Jeep rubicon
JF-Expert Member
- Jan 7, 2023
- 737
- 1,446
I talk to kings not their subkects sir!Lazima upambane kuoga maji ya chumvi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I talk to kings not their subkects sir!Lazima upambane kuoga maji ya chumvi.
Analala hadi makaburini anaitafuta ndoa, kigagula hataki kukubali amepitwa na wakati [emoji23]Lazima upambane kuoga maji ya chumvi.
Ukituambia si rahisi kukuelewa kutokana na mfano uliotumiaMimi sina ata moja kwakweli! Ata video ya askari wa Zanzibar sikutaka ata kuiona
Kupiga marufuku usambazaji wa picha tunahitaji kusali? Mungu alimaliza KAZI yake pale alipotupa utashi na maarifa ya kujua mema na mabaya. Kama unaona hii ni mbaya utakemea siyo kuhifadhi picha....tumkemee yeyote anapost kwenye groups zetuTatizo ni la kiroho hili watu wanatakiwa wapige magoti wasali.Kwa nguvu ya binadamu haiwezekani ni mkakati wa shetani huu kuharibu Dunia na wanaanzia marekani Kwa sababu wanajua ndiyo nchi yenye ushawishi mkubwa Duniani.
Sijui kizungu tafadhali.I talk to kings not their subkects sir!
😂😂😂😂😂😂Analala hadi makaburini anaitafuta ndoa, kigagula hataki kukubali amepitwa na wakati [emoji23]
Wenzie wanakumbatiwa yeye anakumbatia mito [emoji2960]
Kumbe ni FEFE ti huyo baradhuli anayejitia kumtetea PAPAI mwenzio hapo 😂😡🤬🤬🤬🤬🤢🤢🤢🤢🤮🤮🤮🤮🤮Bora hata coca ana hadhi ya kuchambwa.Wewe nimeishia kukuonea huruma tu masikin ya Mungu..Huyo Coca unayemtetea ndo alitakiwa akutetee wewe🤣🤣
Analala hadi makaburini anaitafuta ndoa, kigagula hataki kukubali amepitwa na wakati [emoji23]
Wenzie wanakumbatiwa yeye anakumbatia mito [emoji2960]
Siongei na bobi naongea na mfuga bobi.Sijui kizungu tafadhali.
VIce president aliyeongelea au kugusia juzi kati hapa alikuwa mjinga?! Mzee mwakyembe ni mjinga?! Kila mwanaharakati na watu wa dini wanaopinga ni wajinga ndani na nje?!Ungesema watanzania wengi walio wajinga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asante kwa pole baba.
Hivi ulisema una nyota ya kupendwa JF?Hongera baba etu mwenye nyotraaaaaa([emoji16][emoji16]) ya kupendrwaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] JF na mwenye nyotraaaaa ya kuwaliza wazazi wako wanaojutraaaaaaaaa Kudhaaaa kidoume chenye nyotraaaa ya menndreee mchezea maviliciousssssss[emoji1787][emoji8]
Semaaaa weee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]1. Sijaona anaekataa ushoga Kwa dhati. Wengi hupinga wakiona kadamnasi Ila sirini wanafanya yao. Eg. Media houses maarufu, na celebrities ushuzi Wana viashiria hivyo na wanatukuzwa.
2. Ndio maana mashoga wanaongezekana na huwaoni wakiongozana na wenza wao hadharani (Mambo yote hufanyika kizani, Kwa Siri kubwa)
3. Kama tunamaanisha, tuanze Sasa (2023)
NB: Kuteleza si kuanguka, tulikosea, turekebishe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huku unafikiii unawasumbuaaaa uwiiiiiiiihSio Marekani tu, sehemu nyingi za Ulaya habari za mashogo sio issue kabisa. Wanajiachia kabisa na mpaka kuna mwezi wa kusherehekea hao watu.
Alafu maisha yako safi tu, sijui labda kuna kitu sisi hatukijui [emoji23].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanzo ulikataa halafu sasa hivi unasema ulitaka kuprove kama ni Gay or not [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unafki wa Watanzania upo level ya mnara wa babeli [emoji119]
BICHWA KOMWEE njoo ujionee maajabu huku dear
Akikataliwa anakua bitter, anadhan kila mtu yuko 4 every 1, wengine wana ndoa zao bhanaa.Anajifanya mlokole kumbe gizani anapapasa makalio ya watu [emoji23]