Vitendo vya raia kupambana na polisi na kuwapiga ni dalili kuwa ipo siku raia watashika silaha na amani itatoweka

Vitendo vya raia kupambana na polisi na kuwapiga ni dalili kuwa ipo siku raia watashika silaha na amani itatoweka

Sijipi moyo, but kama umeshatembelea nchi zote kaskazini mwa jangwa la sahara (kama umebahatika like me) basi unajua uprising zote zilianzaje.

I know ni jamii tofauti huenda kuwa isitokee but nani alijua oct 29 ingetokea
Kuna watu huwa hawana upeo wa kuliona jambo la mbali hadi litokee ndio akili zao zinapata utambuzi wa kulijua.
So uko sahihi,ni watu wachache watakuelewa
 
Mie nilimkuta afwande mmoja kalewa mida ya jioni anapita njiani anayumba na kuongea peke yake nikatazama kulia na kushoto ili kuhakikisha hakuna watu nipite naye bahati nzuri Kuna wamama waliniona ikabidi nipite kimya kimya ila wasingekuwa hao ningemuweka mtama aanguke chini nimsachi
Kuna mmoja nilimkutq qnagonga safari kijitonyama chimbo flani hivi, nikamuongeza safari 5. Amefika ya pili akajimwqgia kojo na kila mtu akaona.
 
Back
Top Bottom