Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

hatari.Lets pray for the nation[emoji1545][emoji1752]
 
Mtiririko wa mada zako ni huu una promote sana bro
Ok lakini umeshindwa kuweka walau post 3 au 4?
Na hapa nimejaribu kupitia tena uzi wangu sijaona popote nilipofanya promotion ya ushoga na ningefanya hivyo hii mada isingekuwa hewani mpaka sasa
 
MNIUEE TU, NGOJENI NIWAPE ISHARA ZAO MASHOGA ZA KUJITAMBULISHA:-
Sikuhiz ukiona baunsa kaa makini wengi ni mshoga... Ukiona wanaume wanaopenda kufuga ndevu nyingi wanapaka hadi mafuta kaa makini wengi ni mashoga... Ukiona mwanaume anapenda kuvaa vikaptula ujue wengi ni mshoga... Ukiona mwanaume anapenda kuvaa visuruali vinabana vifupi ujue wengi wao mashoga... Ukiona mwanaume anapenda kuvaa nguo t-shirt au shati za kumeremeta ujue ni mashoga... Ukiona mwanaume anapenda kuvaa visendoz na soksi za rangi rangi ujue mashoga... Ukiona mwanaume anaambatana sana na wanawake uje ni shoga... MWISHO SI KWA UMUHIM UKIONA MWANAUME ANASEMA USHOGA UNAKUZWA TU UJUE NI SHOGA HILO...
 
Basi kali linux kwa post yako hii naomba nichukue nafasi hii kuomba radhi wale wote wanaokwenda gym kwa nia njema ya kuimarisha afya ya akili na mwili na nitamke wazi kwamba mada yangu kwa hali yoyote ile haiwahusu bali ni wale waliotajwa kwenye ripoti ya Mwakyembrle na wengine wote wenye tabia hizo.. Pokea apology yangu kwa niaba[emoji1545][emoji1752]
 
Shukran mkuu.
 
Kuna baunsa mmoja anaitwa chipokidali hyo alienda mpaka dubai
Na aliolewa huko
Chipokidali mwilijumba Ana gym yke gongo lq mboto
Baada ya kumkimbia jamaa huko dubai ,jamaa akazicujisha video zake za wakilana na kuna moja video chipokidali anaukatikia mhogo dildo
[emoji1]
Kwa sasa usibabaike na mwili wa mwanaume wengi chakula tu papai tu

Ova
 
Kuna hii tuhuma kwamba wanavunjwa uume..! Jeshi la polisi lisikae kimya
 
Mkuu hii ni mitandao ya kijamii, unatakiwa utumie akili zako kujua ujinga,uongo,utani na ukweli

Iko hivi watu wa mazoezi wakiwemo mabaunsa hawana hulka ya umalaya kutokana na activity zao za kila siku anakuwa na mahusiano na sehem moja tu

Sasa malaya na mashoga wakiona mtu sio wasketi kwa sana wanatengeneza uongo uongo tu

Kama unavyojua mashoga yamejikita kupakazia watu maarfu ili kuhalalisha ushoga wao,kuwa makini

Usimezwe na internet imeze internet
Thread 'Kuna uhusiano gani kati ya wabeba vyuma na ushoga?' Kuna uhusiano gani kati ya wabeba vyuma na ushoga?
 
Natambua si wote na si busara hata siku moja kuwajuisha wote kwa tatizo la wachache.. Wanaojitambua wanajitambua na hawana mambo ya kipuuzi hata siku moja
 
Asante nimekuelewa vizuri [emoji1752][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…