Natamani dada Kamala akija TZ aseme maneno kama haya ili nione reaction ya wabongo πNi kampeni ya vikundi vikundi haina impact kivile.. Mikwara ni mingi sana lakini naifananisha na joka la mdimu ama joka la kibisa... Serikali ndio inapaswa itoke hadharani kukemea, kulaani na kuukataa ushoga, kitu ambacho sidhani kama kitawezekana
Atayasema na hakuna kitu tutamfanya trust meNatamani dada Kamala akija TZ aseme maneno kama haya ili nione reaction ya wabongo [emoji28]
View attachment 2570014
Yeah ni kweli kabisa na baadhi yao walishathibitikaUmesahau baadhi ya watangazaji wa media kadhaa ambao wanaongea kama Wanawake
Yeah ni kweli kabisa na baadhi yao walishathibitika
Ngoja tuoneπAtayasema na hakuna kitu tutamfanya trust me
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hebu weka post zote za 'daily' walau kwa siku saba zilizopita nilizoandika kuhusu ushoga
Wanau promote, ila watu hawajajuq badoo.Hizi harakati chini ya kapeti zimejaa unafiki na wanafiki lukuki
natamani tuanzishe kampeni ya kuupinga uchawi/ushirikina kwa style hiihii, yaani lizungumziwe kila kona (kanisani, msikitini, wanasiasa, media zote n.k). Uchawi unamadhara sana kwa taifa letu.Hili jambo mnalifanya lionekane kubwa sana kuliko uhalisia
Ha ha ha[emoji23] mtoto wa Migomigo huyo.. Jasiri haachi asiliShehe miyeyusho huyo nimecheka sana, eti mwanaume unainama kama bodaboda! [emoji23][emoji23][emoji23]
Maafisa usafirishaji wamewakosea nini aisee!
Ni kampeni itakayofeli vibaya mnonatamani tuanzishe kampeni ya kuupinga uchawi/ushirikina kwa style hiihii, yaani lizungumziwe kila kona (kanisani, msikitini, wanasiasa, media zote n.k). Uchawi unamadhara sana kwa taifa letu.