Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Sawasawa, huenda ulaji ukachangia angalau asilimia 1
 
Mi najiuliza.....mtu anajua kabisa akiwa shoga atakataliwa na familia yake, au hata kuuawa, kupata laana n.k......lakini bado anakua shoga....

Sababu ya kufanya hivo lazima iwe nzito sana, lazivyo wasingerisk vitu vyote hivyo....na hakuna faida wanapata, kama ni kugegedana ukigegedana na demu kitu si kilekile tu
 
Angewahubiria habari njema za wokovu,waache dhambi ili waurithi uzima wa milele,mana ndio ilikua hasa utume wake,kumbuka alikaa na kula pamoja na makahaba akiwahubiria habari njema za wokovu.
Sasa hapo kakosea kusema hivyo, kwani habari ya wokovu haiendani na maisha halisi tunayoishi
 
Viongeleeni kwasababu ni vyenu ila huo uspecial mnaovipa havina.

Uongozi wenu mbovu ndo tatizo, mnaweza kua na kimoja tu kati ya hivyo na mkatoboa, ni akili tu.
Kwa hiyo unataka tuongelee "uongozi", na siyo hivyo vitu?

Huko kwingine je, nako kuna uongozi?

Naona kuna mkanganyiko usiokuwa na maana kwenye mjadala huu.
 

Tuanzie hapo
 
ila tusitumia uvumi kuhukumu watu , hii mentality inaeza kukuangukia wew au hata ndugu yako ukawa victims wa uvumi , tuwe na research sio uvumi wa mdomon
Haya mambo mnayakuza bure,wala siyo mengi ka mnavyoyapa promo
 
Humu kwenye mitandao kuna viongozi wana vijana wao,kazi yao ni kuyumbisha ,mambo au habari fulani isiongelewe,tunaongea ushoga ,huku za ndege zinapigwa
 
Ushoga Una ufananisha na panya road?? Hauko serious wee

Pengine kuna kitu unanufaika nacho kwenye hiyo secta ndio maana hauoni u-seriously wake

Endelea kunufaika nao mkuu ila sisi tunalilia tuzuie kizazi chetu kisiteketee

Ushoga-kinyume na maumbile- usagaji na ukabaji - upanya road uvunjaji na uibaji na kujeruhi- zote ni tabia chafu so hatutaki tabia mbovu kwa vijana wetu lazima tuzifananishe wewe kama unaona kuna tabia moja inafaa hapo ni vilee uelewa wako tu na mwisho wako wa kuelewa

Vigumu sana kuelewa kama una unga mkono UPINDE ila upande wangu ushoga ni kati ya tabia chafu so naziweka katika tabia chafu ikiwepo UPOLAJI na uvunjaji na kujeruhi na wizi kiujumla yaani PANYA ROAD- uwezi nielewa labda nitoe haya maneno kwenye uandishi niyaweke kwenye sound-loud yaani yasikilizike- Are you OK!
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania'

Kwanza kabisa tukiri kuwa wanaopinga hizi mada za ushoga na usagaji na mapenzi ya kinyume na maumbile wanazingua kwa kuwa ndio mada ambayo ipo hot lazima watu waijadili na mda wake ukifika mada hizi zitaisha zenyewe ila sio kulazimisha moderators wazifute.

Binafsi kwenye hili suala ndio limenithibitishia uwenda wazimu wa Mwafrika, ikiwa tunaamini suala hilo ni kinyume na maadili ya dini zetu pamoja na tamaduni zetu,

Ni mangapi ambayo mataifa hayahaya ya kimagharibi wameyaeneza katika jamii zetu na kuyakuza chini kwa chini na kuotesha mizizi yake kuanzia mashuleni na kuyatamua hadi kufikia ngazi ya kimataifa huku tukiyakenulia na kuyaunga mkono, hata pasipo kusoma vitabu vya Dini na kutambua ni kinyume na misingi ya kimungu na jamii?

Je kuna asiyetambua kuwa masuala ya usawa wa kijinsia ni mambo ambayo ni kinyume na tamaduni za kiafrika na kinyume pia na misingi ya dini na hata maumbile ya kimungu?

Je kuna asiyetambua kuwa uumbaji wa mwanamke na mwanaume ni tofauti, ya kwamba mwanake ni kiumbe dhaifu kuliko mwanaume?
Siwazungumzii kwa ubaya wanawake ni mama zetu na wake zetu na dada zetu ila naomba turudi kwenye misingi ya kidini na kijamii,

Je ni sahihi kuforce usawa kati ya mwanamke na mwanaume ile hali tofauti zao zipo kimaumbile?

Kwanini juu ya hili hatujaona kama ni kufru na ni kinyume na utaratibu wa kimungu na kijamii?

Kama tunavyoshangaa leo kuona mataifa ya kimagharibi wakiotesha kiini cha maovu haya ya ushoga na usagaji mashuleni na kupiga kelele kuwa wanatutengenezea kiini cha laana na maudhi kwa mwenyezimungu, Mbona hatukupigia kelele katika mashirika ya kimagharibi yaliyokuja na sera za haki sawa za kijinsia?

Mbona hatukuona kama ni kinyume na utamaduni na dini walivyoingiza mada za usawa wa kijinsia mashuleni zikafundishwa kuanzia shule za misingi hadi mavyuoni?

ITAENDELEA
 
INAENDELEA........
Mbona hatukustukia nguvu zinazotumika kutengeneza wanawake viongozi na wasemaji na hata kuwapa mamlaka makubwa zaidi ya wanaume ile hali maswala haya katika dini na tamaduni zetu ni laana na havikubariki?

Je kuna yeyote alishawahi kukaa akafikiria na akaona nguvu inayotumika kutengeneza viongozi wanawake ni kubwa kuliko uhalisia wa jambo jenyewe?

Je? ulishawahi kukaa ukafikira wanawake viongozi wakubwa Afrika walioko madarakani na waliowahi kuwa madarakani historia zao namna walivyopata nafasi hizo?
nakupa hii fuatilia Duniani ever sehem yoyote ambayo mwanamke ndio anaongoza lazima kuna nguvu flani isiyo ya kawaida iliyomfikisha hapo, yaani kuna profile behind,,,,,,,,, case study kila mtu anayo hapa sina haja ya kufafanua maana nitawagusa pabaya..

Leo hii tunawaona Wanawake wakihubiri madhabahuni, tunawaona wanawake wakitaka haki sawa hata kutaka kuowa wanaume, na wanapiga vifua wakisema wanaweza huku tukikenulia hayo je? ni utamaduni wa jamii ipi au dini ipi unamtaka mwanamke aongoze mwanaume?

Yote yalishakuwa ya kawaida na hakuna uajabu tena, So wait miaka si mingi mashoga na wasagaji watapewa nafasi kubwa hata kuwa viongozi wakubwa wa mataifa na hii itapandikizwa kama ilivyofanyika kwa wanawake kupewa mamlaka na halitakuwa jambo la ajabu anymore, Baba ataliwa mbele ya wanae na mama ataowa mbele ya wanae na hakitakuwa kitu cha ajabu anymore!

Ushauri kila mtu inampasa asimamie imani yake na utu wake, Hakika mimi kama terminator nyie fil,,,,neni tu but for me naheshimu sana mamlaka yangu niliyopewa na mungu ya uanaume, nitabaki kuwa mwanaume tu, sitatii mwanamke ila nitafuata misingi yangu isiyokuwa na uvunjaji wa sheria.

Najua wapo mtakaomind ila fresh tu nawakilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…