vingezifikia shule za msingi 139 na za sekondari 32 katika wilaya hiyo.

Kufuatia Sakata hilo Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha ameifungia Taasisi hiyo isiyo ya kiserikali ya Athumani Kapuya kutokuendesha shughuli zake ndani ya Mkoa wa Tabora wakati huo akiagiza kukamatwa kwa waratibu na viongozi wa Taasisi hiyo.

Pia soma:
Hyuu pumbavuu watakuwa wanamgongaa uko marekani aisee yassin wee muuuwaji000
 
HIvyo vtabu vmepita bandarij vimekaguliwa hawakuonaaa ama ndio hela wachunguze walioptisha hawa kama wapo yataendelea tu
 
Kwani inahitaji siku ngapi kumtia mbaroni Athuman Kapuya na wale mapacha wake? Huku kuchukua hatua kwa kujivuta vuta ndiko kunakoyalea huu upuuzi.

Ova
Hivi unahisi mko serious kupambana na ushoga? Au mnaona raha kuutaja taja tyuuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ushoga kwa Tanzania ni kama ulishahalalishwa kinamna fulani hivi.

Hizo Taasisi zinajulikana na zinasajiriwa........vyombo vipi kila kona.

Kutoka povu kwamba unaweza kupambana nazo ni kujichosha tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unadhani yeye hajui? Anajizima dataa, akiamsha hali ni ile ile.
 
Ukiona mtu anapigia sana kelele ushoga mara nyingi utakuta anaogopa kugundulika kuwa nae ni shoga au ana matamanio ya kuwa shoga.

Amandla...
Umenena haswaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waumbue hawa.
 
vitabu ndo mnakamata ila kina.......... delicious au ...........wa mbeya wanatamba tu,, kwanin wasikamatwe wahusika kama kwel ni haramu ivo vitendo!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa hatariiii
 
aloooh na uko korea ndo kuna wakaka warembo na walaini kuliko ata mimi aseeee[emoji1487][emoji1487],, halali sirikali ipwayepwaye
Nimechekaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwakuwa wamegundulika mapema,sheria ichukue mkondo wake.
 
Kwani inahitaji siku ngapi kumtia mbaroni Athuman Kapuya na wale mapacha wake? Huku kuchukua hatua kwa kujivuta vuta ndiko kunakoyalea huu upuuzi.

Ova
Athumani Kapuya ni marehemu siku nyingi, miongoni mwa watoto wake ni Juma (waziri wa zamani) na Yasin anayeishi Marekani ambao wana mama tofauti.
Mwenye mradi huo ni Yasin wa Marekani sasa sijui tumtume DCI Ramadhani Kingai kwenda kumkamata kwa Biden na Trump?
 
Back
Top Bottom