Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Mzinzi Motoni ,mfiraji Motoni

Wazinzi wa Tz hawana Akili hata moja wao wanajiona watakatifu wakati lazima waingie Motoni so mzinzi Motoni , mfiraji Motoni ,
Kwan wa Tz wana akili sasa? Wao wanawaza ushoga kuliko chochotee, afu sasa hawawezi badilisha chochote wanabaki kulia kwa keyboard, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo uzinzi na ushoga ni kitu kimoja![emoji15][emoji15]

Hauko serious mkuu.
Ni Kwa mujibu wa maandiko niliyoorodhesha kwenye hoja yangu hapo hususan 1korintho 6:9,10 najua wazinifu hampendi kuyasikia haya ila ndio ukweli wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umechanganya uji na mchanga sijui unachuja vipi!

Yaani shoga alietatuliwa marinda, kalegea anatembea kama gari limekatika center bolt unataka umlimganishe na mlevi??? Sasa mlevi si anauwezo wa kwenda kutubu na atabaki kuwa mwanaume ila shoga aiseee once a gay always a gay utakujaje kuwa straight tena?

Hatuhukumu as if sisi ni wasafi ila acha tuikemee kwasababu shoga hafanyi peke yake anamtafuta na asiefanya ili afanye nae ila pombe si unakunywa mwenyewe unazima mwenyewe!
 
Ahsanteeeeee bibiiiiii

Wahusikaaaa wasomeeee kwa umakiniiiiiiiii.
 
Kazi kwao wanaojidanganya kuwa wataiona pepo wakati nafsi zao zinawasuta.
Mie nafsi yangu inaniambia kabisa mzabzab wee ni motoni moja kwa moja maana jtendayo ni kinyume na maagizo ya muumba wako.
Acha uzembe mzinzi mwenzangu. Labda ufe kwa ajali... Ila hivi vifo vingine wajuda tunatumia dakika za mwisho kuomba msamaha kwa Maulana.

Hivi sasa tuzichakate papuchi huku tukiomba tusife mavifo ya ghafla ya ajali.

AMINA, HALELUYA
 
Utakuwa mfuasi wa ushoqer maana ni ajabu Sana kijana wakitanzania na Afrika kutetea ushoga kwa kisingizio Cha zote n dhambi!!.
Mzinifu na shoga daraja lao ni Moja mbele za MUNGU, hukumu atakayohukumiwa mzinifu ndio hivyo hivyo atakayohukumiwa shoga Kwa mujibu wa neno la MUNGU
 
Dhambi ni dhambi, adhabu ya mzinifu na shoga ni hiyo hiyo, wakati wa Nuhu uovu ulizidi duniani ikiwemo jeuri,zinaa na kutokumuabudu MUNGU ndipo akaleta gharika
 
Kama ushoga ni sawa na uzinzi wa kawaida wewe unaufanya?. Maana kusapoti kitu usichokifanya no unafiki wa kiwango kikubwa sana.
Hakuna anayesaport dhambi, dhambi ni dhambi tu bila kujali ni dhambi ya aina Gani usifikiri Mungu atakupunguzia mapigo eti kisa hukua shoga ila ni mzinifu mkubwa.

Kwa mtazamo wako wa kibinadamu unaona shoga ndiye mdhambi sana ilhali wewe mzinifu huna tofauti nae? Tuache dhambi tumrudie MUNGU muda ungalipo, Asante, karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…