Serikali Mkoa wa Tabora imekamata shehena ya vitabu vyenye machapisho ya kufundisha na kuhamasisha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja kwa wanaume na wanawake ambavyo vilikuwa mbioni kuanza kusambazwa katika shule za msingi na sekondari Wilayani Kaliua kupitia Taasisi isiyo ya kiserikali ya Athumani Kapuya.
aul Chacha ameifungia Taasisi hiyo isiyo ya kiserikali ya Athumani Kapuya kutokuendesha shughuli zake ndani ya Mkoa wa Tabora wakati huo akiagiza kukamatwa kwa waratibu na viongozi wa Taasisi hiyo.