Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

1. KUZUNGUMZIA SANA USHOGA NI KU UPROMOTE.

2. HUJUI MATUMIZI YA VIDONGE VYA UZAZI WA MPANGO

3. HUJUI MADHARA YA P2, MOSO NK.

Huna hujualo.

MIMI NAMUACHIA MUNGU MWENYEWE NDIYE MTETEZI WANGU NA FAMILIA YANGU.

Huku nikiendelea kuwalea WATOTO wangu kwa Maadili na Miiko
 
Vijana wengi MASHOGA ni Abdal , juma Mohamed, Hussein nk.

ACHENI KUOA WAKE WANNE MALEZI YATAWASHINDA LEENI WATOTO WENU.
 
Kwanini usiseme hapa? Kama ni mpigana vita wa kweli kwanini umuite Mwakyembe sirini? Hujiamini?
 
Kasema turejee kujifunza vile Mungu alivyochukizwa na Sodoma na Gomora.

Kwani aliangamiza kizazi chote sababu ya ushoga.

Ni jambo lenye kumchukiza Mwenyezi kupita kiasi kiasi cha kushusha adhabu ya kuangamiza mazima.
 
Ni uovu ,ni dhambi lakini kamwe hatutakiwi Kwa namna yoyote kuwabagua au kufiiKria kuwaua,hii kamwe haiwezi kuwa suluhisho la kuondoa uovu duniani,Mungu alishawaangamiza wote Kwa moto wakati mmja ,lakini Sasa bado wapo,bado kizazi kile cha uovu kimeibuka tena.Njia sahihi ni kuwaonyesha upendo kama watu wengine na kuwaeleza ubaya wa tabia Yao.

Hawa ni binadamu wenzetu bado wanafasi ya kutengenezea na kwenda sawa na Mungu ,kama Yesu angelikuwepo zama hizi angeliuza asiye na dhambi awe wa kwanza kuwahukumu.s

Sisi kama jamii Kwa pamoja hatujawajibika kikamilifu kwenye malezi,wafiraji wao wanaonekana hawana dhambi yeyote kwenye jamii.Ndoa zinapovunjika pengine hakuna anayejali kuhusu malezi ya watoto tena,Kila mtu anafikiri kupata mke au mume mpya tena.

Tusichukue hukumu la kuhukumu,Yesu ndiye atahukumu Kwa wakati wake ,sitetei uovu.Wote tuwajibika Kwa pamoja,hata wewe Yesu bado anakukubali
Ni swala la wewe kuamua kurejea kwake.
 
Angewahubiria habari njema za wokovu,waache dhambi ili waurithi uzima wa milele,mana ndio ilikua hasa utume wake,kumbuka alikaa na kula pamoja na makahaba akiwahubiria habari njema za wokovu.
 
@Pentamycin: mtu akiweka wazo apa uwa anakuwaga na majibu yake ko apa uwa anataka apate ya ziada ili aoanishe nankupata jibunzur...

Tuanze na ww uliwaza ange ubir nn unadhan
 
Mkuu 'Abdallah_Kichwaz'; pamoja na kukubaliana nawe kimsingi kuhusu mambo kadhaa uliyoyataja, lakini naiona mada yako ni nyepesi mno, pengine hukupa muda wa kutosha kuitafakari kabla ya kuileta hapa.

Mfano mzuri wa kwanza ni kuhusu kichwa cha mada yenyewe. Wewe unaonana tatizo kubwa litakalotokana na hii "omba omba" tunayofanya ni hatari ya "ushoga"? Kweli, hilo ndilo tatizo tunaloweza kuliweka mbele zaidi katika kuhatarisha uhuru wetu?
Wewe huoni kabisa mambo yenye uzito kabisa na hatarishi zaidi kwetu zaidi ya "ushoga"?

Mfano mwingine unaoonyesha hoja zako juu ya mada hii kuwa nyepesi zaidi ni kuilinganisha Tanzania na Kenya katika mambo hayo uliyolilia kuwa tunayakosa sisi. Hujui kwamba hayo yote huko Kenya ni wageni wanaokuja kuyaendesha? Unadhani wakenya ndio wenye bidii ya kazi na uwekezaji unaofanyika huko?

Ningekusoma vizuri sana kwenye mada yako hii, kama ungekazia kwenye viongozi wetu kuwa waangalifu na hii ombaomba isiyokuwa na mwisho, na hata wakiomba, hayo tunayopewa manufaa yake hatuyaoni! Hilo ni tatizo.

Lakini ningekubaliana nawe sana, kama ungeweka mzkazo kwenye mada yako juu ya viongozi wetu hawa kutilia mkazo juu ya juhudi zetu sisi wenyewe, katika uwekezaji kwa njia mbalimbali katika maendeleo ya nchi yetu. Ni viongozi hawa hawa ndio wanaosimamia kuhujumu juhudi za wananchi katika maeneo mbalimbali. Hili ndilo tatizo namba moja linalosababisha nchi yetu isipate maendeleo tunayotegemea kuyapata.

Wewe unadhani wananchi hawawezi kutengeneza hivyo "vyoo vya mashimo"? Lakini viongozi hawapo tayari kuwaunga mkono wananchi katika juhudi hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…