Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Hii issue isha kua ya kutaftia Kiki, kweli ushoga upo ila unapaishwa sana ukiwa JF unaweza dhani mtaani kati ya watu 10 watatu ni mashoga kumbe sio kweli.
 
Umesema ukweli mkuu, miaka ya nyuma huko ilikuwa hata kutamka neno shoga hadharani kwa mlengo wa mapenzi ya jinsia moja unahisi kabisa ukakasi na ni kama tusi kubwa tu, lakini miaka ya sasa limekuwa neno la kawaida sana katika umma. This thing is already normalized in the people's mindset
 
Nimependa sana ulivyomchana huyo *****. Kila mtu humu angekua anafanya hivi, hili ***** lingeshaondoka au kufa kabisa
Kabisa mkuu.
Nashangaa watu na heshima zao humu kila siku mada za kujifanya wanasikitikia ushoga ila wanali entertain hili jaa laana!
 
Khee! Huyo kigagula nae katokea wapi?
Sema watu kama hao dawa yao unawapotezea tu, kuwajibu ni kutoa kiki,
Ukimsoma katikati ya mistari anaonesha kabisa soko limeshuka ndio maana ana hasira nawe kigoli wetu [emoji23]
Bora hata coca ana hadhi ya kuchambwa.Wewe nimeishia kukuonea huruma tu masikin ya Mungu..Huyo Coca unayemtetea ndo alitakiwa akutetee wewe🤣🤣
 
Wengi sana! Na bado wanatetea ushetani wao. Wanataka kuzima kasi na harakati za watu dhidi yao eti kisa uliwahi mfata P.M bila kujua. Hawa ni mashetani! 🤬🤬🤬
Si tunajua ulimfata PM ukijua ni demu wala hujakosea.Vipicha vyenyewe anaweka vya pisi kali watu weng wanadhan demu.Awekwe ile ya mapele ya kunyoa ndevu aone kama kuna atakemfuata.
Wasikitishe mkuu.
 
Siwezi kuamlishwa na lesbian.. anaekili kuwa yeye ni msagaji never.
lesbian unamaanisha shoga au msagaji? Lesbian ni mwanamke na gay ni shoga, wanajulikana kama wapenzi wa jinsia moja. Sasa huyo unayemshindilia matusi na kumuita lesbian ni mwanamke msagaji, usidhani unanyukana na gay, shoga, mwanaume mpenda mapenzi ya jinsia moja anayefanywa. Naona umekazana kumuita lesbian, labda kama umemjua ni mwanamke msagaji
 
Kwa kipindi kifupi Sana Tanzania hoja ya ndoa za jinsia moja au mahusiano ya Aina hii yamezua mjadala mkubwa.
Wengi tunaamini tunadhibiti kumbe tunatangaza na kuhubiri huu uchafu bila kuchunguza madhara yakusambaza habari hizi.

Mitandao ya kijamii imejazwa taarifa za ushoga, whatsapp group hata za viongozi WA serikali na viongoz WA Dini zimejaa evidence ya uchafu unaotendeka Duniani. Tujiulize tunadhibiti au tunasambaza habari zakubomoa Taifa?

Kwanini viongozi Kwa kauli moja tusipige marufuku kusambaza picha za hawa waliojikataa nakuchoka kuishi? Kama kusambaza picha za ajali tulisema no na watu wakatii kwanini siyo hizi?

Wapo watu wanatumia huu mwanya kusambaza na kueneza huu ufirauni tukiamini NI watu wema. Leo tuseme usambazaji wa mapicha na video za ajabu tutasaidia watu wasijirekodi wala kushirikisha wengine agenda hii inayoleta laana nchin
 
Tatizo ni la kiroho hili watu wanatakiwa wapige magoti wasali.Kwa nguvu ya binadamu haiwezekani ni mkakati wa shetani huu kuharibu Dunia na wanaanzia marekani Kwa sababu wanajua ndiyo nchi yenye ushawishi mkubwa Duniani.
 
Mimi sina ata moja kwakweli! Ata video ya askari wa Zanzibar sikutaka ata kuiona
 
Tatizo ni la kiroho hili watu wanatakiwa wapige magoti wasali.Kwa nguvu ya binadamu haiwezekani ni mkakati wa shetani huu kuharibu Dunia na wanaanzia marekani Kwa sababu wanajua ndiyo nchi yenye ushawishi mkubwa Duniani.
Kupiga marufuku usambazaji wa picha tunahitaji kusali? Mungu alimaliza KAZI yake pale alipotupa utashi na maarifa ya kujua mema na mabaya. Kama unaona hii ni mbaya utakemea siyo kuhifadhi picha....tumkemee yeyote anapost kwenye groups zetu
 
Back
Top Bottom