Acha ujinga, mtoto siku zote akili yake inakuwa haija komaa na ndio maana kuna wengine unaweza ukamlaghai hata kwa pipi, PS au hata movies. So kuna washenzi wanatumia nafasi hii ya udhaifu wa ukomavu mdogo wa akili za mtoto kuwalaghai na kuwaingilia.
Mimi kuna jamaa yangu nimekuwa nae tokea mtoto, miaka minne iliyopita nikaambiwa jamaa analiwa na aliye muaanza alimshawishi kwa hizi movie za Mkandala kipindi tukiwa watoto,yeye alikuwa anaingia bure.Halafu yule jamaa aliye mfanyia hivyo kahamia Chanika na kazi yake ilikuwa hiyo hiyo ya kuonyesha, kama ndio tabia yake hivi mpaka sasa atakuwa kaharibu wangapi?
Juzi tu kama sikosei Iringa, jamaa mmiliki wa PS kawalawiti watoto zaidi 10,hivi hawa nao walionyesha dalili? Ndio wapo walio ingia kwa tamaa zao, ila majority wamelubuniwa wakati wakiwa watoto sababu akili zao hazi kupevuka na wengine wazazi walishindwa kutimiza wajibu wao.