Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Kwa jinsi Tatizo la Ushoga lilivyo kubwa Tanzania hadi 2030 wanaume watakua wamepungua sana.

Kwa Africa mashariki na kati Tanzania ndo inaongoza kwa kuwa na tatizo kubwa la Ushoga ndo inaongoza kuliko nchi yoyote ile Africa Mashariki na kati.

Zanzibar hali sio shwari, Ukija Dar ndo usiseme kuanzia kinondoni, Mbagala, magomeni, hadi Sinza hali ni tete

Ifikapo 2030 hali itakua mbaya sana nahisi wanaume marijali hawatokuwepo kabisa ni kawaida kinondoni, magomeni, temske buza k.koo mbagala hadi Sinza kukuta shoga ila baada ya nyumba kadhaa.

Moshi na Arusha nao wana nafasi yao huko ushoga umeshamiri sana kiasi cha kutishia ustawi wa kizazi cha kaskazini Arusha ushoga umeshamiri sana

Kinondoni mashoga wamejaa sana vijana wengi wa gym kinondoni wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Mitandao kama fb, badoo, insta, na tinder huko ndo pamejaa mashoga, tena ogopa sana mwanaume ambaye yupo badoo na tinder huyo atakua ana association na mashoga

By 2030 sijui kama marijali watabaki wa kutafuta na tochi
Aisee.

Niweka Tangazo la kazi mtandaoni kuwa natafuta vijana.
Katika hao walio apply kuna mashoga wawili.
You can see him when he open his mouth.
Its very sad kwakweli
 
Ifike mahala content za aina hii humu JF zipate zuio la moja kwa moja mana kwa uhuru huu watu wa aiana hii watafanya hivi kila wakati mana huyu mtu ana uzi wake mwingine unahusiana na hili hili jambo sasa kaanzisha tena huu mwingine content ile ile duh hii hatari sasa ata kwa afya ya akili zetu kuona jambo baya mara kwa mara aisee mkuu stop this non sense we kama unawaona kaa nalo huko huko au unahisi humu ndani wote tupo kwa wazazi kias kwenda bara au club mpaka tuombe ruhusa….[emoji35][emoji35][emoji35]
Mbona umekasirika sana?
 
Dar ni sehemu ndogo sna Tanzania,ukiiondoa dar kieneo ata ukiitazama Tanzania Kwenye ramani hutagundua mapungufu
 
Ziache pisi ziendelee kuringa tuuu! Muda si mrefu kibao kitageuka watakuwa wao ndio Madanga...
 
Mnawaonea wapi? Mbona wengine hatuwaoni kwa idadi hiyo? Mara ya mwisho kuona kiumbe cha aina hii ni muda sana, tena kwa kuambiwa unamuona yule? Ni shoga. Inawezekana circle yako inaruhusu hilo.
Mazee kwa sasa huwezi kuwajua sababu sifa yao kubwa ni usela..yaani wasenge wenye muonekano wa kisela ndiyo wana soko kubwa sana...Ukisubiri waliolegea utasubiri sana.....wana mitandao yao wanajieleza hivyo....
 
Kwa jinsi Tatizo la Ushoga lilivyo kubwa Tanzania hadi 2030 wanaume watakua wamepungua sana.

Kwa Africa mashariki na kati Tanzania ndo inaongoza kwa kuwa na tatizo kubwa la Ushoga ndo inaongoza kuliko nchi yoyote ile Africa Mashariki na kati.

Zanzibar hali sio shwari, Ukija Dar ndo usiseme kuanzia kinondoni, Mbagala, magomeni, hadi Sinza hali ni tete

Ifikapo 2030 hali itakua mbaya sana nahisi wanaume marijali hawatokuwepo kabisa ni kawaida kinondoni, magomeni, temske buza k.koo mbagala hadi Sinza kukuta shoga ila baada ya nyumba kadhaa.

