Kuna kipindi alisema mwenyewe hausiki na hii taasisi tunatakiwa kuwa makini kutaja majina ya watuNingeshangaa kama ingefika post ya 10 bila Marekani kutajwa! Athuman Kapuya sio mtoto; wala sio maamuma! Ni profesa tena profesa wa elimu; msomi kweli kweli nchi hii. Amewahi kushika vyeo vingi nchi hii tangu uhadhiri, ubunge hadi uwaziri including wa elimu na ulinzi. Kafundisha na kukuza wengi Prof. Kapuya.
Kwa mtu wa kaliba hiyo, kulaumu wengine badala ya kujilaumu kwa ujinga wenu ni kujaribu kutafuta visingizio vya ku-justify ujinga huo. Kwani ni lazima kila mnachopewa na Marekani mpokee?