Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Siasa ni sayansi, inahitaji umahiri na kuwatambua vizuri watu unao waongoza.

Ni ukweli kwamba serikali ya awamu hii imejaa wabobezi wa 'propaganda' na 'spinning', sio ajabu wao ndio wanaamua nini kiwe ajenda kwenye mijada ya watu mitandaoni.

Ziara ya Kamala Harris imekuwa sandwiched na kupokea ripoti ya CAG wakati huohuo ma spin doctors wabobevu akina 'Mwaisa' wakiwasha moto kwa kujilipua dhiti ya kusambaaa kwa ushoga nchini 🤣🤣, mara dawa za meno, mara sijui perfume, yaani wananchi wako fully occupied.

CCM itatawala milele, wabongo ukiwajua vizuri hawakusumbui kuwaongoza.
 
Angalia mnavyochekwa
Screenshot_20230402_100007_Instagram.jpg
 
Siasa ni sayansi, inahitaji umahiri na kuwatambua vizuri watu unao waongoza.

Ni ukweli kwamba serikali ya awamu hii imejaa wabobezi wa 'propaganda' na 'spinning', sio ajabu wao ndio wanaamua nini kiwe ajenda kwenye mijada ya watu mitandaoni.

Ziara ya Kamala Harris imekuwa sandwiched na kupokea ripoti ya CAG wakati huohuo ma spin doctors wabobevu akina 'Mwaisa' wakiwasha moto kwa kujilipua dhiti ya kusambaaa kwa ushoga nchini [emoji1787][emoji1787], mara dawa za meno, mara sijui perfume, yaani wananchi wako fully occupied.

CCM itatawala milele, wabongo ukiwajua vizuri hawakusumbui kuwaongoza.
Siku basha fulani likija kuleta mahari kwa ajili ya mwanao wa kiume na kujitambulisha kuwa ni mchumba wake wa muda mrefu, ndipo utakapokuja kutambua ukubwa wa tatizo la ushoga hapa nchini.

Licha ya tatizo la ajira kwa vijana wengi hapa nchini, wewe unakenua tu meno kwa kuwa mwanao ana bahati ya mtende ya kubadilisha kazi jinsi atakavyo, na ni mwenye juhudi ya kufanya uwekezaji licha ya umri wake mdogo, kumbe hujui kitu chochote kile nyuma ya pazia. Tatizo la ushoga lipo na tena limepiga hodi katika familia nyingi sana hapa nchini, ama kwa kujua ama kutokujua.

Usalama wa watoto ni mdogo sana. Si makanisani, misikitini, sunday schools, madrassa, kwa waganga wa kienyej, kwenye tution, katika school bus, ndani ya nyumba zetu, kwa bodaboda, kwa majirani, na kila mahali.

Ni lazima ufunge na kuomba kwa Mungu, ili familia yako isiwe muhanga wa tatizo hili.
 
😂😂😂😂
Fear of the unknown, it works like a charm.

Umenikumbusha habari za popobawa kipindi kile cha awamu ya 4. Kweli serikali inajua kucheza na akili za wabongo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fear of the unknown, it works like a charm.

Umenikumbusha habari za popobawa kipindi kile cha awamu ya 4. Kweli serikali inajua kucheza na akili za wabongo.
Fear of the unknown may turn on and be a real anxiety and disgrace.

Maandiko matakatifu yanatupa angalizo kuwa nyakati za mwisho zitakuwa kama zile za wakati wa Sodoma na Gomora, ama nyakati za Nuhu, na baya zaidi upendo wa wengi utapoa.

Usichoke kusali na kumcha Mungu. Kwa ajili ya mambo ya kiuchumi weka mipango ya miaka 100 ijayo, lakini kwa ajili ya hofu ya Mungu, weka mipango na jiandae kwa ajili ya kesho yako. Ya Kaizari mpe yake, na ya Mungu mpe yake.
 
Namsikiliza Apostle Mwamposa Buldoza hapa. Mafunzo yake ya leo amekemea ushoga bila kupepesa macho.
Amesifu nchi ambazo zimeweka wazi misimamo yao ya kukataa ushoga. Amesisitiza kila kiungo kina kazi yake na suala la mashoga ni kazi ya shetani.
Amesema kama kweli wanaweza kubadili matumizi ya vitu basi wakawashe umeme kwa kutumia hasi kwa hasi au chanya kwa chanya.

Anaendelea......
 
1. Miaka 60+ ya uhuru bado tunategemea wafadhil hata Kujenga matundu 25@@ ya vyoo? (Pichani).

2. Rasilimali kibao (madini-Tanzanite, diamond, gold n.k) Ila bado hatujazifaidi achilia vivutio vya utalii (Mt. Kilimanjaro, Serengeti na Zanzibar).

3. Uvivu wa kufikiri na kufanya Kazi (kuliko jirani zetu Kenya - Ajira SEKTA binafsi zinaenda kwao kuanzia hospitality-hoteli, aviation, tour companies, bank/insurance/telecoms hata zile za mashirika ya kimataifa UN/EAC/AU.

4. Tuna bandari Dar, Mtwara, Tanga ambazo tumezikuta bure (Inahudumia nchi 8 landlocked countries - Zimbabwe, Zambia, Uganda, Congo DR, Malawi, Rwanda, Burundi, South Sudan).

NB: Tusipobadilika, tusitafute mchawi
 
Attachments

  • Screenshot_2023-03-18-20-03-55-56_1c337646f29875672b5a61192b9010f9.jpg
    Screenshot_2023-03-18-20-03-55-56_1c337646f29875672b5a61192b9010f9.jpg
    145.9 KB · Views: 8
Leo kaamua kusambaratisha kabisa ajenda ya ushoga na usagaji....ni lazma dini na wote wenye akili timamu na hofu ya Mungu tukemee ufedhuli huu ambao tunalazimishiwa kuukubali...injili isonge mbele
 
Sasa mchungaji; mbele ya Mungu mashoga hawana haki? Kwa kuwa yeye ni mweza wa yote, hakuwazuiya aliwaacha waendelee na starehe yao. Utasema ni kazi ya shetani, huyo shetani kamzidi maarifa Mungu?
 
Back
Top Bottom