Moshi na Arusha nao wana nafasi yao huko ushoga umeshamiri sana kiasi cha kutishia ustawi wa kizazi cha kaskazini Arusha ushoga umeshamiri sana

Kinondoni mashoga wamejaa sana vijana wengi wa gym kinondoni wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Mitandao kama fb, badoo, insta, na tinder huko ndo pamejaa mashoga, tena ogopa sana mwanaume ambaye yupo badoo na tinder huyo atakua ana association na mashoga

By 2030 sijui kama marijali watabaki wa kutafuta na tochi
Ila mna exaggerate sana ...siyo kwa wingu huo.....naona wewe unahamasisha ushenzi huu
 
Nimekaa Dar, Arusha, Moshi, Mbeya, Dom n.k

Hao mashoga huwa mnakutana nao wapi? Ukiniambia Moshi na Arusha kumejaa mashoga siwezi kuamini hata unishikie bunduki.

Hiyo research yako NI kiboko yaani Africa mashariki na kati Tanzania inaongoza????!!!

Moderator hivi nyuzi kama hizi kwanini mnazilea?
 
Mazee kwa sasa huwezi kuwajua sababu sifa yao kubwa ni usela..yaani wasenge wenye muonekano wa kisela ndiyo wana soko kubwa sana...Ukisubiri waliolegea utasubiri sana.....wana mitandao yao wanajieleza hivyo....
Sawa. Naomba MUNGU wabaki kwenye mitandao yao.
 
Inasikitisha sana.

Hivi kwanini ushoga umeshamiri sana pwani na zenji?shida nini hasa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu ya kihistoria pia.Wanawake walilinda bikira zao wakaruhusu laini 2 itumike Ili kulinda laini one Ili kuepuka aibu.
Zamani uarabuni huna bikira kisu kinakuhusu so kulinda bikira unafungua laini two, ikapelekea wanaume kunogewa
 
[emoji780][emoji780][emoji780][emoji780][emoji780]
Kuna kitu kuhusu wewe
 
tangu uanze had leo mbona hawajaisha ulianza miaka ya sodoma had leo n miaka zaidi ya laki moja….acha mihemuko
Sijui watu wametoa wapi dhana kwamba ushoga unafundishwa au ukipewa airtime ndio idadi ya mashoga itapaa. Kama lijali ni lijali tu, ukizaliwa na mkanganyiko wa kijinsia hamna dawa zaidi ya kukubali matokeo. Ni sehemu ya maisha sio siasa, propaganda au mambo ya kiimani. Umetoa mfano mzuri, ushoga upo toka zama za giza na bado vidume kamili wapo kibao hawajaisha hadi leo.
 
Mnawaonea wapi? Mbona wengine hatuwaoni kwa idadi hiyo? Mara ya mwisho kuona kiumbe cha aina hii ni muda sana, tena kwa kuambiwa unamuona yule? Ni shoga. Inawezekana circle yako inaruhusu hilo.
Swali zuri sana
 
Hiki kitu kinakuja juu kwa kasi sana, ukienda sehemu za starehe Tabata, sinza, Kigamboni, Kinondoni unaweza jionea jinsi vijana wamechafukwa roho.
 
Si kweli!asilimia kubwa wanaitwa mashoga bongo kutokana na maumbo yao au sauti ,zao,
Unapiambiwa huyo shoga jaribu kufuatilia
Watu wengi wamedhalilishwa kwa kuitwa mashoga
Shoga ni shoga uwa hawajifichi hata awe na umbo la misuli
Tupunguze mihemko kwa kuita tu mtu shoga ,tunawaumiza mioyo ndugu zetu

SEMA TZ NI WATAALAMU WA KUZUSHA MAMBO HATUNA TAKWIMJ HALISI
 
Yaani iko hivi huyu jamaa kaamua kuelimisha jamiii sasa km anafanya au hafanyi yeye kaleta taarifa mwenye sikio na asikie mwenye kuweka gundi aweke kuuuumbe na Mbagala jamani kule kuchafu kuchafu eti nako kuna mashoga!

si watakuwa ni full fungus??? kule maji safi ya bomba wana pata wapi maskini wale?? Hosp nzuri nzuri za kuwapima watapata wapi?? ile ya Rangi tatu choka mbaya mweeeeee! kazi ipo!
 
Shetani kazini, lakini ushoga umekuwepo kabla ya media kuwepo.
 
Back
Top Bottom