Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Wewe ulienda kunusa mavi Yao?
Unajua Mimi nilikuaga nashangaa sana....why mijitu ya kiume ijipende kiasi kile..full kujipigilia pamba kali...harufu nzuri nzuri za utuli....kumbe mishoga bana ...aaaahhhh
 
Weka 91% na wewe ukiwemo
Mimi siwezi kukaa SINZA ndugu!!! ...mji ambao kuanzia misosi , vinywaji, mpaka sehemu za Starehe zimekua initiated na mambo ya USHOGA.

Yani unaagiza supu ya kuku , au mtori.... baada ya kutumia..then unaanza kujisikia muwasho Matakoni.....kumbe kuna mibasha na mishoga..imechanja Damu , kisha ikanuia ...na kuweka Damu zao kwenye misosi...


Oyaaa...mi siwezi kula SINZA wala kukaa SINZA. Emb kwanza toka hapa na mitabia yenu ya kishogashoga!!! Siri zenu ziko wazi , tushawajua!!!
 
KUNA SHOGA KALA KIFUNGO CHA MIAKA 30 JELA, MAJUZI MBEYA, KWA USHOGA, NADHANI JIBU NA MSIMAMO UTAKUWA UMEUPATA, KWA HILI HAKUNA ROPOROPO.
Tunaweza kutoa matamko tukapalilia tatizo, dawa ni kimyakimya tu.
Tutafunga wendawazimu bila kuwapima afya ya Akili!
Sasa kama huyu wa Mbeya sidhani kama yupo timamu!
Halafu nauiza huyo basha kachukuliwa hatua gani??
Naona huyo ni mgonjwa zaidi![emoji56][emoji56][emoji15]
 
Yamebaki masaa ma 4 bwana yesu afufuje , akisha fufuka haya yote hayata kuwapo yaaani
 
Midume mizima wanakaa wanawasikikiza wakina lokole ,

Miaka nenda rudi watu wanawafatilia wakina joti akiigiza kama dem [emoji1]

Kumbe ndy alikuwa anaupigia chapuo ushg

Bado matamasha yao sijui white party

Pink party full moon nk kote huko watu wamekuwa wakienda wanajumuika na mashg

Ukija kwenye miziki yao sahv mashg hawakosi,

Utakuta media kubwa tu lkn inawakombatia na kuwalea mashg

Aise kazi kweli kweli

Ova
 
Upumbavu mtupu.

Sasa mchoro wa upinde wa mvua una shida gani?

Kwahiyo watoto wasijifunze kuhusu upinde wa mvua kwa sababu ya ushoga?

This is crazy.
 
Sina uhakika hawa wamarekani kwa nini wametawala mawazo na akili za watu wa Dar sana.

Jinsi wanavyoipigia kampeni simu ya iPhone, ni sawa na wanavyoupigia kampeni ushoga.

Wanapost picha zao zikiwa kwenye HD kwa kutumia simu hizo. Mashoga wote wanatumia simu hizo.

Je, mmepewa masharti kuwa ukipewa simu hiyo sharti uifanyie promo sambamba na picha mnazo-share za matendo yenu machafu huku mkionesha unafiki eti mnasikitishwa nayo?

Kama kinyesi kinachefua, una haja gani ya kupiga video ukituonesha uchafu huo kama sio kujaribu kufanya ionekane kawaida tu?

Kwanini mnasaidia kampuni za kishoga kwa kupigia promo bidhaa zake?

Najua mjinga wa kwanza shoga fulani atakuja na comment tafuta hela, ndio natafuta ila kwa ajili ya mambo ya msingi sio ujinga mnaofanya kutusambazia uchafu na promo za bidhaa za watu wachafu.
 
Lengo lako ilikuwa kuupigia promo ushoga,,,
Sawa tumekusikia mtu wa kijijini japo hapa umetumia mbinu za kijeshi
 
Mbona CEO wa Apple Tim Cook ni shoga.

Ukiuandama ushoga halafu unatumia iPhone ujue hilo.

 
Tutafunga wendawazimu bila kuwapima afya ya Akili!
Sasa kama huyu wa Mbeya sidhani kama yupo timamu!
Halafu nauiza huyo basha kachukuliwa hatua gani??
Naona huyo ni mgonjwa zaidi![emoji56][emoji56][emoji15]View attachment 2581293
Kitendo cha kuingiliwa na mtu wa jinsia yake ndio tatizo, tunafunga tu hakuna namna!
 
Huwezi kupambana na usagaji au ushoga na huku tumeruhusu mambo ya haki sawa kwa wote
Haki sawa kwa wote imetupotezea tamaduni zetu watu weusi na sio watu weusi peke yao
Haki sawa kwa wote ndo chanzo cha matatizo mengi duniani
Mungu hakuwa mjinga ambaye alisema kuwa mwanaume na mwanamke sio sawa
Leo kuna wanaume ambao wanaigiza kama wanawake
Kuna wanawake wanaigiza kama wanaume
Sheria ipitishwe kuwa mwanaume yeyote atakaye igiza kama mwanamke azabu yake ni milioni 200
Ivo ivo kwa wanawake
Mwanaume asimame kama mwanaume
Na mwanamke asimame kama mwanamke hapo tutakuwa tumepunguza kwa kiasi kikubwa ugonjwa huu wa usagaji pamoja na ushoga
 
Hakika tumrudie Mungu na Mungu atunusuru kwa hili nadhani ni pigo ambalo Mungu anatuonesha pia kutukumbusha kuwa kuna sehemu hatufanyi na kufuata maagizo ya Mungu.
 
Ninacho kisikia mashoga wanapigiwa kelele kuhusu ngono kinyume na maumbile je Wanawake wanaotumika kinyume na maumbile ni sawa? Achana na iyo picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…