Haya ni mawazo potofu kabisa. Ushoga siyo tabia ni jinsia mtu anazaliwa shoga, hajifunzi kuwa shoga hata aishi na mashoga, tena ulaya mashoga wanaoana na wanaruhusiwa ku adopt mtoto na analelewa na wazazi mashoga na anakuwa mtu wa kawaida kabisa siyo shoga.
Kama hamjasoma biolojia hata ya form 2, ni kwamba binadamu anazaliwa kwa maelekezo ya DNA ambazo zinabeba chromosomes x na y ambapo male wana xy na female wana xx, ambapo ikitokea confusion kwenye chromosomes basi tatizo litaweza kusababisha imbalances hata kwenye sexual hormones ambapo male wanatakiwa wawe na testosterone na female wanatakiwa wawe na estrogen na progesterone badala yake unakuta male ana testosterone na estrogen na progesterone au female ana estrogen, progesterone na testosterone.
Sasa ikitokea kwenye DNA mimba imetungwa na mtoto wa kiume ana hormones za estrogen na progesterone huyo ni mwanaume kwa umbile ila mihemuko yake yote na hisia zake ni za kike , na ikitokea mtoto wa kike kazaliwa na hormones za testosterone basi huyo ni umbile la kike ila mihemuko yake na hisia ni za kiume.
Kwahiyo ushoga siyo swala la tabia za kuiga wala malezi ni hormones za kuzaliwa nazo yaani hata upige ugalagaze huwezi kumbadili tabia shoga awe mwanaume kama wengine ni sawa na kumpaka rangi albino awe mweusi haiwezekani ni swala la kibailojia.