Kwanini uone ni kiherehere na sio roho ya uzazi au uzalendo au uafrika?Acha kiherehere si wanafukua na kufukuliwa wao wenyewe??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini uone ni kiherehere na sio roho ya uzazi au uzalendo au uafrika?Acha kiherehere si wanafukua na kufukuliwa wao wenyewe??
Kweli sina "NIJUHALO" ila nina kubwa nijualo.Huna hujualo.
Kama kuua itafikia sehemu kila nyumba msiba na hawataishaDawa ya Shoga ni kumuua tu.
Bora Msiba kila nyumbaKama kuua itafikia sehemu kila nyumba msiba na hawataisha
Unataka kuvuruga huu uzi makusudi.Vijana wengi MASHOGA ni Abdal , juma Mohamed, Hussein nk.
ACHENI KUOA WAKE WANNE MALEZI YATAWASHINDA LEENI WATOTO WENU.
Sio suluhishoBora Msiba kila nyumba
Tatizo lilianzia usimamizi wa katiba, kumbe sheria ipo ya muda mrefuMiaka ya nyuma ilikuwa kwanza ni aibu na jambo la kufedhehesha kusikia mtu anazungumza neno "shoga"
ili tuendako itakuwa ni Normal kabisa watu wata Lizoea...
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
@Pentamycin: mtu akiweka wazo apa uwa anakuwaga na majibu yake ko apa uwa anataka apate ya ziada ili aoanishe nankupata jibunzur...Ni uovu ,ni dhambi lakini kamwe hatutakiwi Kwa namna yoyote kuwabagua au kufiiKria kuwaua,hii kamwe haiwezi kuwa suluhisho la kuondoa uovu duniani,Mungu alishawaangamiza wote Kwa moto wakati mmja ,lakini Sasa bado wapo,bado kizazi kile Cha uovu kimeibuka tena.Njia sahihi ni kuwaonyesha upendo kama watu wengine na kuwaeleza ubaya wa tabia Yao.Hawa ni binadamu wenzetu bado wanafasi ya kutengenezea na kwenda sawa na Mungu ,kama Yesu angelikuwepo zama hizi angeliuza asiye na dhambi awe wa kwanza kuwahukumu.sisi kama jamii Kwa pamoja hatujawajibika kikamilifu kwenye malezi,wafiraji wao wanaonekana hawana dhambi yeyote kwenye jamii.Ndoa zinapovunjika pengine hakuna anayejali kuhusu malezi ya watoto tena,Kila mtu anafikiri kupata mke au mume mpya tena.Tusichukue hukumu la kuhukumu,Yesu ndiye atahukumu Kwa wakati wake ,sitetei uovu.Wote tuwajibika Kwa pamoja,hata wewe Yesu bado anakukubali
Ni swala la wewe kuamua kurejea kwake.
InasikitishaTunaomba Hadi kero
Mkuu 'Abdallah_Kichwaz'; pamoja na kukubaliana nawe kimsingi kuhusu mambo kadhaa uliyoyataja, lakini naiona mada yako ni nyepesi mno, pengine hukupa muda wa kutosha kuitafakari kabla ya kuileta hapa.1. Miaka 60+ ya uhuru bado tunategemea wafadhil hata Kujenga matundu 25@@ ya vyoo? (Pichani).
2. Rasilimali kibao (madini-Tanzanite, diamond, gold n.k) Ila bado hatujazifaidi achilia vivutio vya utalii (Mt. Kilimanjaro, Serengeti na Zanzibar).
3. Uvivu wa kufikiri na kufanya Kazi (kuliko jirani zetu Kenya - Ajira SEKTA binafsi zinaenda kwao kuanzia hospitality-hoteli, aviation, tour companies, bank/insurance/telecoms hata zile za mashirika ya kimataifa UN/EAC/AU.
4. Tuna bandari Dar, Mtwara, Tanga ambazo tumezikuta bure (Inahudumia nchi 8 landlocked countries - Zimbabwe, Zambia, Uganda, Congo DR, Malawi, Rwanda, Burundi, South Sudan).
NB: Tusipobadilika, tusitafute mchawi