Jbst
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,971
- 4,085
Ni kweli kabisa na mapenzi kinyume na maumbile imekuwa jambo la kawaida kabisa hasa hapa dar pamelaanika.Miaka michache ijayo sijui kama kutakua na wanaume hapa Dar
Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana ushoga umekua ni jambo la kawaida hapa Dar....
Kuna marafiki zangu wapo kwenye ma group whasap wanawake wanajiuza mchana kweupe tena wanatangaza bila woga wala hofu.
Wali ni add ktk magroup hayo ni uchafu mtupu huko telegram na whasap Mungu atunusuru. Saiv malaya hawajipangi Road wapo wasap na telegram wakitafuta wateja wao tena kwa bei ghali na watu wananunua. Kiukweli hapa dar pameharibika sana.