Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Kwa kipindi kifupi Sana Tanzania hoja ya ndoa za jinsia moja au mahusiano ya Aina hii yamezua mjadala mkubwa.
Wengi tunaamini tunadhibiti kumbe tunatangaza na kuhubiri huu uchafu bila kuchunguza madhara yakusambaza habari hizi.

Mitandao ya kijamii imejazwa taarifa za ushoga, whatsapp group hata za viongozi WA serikali na viongoz WA Dini zimejaa evidence ya uchafu unaotendeka Duniani. Tujiulize tunadhibiti au tunasambaza habari zakubomoa Taifa?

Kwanini viongozi Kwa kauli moja tusipige marufuku kusambaza picha za hawa waliojikataa nakuchoka kuishi? Kama kusambaza picha za ajali tulisema no na watu wakatii kwanini siyo hizi?

Wapo watu wanatumia huu mwanya kusambaza na kueneza huu ufirauni tukiamini NI watu wema. Leo tuseme usambazaji wa mapicha na video za ajabu tutasaidia watu wasijirekodi wala kushirikisha wengine agenda hii inayoleta laana nchin
 
Tatizo ni la kiroho hili watu wanatakiwa wapige magoti wasali.Kwa nguvu ya binadamu haiwezekani ni mkakati wa shetani huu kuharibu Dunia na wanaanzia marekani Kwa sababu wanajua ndiyo nchi yenye ushawishi mkubwa Duniani.
 
Mimi sina ata moja kwakweli! Ata video ya askari wa Zanzibar sikutaka ata kuiona
 
Tatizo ni la kiroho hili watu wanatakiwa wapige magoti wasali.Kwa nguvu ya binadamu haiwezekani ni mkakati wa shetani huu kuharibu Dunia na wanaanzia marekani Kwa sababu wanajua ndiyo nchi yenye ushawishi mkubwa Duniani.
Kupiga marufuku usambazaji wa picha tunahitaji kusali? Mungu alimaliza KAZI yake pale alipotupa utashi na maarifa ya kujua mema na mabaya. Kama unaona hii ni mbaya utakemea siyo kuhifadhi picha....tumkemee yeyote anapost kwenye groups zetu
 
Nakubaliana kabisa na mleta uzi.

Nilisema na ninazidi kusema, siku tukija kushtuka tutakuwa tumeshachelewa sana.

Hii siasa inayofanywa sio ya kupinga/kukemea bali ndio ya kueneza LGBTQ kulivyoletwa hapa kwetu. Unagundua hakuna Mamlaka itafanya/kuchukua hatua yoyote juu ya LGBTQ.
 
Bora hata coca ana hadhi ya kuchambwa.Wewe nimeishia kukuonea huruma tu masikin ya Mungu..Huyo Coca unayemtetea ndo alitakiwa akutetee wewe🤣🤣
Kumbe ni FEFE ti huyo baradhuli anayejitia kumtetea PAPAI mwenzio hapo 😂😡🤬🤬🤬🤬🤢🤢🤢🤢🤮🤮🤮🤮🤮
 
Ungesema watanzania wengi walio wajinga
VIce president aliyeongelea au kugusia juzi kati hapa alikuwa mjinga?! Mzee mwakyembe ni mjinga?! Kila mwanaharakati na watu wa dini wanaopinga ni wajinga ndani na nje?!

Unamjua kiuhalisia kila aliyemo humu na anaeanzisha uzi ni nani na ana wadhifa gani?! Unafkiri hata mawaziri, mabalozi na baadhi ya marais wanalifurahia hili?! Ni kwamba hawana pa kusemea. Baadhi tuliamua/waliamua kutumia watu kufikisha ujumbe dhidi ya kupiga vita ushetani huu na wengine tulikimbilia huku JF kutolea sumimu zetu huku.

Hakuna ujinga... hili ni janga! Jifanye bright puuza na lala, matokeo yake utayaona.

Kama una mtoto/ watoto nakushauri kaa kimya. Boresha malezi upya na uangalizi wa watoto. DUNIA IMEKWISHA!
 
Asante kwa pole baba.

Hivi ulisema una nyota ya kupendwa JF?Hongera baba etu mwenye nyotraaaaaa([emoji16][emoji16]) ya kupendrwaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] JF na mwenye nyotraaaaa ya kuwaliza wazazi wako wanaojutraaaaaaaaa Kudhaaaa kidoume chenye nyotraaaa ya menndreee mchezea maviliciousssssss[emoji1787][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dj waleteeeeeeeeee, watu wanatesekaaa na coca hukuuuu, jaman napendwaaaaaaa mie.

Waleleeeeeeeeeh!!!!!
 
1. Sijaona anaekataa ushoga Kwa dhati. Wengi hupinga wakiona kadamnasi Ila sirini wanafanya yao. Eg. Media houses maarufu, na celebrities ushuzi Wana viashiria hivyo na wanatukuzwa.

2. Ndio maana mashoga wanaongezekana na huwaoni wakiongozana na wenza wao hadharani (Mambo yote hufanyika kizani, Kwa Siri kubwa)

3. Kama tunamaanisha, tuanze Sasa (2023)


NB: Kuteleza si kuanguka, tulikosea, turekebishe.
Semaaaa weee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio Marekani tu, sehemu nyingi za Ulaya habari za mashogo sio issue kabisa. Wanajiachia kabisa na mpaka kuna mwezi wa kusherehekea hao watu.

Alafu maisha yako safi tu, sijui labda kuna kitu sisi hatukijui [emoji23].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huku unafikiii unawasumbuaaaa uwiiiiiiiih
 
Back
Top Bottom