Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Tabia za kiume kwa mtoto sio aende kufundishwa na watoto wenzie(kuna uwezekano akaharibika huku). Kama unavyopinga mtoto wa kiume kuambatana na mamaye, wape wanaume mwito wa kuandamana na watoto wao ili wajifunze kutoka kwao.
Sio lazima aandamane na mwanaume, kikubwa mwache mtoto acheze na watoto wenzie na sio kumzurulisha kwa mashoga zake.
 
Miaka michache ijayo sijui kama kutakua na wanaume hapa Dar

Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana ushoga umekua ni jambo la kawaida hapa Dar

Sidhani kama kuna mtaa dar ambao hauna mashoga mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma wa sasa hivi unakuta ni mtu na status yake haonekani kama ni shoga wengi ni watu smart kichwani na wengine wana ndoa zao

Wengine ni watu na miili yao ya mazoezi wamejazia ukimuona unasema ni kidume wengine hadi ni wale watu wa kombati na nyota zao

Hapa ofisi nayofanyia kazi kuna watu na vyeo vyao wawili nilichogundua wana mahusiano yasiyofaa kwani niliwafuma wamejifungia ofisini japo hawakuniona nilihisi kuishiwa na nguvu

Sijui kama miaka michache kutakua na wanaume marijali wengi itakuja kufika mahali kati ya wanaume 10 ambao ni homesexual ni 8

Hali ni mbaya sana hapa dar kuna haja ya kutangazwa hali ya dharura ushoga ni janga la kitaifa haswa hapa Dar hivi tatizo ninini?Yaani limekua ni jambo la kutisha hadi mtu unaogopa kuzaa mtoto wa kiume mungu nilindie kizazi changu uwiii wanaume kwanini hivyo lakini?[emoji24][emoji24][emoji24]
Waacheni watu wawe huru

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Miaka michache ijayo sijui kama kutakua na wanaume hapa Dar

Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana ushoga umekua ni jambo la kawaida hapa Dar

Sidhani kama kuna mtaa dar ambao hauna mashoga mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma wa sasa hivi unakuta ni mtu na status yake haonekani kama ni shoga wengi ni watu smart kichwani na wengine wana ndoa zao

Wengine ni watu na miili yao ya mazoezi wamejazia ukimuona unasema ni kidume wengine hadi ni wale watu wa kombati na nyota zao

Hapa ofisi nayofanyia kazi kuna watu na vyeo vyao wawili nilichogundua wana mahusiano yasiyofaa kwani niliwafuma wamejifungia ofisini japo hawakuniona nilihisi kuishiwa na nguvu

Sijui kama miaka michache kutakua na wanaume marijali wengi itakuja kufika mahali kati ya wanaume 10 ambao ni homesexual ni 8

Hali ni mbaya sana hapa dar kuna haja ya kutangazwa hali ya dharura ushoga ni janga la kitaifa haswa hapa Dar hivi tatizo ninini?Yaani limekua ni jambo la kutisha hadi mtu unaogopa kuzaa mtoto wa kiume mungu nilindie kizazi changu uwiii wanaume kwanini hivyo lakini?[emoji24][emoji24][emoji24]
Ushoga na Usagaji unasababishwa na hizi Industries za Music ,fashion na Media halafu kama umepeleleza katika movie yyote special western movie utakuta gay au lesbian wamo ndani ya movie kwa mfano UK Walimu wanawambia wanafunzi unaweza kuwa vile unavotaka ikiwa unajihisi unataka kuwa mme wkat weye mke or vise vasa kwa kweli hili janga ni la ulimwengu mzima sio bongo tu na balaa kubwa jengine ni kuwa mwanamme anajiga sindano ya kuota maziwa anakuwa all round anatiwa na anatia vile vile lkn kajikita zaidi katika ukike.Mungu atunusuru sana vizazi vyetu lkn ni balaaa kubwa.
 
Haya ni mawazo potofu kabisa. Ushoga siyo tabia ni jinsia mtu anazaliwa shoga, hajifunzi kuwa shoga hata aishi na mashoga, tena ulaya mashoga wanaoana na wanaruhusiwa ku adopt mtoto na analelewa na wazazi mashoga na anakuwa mtu wa kawaida kabisa siyo shoga.

Kama hamjasoma biolojia hata ya form 2, ni kwamba binadamu anazaliwa kwa maelekezo ya DNA ambazo zinabeba chromosomes x na y ambapo male wana xy na female wana xx, ambapo ikitokea confusion kwenye chromosomes basi tatizo litaweza kusababisha imbalances hata kwenye sexual hormones ambapo male wanatakiwa wawe na testosterone na female wanatakiwa wawe na estrogen na progesterone badala yake unakuta male ana testosterone na estrogen na progesterone au female ana estrogen, progesterone na testosterone.

Sasa ikitokea kwenye DNA mimba imetungwa na mtoto wa kiume ana hormones za estrogen na progesterone huyo ni mwanaume kwa umbile ila mihemuko yake yote na hisia zake ni za kike , na ikitokea mtoto wa kike kazaliwa na hormones za testosterone basi huyo ni umbile la kike ila mihemuko yake na hisia ni za kiume.

