Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Naona wana wenye matumbo na vitambi wana ajenda ya kuchafua tasnia ya mazoezi na mbavu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
 
Ajabu sana Hawa mashoga wanaoendelee kuonekana kwanini serikali isiwachukulie Sheria...??.
Shoga agrey
James delicious

???
 
Hivi inakuwaje majitu kama j.lokole wanapewa airtime sana
Mule mjengoni mwao naona kama wanawafuga hao

Ova
Huenda wanaona wana potential ndio maana.

Najuta kuvamia watu PM nikidhani ni pisi kali kumbe mwisho wa siku unagundua ni gays! 😡🤬🤢🤮🤮🤮🤮
 
Ama kampeni ya kupinga wizi na ufisadi na rushwa tukirejea report ya CAG.
Umeona mkuu, hapo tutakuwa tume-hit the spot(tumemkamata mchwawi).
Maana haiwezekani taifa zima makanisani, misikitini, wanasiasa, waandishi wa habari n.k n.k lizunguziwe na kukemewa jambo moja tu kana kwamba ndo kitu kinalimaliza taifa letu, hapana!

Kweli ushoga ni mbaya na wa kupingwa kwa nguvu zote sababu unatuharibia vijana wetu, lakini je? Vipi kuhusu UFISADI, UBADHIRIFU WA MALI ZA UMMA, MATRILLION YANAYORIPOTIWA KUPOTEA baada ya CAG kufanya ukaguzi? Si yanasababisha umasikini!
Vifo mahospitalini kwa kukosa madawa na posho/mishahara na motisha kwa watumishi wa afya!
Barabara mbovu za vumbi za kurekebisha kila mwaka wakati pesa hizo zingetumika kutengeneza lami kila mahali, au ziwape vijana wetu scholarship vyuo vya nje maana hii ya kwetu haina tija mpaka leo barabara, madaraja na reli wanajenga wachina na waturuki maana yake sisi hatuna maarifa ni wajinga!
UJINGA MARADHI NA UMASIKINI! leo tunapiga kelele eti ushoga kweli? Tuko serious?
Hiki ni kituko kilichopangwa na kuratibiwa vyema kabisa! Pongezi kwake director wa muvi hii mpaka sasa Box Office imeshauza $500m
 
Mambo ya Walawi 20:13 Tena mtu mume akilala pamoja na mtu mume, kama alalavyo na mtu mke, wote wawili wamefanya machukizo; hakika watauawa; damu yao itakuwa juu yao.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Halafu kajichubua kawa mwekundu kama tuzi ya panya.

Mchunguzi mwenyewe ni mentally retarded. Huwezi kuwa na akili timamu ukajikoboa sura ukawa mithili ya TUZI.
Huyu dada nimemkumbuka alikuwa meneja wa Dr Shika[emoji16]. Sema haijalishi ana tabia gani, kitu anachopigania ni sahihi
 
Kwa povu hili nimejiridhisha pasi na shaka kuwa wewe ni shoga
 
Kama kweli wewe ni hip-hop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…