INAENDELEA........
Mbona hatukustukia nguvu zinazotumika kutengeneza wanawake viongozi na wasemaji na hata kuwapa mamlaka makubwa zaidi ya wanaume ile hali maswala haya katika dini na tamaduni zetu ni laana na havikubariki?
Je kuna yeyote alishawahi kukaa akafikiria na akaona nguvu inayotumika kutengeneza viongozi wanawake ni kubwa kuliko uhalisia wa jambo jenyewe?
Je? ulishawahi kukaa ukafikira wanawake viongozi wakubwa Afrika walioko madarakani na waliowahi kuwa madarakani historia zao namna walivyopata nafasi hizo?
nakupa hii fuatilia Duniani ever sehem yoyote ambayo mwanamke ndio anaongoza lazima kuna nguvu flani isiyo ya kawaida iliyomfikisha hapo, yaani kuna profile behind,,,,,,,,, case study kila mtu anayo hapa sina haja ya kufafanua maana nitawagusa pabaya..
Leo hii tunawaona Wanawake wakihubiri madhabahuni, tunawaona wanawake wakitaka haki sawa hata kutaka kuowa wanaume, na wanapiga vifua wakisema wanaweza huku tukikenulia hayo je? ni utamaduni wa jamii ipi au dini ipi unamtaka mwanamke aongoze mwanaume?
Yote yalishakuwa ya kawaida na hakuna uajabu tena, So wait miaka si mingi mashoga na wasagaji watapewa nafasi kubwa hata kuwa viongozi wakubwa wa mataifa na hii itapandikizwa kama ilivyofanyika kwa wanawake kupewa mamlaka na halitakuwa jambo la ajabu anymore, Baba ataliwa mbele ya wanae na mama ataowa mbele ya wanae na hakitakuwa kitu cha ajabu anymore!
Ushauri kila mtu inampasa asimamie imani yake na utu wake, Hakika mimi kama terminator nyie fil,,,,neni tu but for me naheshimu sana mamlaka yangu niliyopewa na mungu ya uanaume, nitabaki kuwa mwanaume tu, sitatii mwanamke ila nitafuata misingi yangu isiyokuwa na uvunjaji wa sheria.
Najua wapo mtakaomind ila fresh tu nawakilisha.