Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Kazi kwao wanaojidanganya kuwa wataiona pepo wakati nafsi zao zinawasuta.
Mie nafsi yangu inaniambia kabisa mzabzab wee ni motoni moja kwa moja maana jtendayo ni kinyume na maagizo ya muumba wako.
Hapana bro usijihukumu. Mungu wetu hayupo hivyo. Kukupa uzima na kuiona siku nyingine ina maanisha urekebishe pale pa leo na jana ulipokosea. Bro bado una nafasi ya kurekebisha. Yeye hapendezwi na kufa kwake mwenye dhambi. Chukua hatua sasa bro na tafakari njia zako na mrudie Mungu wako. Neema yake ni kubwa sana na inatimilika katika udhaifu wetu. Yesu anakupenda sana bro. Hii comment yako imeniumiza sana.
 
Tatizo kila ukitaka kujirekebisha shetani nae anapitisha mrembo mwenye tako. Hapo ndio challenge inapoanza
 
Tatizo kila ukitaka kujirekebisha shetani nae anapitisha mrembo mwenye tako. Hapo ndio challenge inapoanza
Bro hayo majaribu hata mimi nilikuwa nayo na inawezekana ni zaidi yako ila neema ya Mungu ilinivuta, kuniokoa na kunibadilisha. Hizo za kutamani na kudandia kila mwanamke ni Roho kamili ya Ibilisi ifanyayo kazi na sio wewe. Tulipotoka ni mbali sana na huwa nikiwaza hivi courage ya kununua wanawake kipindi kile kule Kahumba Morogoro au Mririna au madanguro ya Tanga na kutumia mapazia kujifutia ilitoka wapi? Ni roho hiyo bro ila Mungu ni muaminifu ukimkabidhi njia zako ataziondoa hizo Roho. Bro, Mungu yupo na ni kweli kabisa.
 
We shoga
pita huku
 
Bora mlevi kuliko shoga
 
Embu fikiria umepata mtt wa kiume unajinasibu umepata mrithi wako kidume Cha nguvu mara paaa , anapumuliwa.hivi utajisikiaje ,simama kama mzazi mwanao anafanyiwa hivyo siyo unaleta quote za bibilia ambazo hata we mwenyew hujuwi maana yako.mashoga wote na nyinyi supporters wore ni wakupiga risasi tu
 
Acha kukurupuka hakuna sehemu mtoa mada ametetea ushoga ,bali amewakumbusha kuwa kipindi mnapiga kelele ushoga pia msipuuze na uzinzi ambao kimsingi nao una madhara makubwa ndani ya jamii.
Ni upumbavu kupiga kelele juu ya ushoga hali ya kuwa siku ya hukumu mtapata hukumu sawa na mashoga kwa sababu ya uzinzi wenu mnao ufanya na kuja kujitangaza humu.
 
Nani amekwambia kuwa mnywaji wa pombe ni dhambi?

1 WaKorintho 6:9-11​

1 Kor 6:9-11 SUV​

Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.
 
Acha mambo yako?kuna dhambi utatubu,ila shoga hata akitubu na akasamehewa?radius ya kunduz inabaki vilevile!marinda hayarudi hata kwa dawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…