The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Magwiji πAngalia mnavyochekwaView attachment 2574123
Siku basha fulani likija kuleta mahari kwa ajili ya mwanao wa kiume na kujitambulisha kuwa ni mchumba wake wa muda mrefu, ndipo utakapokuja kutambua ukubwa wa tatizo la ushoga hapa nchini.Siasa ni sayansi, inahitaji umahiri na kuwatambua vizuri watu unao waongoza.
Ni ukweli kwamba serikali ya awamu hii imejaa wabobezi wa 'propaganda' na 'spinning', sio ajabu wao ndio wanaamua nini kiwe ajenda kwenye mijada ya watu mitandaoni.
Ziara ya Kamala Harris imekuwa sandwiched na kupokea ripoti ya CAG wakati huohuo ma spin doctors wabobevu akina 'Mwaisa' wakiwasha moto kwa kujilipua dhiti ya kusambaaa kwa ushoga nchini [emoji1787][emoji1787], mara dawa za meno, mara sijui perfume, yaani wananchi wako fully occupied.
CCM itatawala milele, wabongo ukiwajua vizuri hawakusumbui kuwaongoza.
ππππSiku basha fulani likija kuleta mahari kwa ajili ya mwanao wa kiume na kujitambulisha kuwa ni mchumba wake wa muda mrefu, ndipo utakapokuja kutambua ukubwa wa tatizo la ushoga hapa nchini.
Licha ya tatizo la ajira kwa vijana wengi hapa nchini, wewe unakenua tu meno kwa kuwa mwanao ana bahati ya mtende ya kubadilisha kazi jinsi atakavyo, na ni mwenye juhudi ya kufanya uwekezaji licha ya umri wake mdogo, kumbe hujui kitu chochote kile nyuma ya pazia. Tatizo la ushoga lipo na tena limepiga hodi katika familia nyingi sana hapa nchini, ama kwa kujua ama kutokujua.
Usalama wa watoto ni mdogo sana. Si makanisani, misikitini, sunday schools, madrassa, kwa waganga wa kienyej, kwenye tution, katika school bus, ndani ya nyumba zetu, kwa bodaboda, kwa majirani, na kila mahali.
Ni lazima ufunge na kuomba kwa Mungu, ili familia yako isiwe muhanga wa tatizo hili.
Hawa ndio wanakula Bata sasaMagwiji [emoji16]
Fear of the unknown may turn on and be a real anxiety and disgrace.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fear of the unknown, it works like a charm.
Umenikumbusha habari za popobawa kipindi kile cha awamu ya 4. Kweli serikali inajua kucheza na akili za wabongo.