Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

kuna vitu ni dhambi alafu kuna vingine ni kinyaa ,ushetani, hadi shetani mwenyewe anakaa pembeni yaani mwanume unafi..wa mata...ko..n afu unasema ni dhambi kama dhambi nyingine unaweza kuwa sawa ila hiyo sio dhambi tu ndio maana hata kipindi cha Nuhu yalipozidi Mungu aliamua kuangamiza kizazi chote
 
Wazinzi, waasherati, malaya, hawana ruhusa kuwahukumu mashoga.
 
Kwahiyo uzinzi na ushoga ni kitu kimoja![emoji15][emoji15]

Hauko serious mkuu.
Jamaa yuko sawa kabisa ushoga iko kwenye kundi la wazinifu na ndio maana kwenye amri kumi za mungu hakuna sehemu inayo sema usimfanye ushoga, bali inasema usizini ina maana mashoga wamewekwa kundi moja na wazinzi.

Hapa duniani ushoga anaweza onekana ni mtu muovu ukilinganisha na mzinifu lakini mbele ya mungu madaraja yao yako sawa nikiwa na maana kuwa adhabu atayo pata shoga ndo hiyo hiyo atayo pata mzinzi.
 
Wewe unaufanya huo ushoga?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…