Kwahiyo ushoga siyo swala la tabia za kuiga wala malezi ni hormones za kuzaliwa nazo yaani hata upige ugalagaze huwezi kumbadili tabia shoga awe mwanaume kama wengine ni sawa na kumpaka rangi albino awe mweusi haiwezekani ni swala la kibailojia.
Mmmmmmhmn ndugu hebu katafiti tena. Hormones hazianzi kufunction per DNA instructions, Hormones reaction ni direct influence ya kimazingira.

Hakuna any biological proof kuwa chromosomes zinaweza kuwa altered na damu na kuathiri jinsia au maamuzi ya kijinsia.

Kama mtu kazaliwa ni mwanaume atakuwa hivyo tuu kwa asilimia zote na kama ni wa kike atakuwa hivyo. Ila sasa shida ni kuwa kuna makundi ya leftist propagandists wanaokuza huu uongo ili ionekane kuwa haya mambo ya ushoga ni biologically born...... Upuuuuuuzi nasema ni upuuzi na uongo.


Hawa unaona mashoga ni direct result ya makuzi na malezi. Sababu zipo nyingi sana zinazopelekea mtu kuwa shouger !
 
Hao watoto wamebakwa hakuna justification yoyote ya kuwa mashoga hata mabinti wanabakwa ila siyo ndo watakuwa malaya.

Hata wale waliobakwa na mapadre ulaya wengi wameishi na msongo mkubwa wa mawazo hadi kufikia kujiua.

Kama mtu alibakwa utotoni akawa shoga basi ujue alianza kuonyesha dalili za mihemuko ya kikekike tangu utotoni hadi kupelekea mtu kumtamani kwaiyo huyo akiwa shoga ukubwani ni vile alikua shoga wa kuzaliwa siyo kwasababu ya kubakwa.
Wrong again mkuuu. Wanawake wakibakwa huwa wanachukia sex na sio kupenda kuifanya sababu inawakumbusha maumivu.

Kulawitiwa kwa watoto wa kiume ni miongoni mwa triggers za ushoga.....
 
Alafu hii tabiaya kukaa kujadili mashoga kama vile wao siyo watu acheni kuishi zama za kale, sikuhizi kila mtu ana haki za kuishi maisha yake anavyopenda yeye.

Nyie mkienda ulaya au china mkaambiwa nyie Weusi siyo watu ni nyani muuwawe mtafurahi? Mbina mnapenda kunyanyasa wenzenu wakati nyie pia hampendi kunyanyaswa?

Kuna wazungu wanaamini mtu mweusi siyo binadamu kabisa anafaa auwawe. Yaani watu tuko katika zama za kupambana na unyanyasaji wa haki za muafrika na binadamu wote kwa ujumla kuna matakataka yapo humu yanajadali kama mashoga wauwawe au siyo watu.

Hebu acheni mawazo mgando, mimi naweza nisikubaliane na style ya maisha ya mtu mwingine lakini ninaelewa haki za kila binadamu kuishi kwa jinsi mungu alivyomuumba. Awe shoga awe straight siyo nafasi yangu kumpangia mtu style ya maisha yake. Acha mungu awe hakimu wa kila mtu mwisho wa maisha yake.
Wewe hebu usituchanganye hapa. Shika adabu yako kisawasawa. Nakuona tokea juu kule unachangia kwa mlengo wa kuunga mkono na kutetea homosexuals.

Wewe unafananishaje maswala ya rangi (Racism) na maswala ya magonjwa ya akili?!

Wewe..... Tena ushike adabu na ukome.... Hatutaki huo upuuzi Africa. Wewe utafurahia siku mtoto wako wa kiume anakwambia kuwa ananyooshwa na mwanaume mwenzake?!
 
Achana nao ukijua biolojia wala huwezi kujisumbua. Hao ni wanawake wamezaliwa kwenye mwili wa kiume, ni kasoro za hormones tu ila ni binadamu kama wewe tu, endelea na maisha yako acha mungu ndo atoe hukumu.

Ukiishi nao vizuri mbona wengine ni majiniaz kabisa na wana michongo ya maisha...
Hamna sio kweli ...
 
Kupitia iyo link nilienda kuangalia ktk grouonlao la whats app nikawapiga mkwar a kwamba miee ni mwera nafanya upelelezi aisee walikimbia hao mashoga wali left kibao kama kuku 😆😆😆 kumbe ni mashoga ni waoga bwanaaa wanaogopa polisi kuliko mwizi 😆😆

Nimefanikiwa kulipukutisha grouo lao ila waka ni remove fasta nikajiunga kwa namba nyingine pia nikawatisha waka kimbia tena wengi tu
 
Acheni umaku, siwezi kukaa kimya wakati majitu yasiyo na elimu kama nyie mnawashambulia binadamu wenzangu kwasababu ya style yao ya maisha, kwaiyo ulaya walikopitisha ndoa za jinsia moja wote ni mashoga?

Nyie hamna tofauti na alshaabab ambao mwanamke akizini wanamfukia hadi kichwani kisha wanampiga mawe kichwani hadi kufa kwa ulimbukeni wao. Hata nyie mnakoelekea mnaweza mkawaua mashoga maku kweli nyie.
Mkuu mbona kama unawatetea yaani unaona ni sawa?! Hilo unalotetea ni tatizo la kiakili na hapa tunakemea hatujaja kusapoti. So why unatia efforts kutetea na si kukemea.

Hakuna mtu anachukia binadamu hapa tunachukizwa na tabia
 
Back
Top Bottom