Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Wewe kama ni Muumini mkristo ama Muislamu, utakubaliana nami, hakuna maandiko yanayo kubaliana na ndoa ya jinsia moja.

Ila Mwamme na Mwanamke Mungu amekuonyesha amezuia njia hii, kulifikia tendo ila amekufungulia njia nyingine, yaani sawa mtu anaepita pasipo mlango, wakati mlango anauona.

Hivyo ukizani uzinzi na ushoga ni kitu kimoja pole sana.
 
Kwenye uafrica bora muuaji kuliko shoga .Africa sio ya kiislamu wala kikristo ni ya kiafrica
Tatizo mnataka tusipige vita, ushoga, eti kwa sababu tu kunachangamoto zingine.

Baadhi ya Nchi za afrika, zina adhabu ya kunyongwa hadi kufa, ukipatikana na kosa la kuua kwa kukusudia, nitajie makosa mengine mtu akipatikana na kosa hunyongwa.
 
Hakuna wewe hawezi kuwa sawa, tunajifanganya, kudhani dhambi zote ni sawa.
Kwenye amri kumi za mungu hakuna amri yeyote inayo sema usifanye ushoga bali kuna amri inayo sema usizini ,kwa maana hiyo kwenye hiyo amri ya usizini wamejuishwa mashoga ,wasagaji, watembea na wake za watu, na wafanya uzinzi bila ndoa wote hawa adhabu yao ni moja siku ya hukumu.

Kwa mtazamo wa jamii yetu ya kiafrika ushoga ni kosa kubwa wakati uzinzi ni kitu cha kawaida, ila kidini shoga akienda kuliwa atahesabiwa dhambi ya uzinzi na ww ukifanya mapenzi na mtu bila ndoa na ww unaandikiwa dhambi ya uzinzi vile vile hivo ww na shoga hamtakuwa na tofauti yeyote mbele ya mwenyezi mungu.

Ni sawa sasa hivi kuuwa mtu kwa mujibu wa sheria ni kosa kumbwa mno lakini kutoa mimba kisheria sio kosa kubwa sana lakini mbele ya mwenyezi mungu huyu aliye uwa mtu mzima na yule aliye toa mimba wote wanahesabika kama wauwaji.
 
We jamaa mbona hata haueleweki?
Kwani kuna sehemu ambayo nimesema ushoga sio dhambi?
 
anayeua watu kwa makusudi kwa kuchinja vichwa vyao kila siku ni sawa na yule anayetukanatukana hovyo, au ni sawa na muongo tu..
 
Mzinzi akioa na kuendelea kutumia njia ile ile aliyoitumia alipozini hana dhambi.

Shoga na Basha wake wakiona na kuendelea kutumia njia ile ile yakulana tako vipi inakubalika nayo kwenye dini?
 
 

Attachments

  • 20230322_194254.jpg
    270.3 KB · Views: 8
Ushoga haukutwajwa kwa sababu Mungu, hakumuumba mwanamme kuwa shoga, ispokua tendo ni kwa mwanamme na Mwanamke. kwa masharti mpaka waoane
 
Dhambi zote ni chukizo kwa Mwenyezi hilo halipingiki, Lakini swala la mapenzi jinsia moja kwa kweli kwa upande wangu linanihuzunisha sana.
 
Tatizo mnataka tusipige vita, ushoga, eti kwa sababu tu kunachangamoto zingine.

Baadhi ya Nchi za afrika, zina adhabu ya kunyongwa hadi kufa, ukipatikana na kosa la kuua kwa kukusudia, nitajie makosa mengine mtu akipatikana na kosa hunyongwa.
Kaka mm mbona niko upande wako soma tena comment yangu.mashoga wauwawe
 
Mzinzi akioa na kuendelea kutumia njia ile ile aliyoitumia alipozini hana dhambi.

Shoga na Basha wake wakiona na kuendelea kutumia njia ile ile yakulana tako vipi inakubalika nayo kwenye dini?
Kwa imani dini yako, au tamaduni za kabila lako, uko wako ipo nafasi ya ndoa hao shoga na basha.
 
Na wewe naona unapumiuliwa .hivi hujuwi dhambi hii shetani anakaa pembeni kabisa.na unapofanya kitendo hiki hata miti inainama chini kwa masikitiko,hivi ujiulizi Kwa nn gomora ilitiwa kiberiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…