Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Ukishazima sasa? Si watakufukua tu? Acha ulevi tunza jamii yako shoga atubu atasamehewa ikiwa atabadilika na kuacha dhambi hiyo tatizo mnafikiri dhambi zenu ni halali ila za wenzenu ndio mbaya
Endelea kuwaelimisha
 
Mkuu acha ujinga. Ushoga ni dhambi ambayo ilishawahi kupata DIRECT PUNISHMENT kutoka kwa Mungu, unalijua hilo?
 


Shida ipo hivi: kuna Watu na mashirika ya watu wanaotetea Ushoga wakisema Ushoga ni haki kati ya haki za binadamu, huwezi kuwasikia wakisema Uzinzi ni haki kati ya haki za binadamu, kumbuka Ushoga ni hatua ya juu kabisa ya Uzinzi na ukisoma historia katika Biblia na Qur'an utakuta kuna Qaum ya watu waliangamizwa na Mungu kutokana na dhambi ya Ushoga (soma Sodoma na Gomora).

Pia lazima ukumbuke Mungu huwa haadhibu watu hadi pale watu wanapochupa mipaka ya maovu baada ya kuonywa, Ushoga ni kuchupa mipaka ya uzinzi basi ili dunia ishishikwe na adhabu ya Mungu inatupasa, sisi tunaojua hatari hii, tukemee kwa nguvu kubwa Vyote kwa pamoja uzinzi na Ushoga.

Kumbuka Ushoga ni hatua ya juu ya Uzinzi.
 
Kwamba mimi ninayezina na toto kali lina makalio yameumuka yamejaa kwenye kipedo halafu siku ya mwisho tupangwe mstari na mtu anayetafunwa! Nitakata rufaa dhambi zangu zipitiwe upya.
 
Hujui madhara ya ulevi kiongozi tabia za kishenzi zinaanzia huko acha ulevi tunza jamii yako

Kaka iyo dhambi uliyoisema ni mpaka shetani anakaa pemben ina Mana ni tofaut kabisa na dhambi na uovu mwingine ambao shetan anakusimamia mzee
 
Lakini wote Motoni tu
 
Jina lakooo,? Maku za Mkumbo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…