Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Kwa hiyo kama kabla hela haujatoka unaonjwa kwanza ( kuthibitisha kuwa wewe ni memba) utakuwa tayari kuichangamkia hiyo " fursa" ?
 
Ukifuatilia kwa umakini utagundua misaada mingi inayokuja Nchini kutoka ulaya ni ya mashirika yanayosapoti mapenzi ya jinsia Moja (ushoga, usagaji n.k) mpaka NDOA za wanyama.

Sisi Tanzania tumekuwa watu wakupokea na mwisho matokeo ndo haya tunayoyaona mpaka sasa, Tanzania imeteuliwa kuwa moja ya kituo kikubwa na makao makuu ya ushoga. Usinambie nikupe uthibitisho kama una macho usifosi nikupe yangu uone.

Madawa ya kulevya, hii ni biashara ambayo inahusian na ushoga maana watu asilimia 45 ni mashoga wanaofanya biashara hii sio maboss nasemea wabebaji kama maboss nao ni mashoga sawa ila me natambua kuwa wabeba ngada asilimia fulani ni mashoga.

Kivipi? Wabeba ngada ni mashoga.. ushoga wao unaanza pale anapoanza kupandisha yale madawa uko sehemu za siri (Sehemu ya Haja kubwa) akifanya hivo mara kwa mara lazima anatumbukia katika ushoga.

Chunga sana wenye kauli za tafuta pesa na ukicheki kweli yuko na maisha fulani hivi Mazuri anamiliki ndiga kali hana duka wala ni au anaweza kuwa na duka la kuzugia ila any where .

Wasomi hata wasio kuwa wasomi, viongozi hata wasiokuwa viongozi, watoto hata wasio kuwa watoto wote wamezama kwenye janga hili... kama kila mtu atafanyiwa mahojiano ya kina kila mtu atafunguka jinsi alivoingia kwenye dhambi hiyo.

Nishawai kuwa na Demu msagaji , chanzo yeye ni kukaa boarding hilo tu akawa amenogewa. Ila sion kama kuna afadhari ya shoga na msagaji make yote ni ukiukwaji wa utaratibu.

...... Afu watu kkuweij na akili za ziada huku jf kuna watu wanajifanya wajuaji kumbe mbumbu wa kutupwa mbali na elimu zao. Wenye elimu asilimia fulani ndo hao mashoga .

...... Mi sio kama wewe ....
 
Jana nilikuwa sehemu fulani dar nilikuwa nimekaa na wadada flan wa mjini! Wanakata kilaji kama mamba . Akaja dogs mmoja kumbe shoga aliomba namba ya dada mmoja pale baadae akamuomba yule dada amtafutie bwana lakini mwenye dushe dogo ili akamkanyage dah. Nashangaa ndugu yangu unaita fursa
 
South Africa ni wakala wa shetani Africa. Hio nchi haifai tena kabisa. Tunachotakiwa tunapokutana na upuuzi kama huo ni ku react tu. Piga na chini hiko king'amuzi na waelewe kabisa sababu ya sisi kukitaa, Hapo ndipo akili zitakapowaingia.
 
Habari za ushoga ni too overrated. Sijui kama Yana muda mrefu.. Imekuwa kama upepo ule wa misemo kama 'hamsemi..., kama wote......., usitufokee!'. Nina hakika ikipita mwezi huu hatutazisikia tena
 
Wao kutumia hizo rangi kama utambulisho wao hakuwezi kutufanya tuanze kupambana na rangi ambazo zipo kiasili, hii maana yake ni kwamba tuanze kupambana au kuchukia rangi za upinde wa mvua zikionekana huko angani.........mimi nafikiri jambo la muhimu ni kupambana na vitendo vyao na siyo kupambana na rangi ambazo zipo kiasili.​
 
Kama hao uwe na Hela
 
ukimkataa Shetani Mkatae yeye na kazi zake zote. Sio hauli nyama ya nguruwe ila unapenda mchuzi wake.
 
Mtatolewa sana marinda kwa tamaa za kisnge

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mamaae hebu naomba nichukue hii picha nikajilipue moja la fasta.
 
We ni jinga saaana km una degree we ni senge senge bwabwa yaan upate Mali kupitia ufirauni shenzi na mbwa Koko wewe
 
Hizi rangi zamani zilikuwa zinatumika kwenye shule za awali, majengo ya sule za awali za watoto zilikuwa na hizo rangi, baadhi ya vitabu vya awali vilikuwa na hizo rangi, baadhi ya vipindi vya watoto na hata kimoja maarufu hapa nchini Cha wanyama wanaongea, zipo hizo rangi

Kwa kuwa Sasa imejulikana kuwa rangi hizo zinatumika tofauti, ifanyike operation ya wizara ya elimu kutembelea shule zote za awali kuondoa michoro yoyote ya rangi hizo ili kulinda vizazi vijavyo. Na. Vipindi vya Tv vya watoto, Kila Tv inayorusha ihakikishe episode zote zenye rangi hizo za kuzimu zinafutwa kabla hawajarusha hewani
 
Tatizo ni wewe sio wao!!

Hivi kwa akili yako upinde wa mvua una uhusiano gani na ushoga!!?

Nani alieanzisha hiyo logic na wewe ukanasa!!?

Hivi upinde wa mvua ulikuwepo enzi za nuhu kwanini leo utumike kama nembo ya ushoga na wewe uamini ni kweli!!?

Kwanini uingie mkenge kama huo wa kuamini upinde wa mvua kuwa nembo ya ushoga wakati upinde ulishakuwepo kabla ya ushoga kuwepo na haukumaanisha ushoga!!?

Kama je ingekua benders ya kijani tu ungeamini ni ushoga huo!!!?

Tunakuza hii dhana ya upinde na ushoga wakati haina uhalisia wa kimantiki!! We unavouona upinde wa mvua na rangi zake unauhusiano wote na mwanamke kuinamishwa na mwanamme mwenzie!!!?

We unadhani hivyo kweli!!!?

Ni Nani huyo unaempa umaarufu alieanzisha hii move hadi uikubali na kumpa kichwa!!!?

Yaani huyo aloeleta hiyo logo na logic kapata umaarufu wa bure coz hakuna uhusiano wa rangi za upinde wa mvua na ushoga unamaanisha agano la mungu kwa nuhu ni la ushoga!!!?


MI NADHANI TUANZE KUFIKIRI UPYA DHANA HII!!
 
TUTOLEE MFANO:-

ZAMANI WATU WANAUME WALIKUWA WANAVAA SKETI...ILA IMETOKEA SASA HIVI WADADA WANAZIVAA...VIPI UTAENDELEA KUVAA SKETI KWA KUSEMA HAIATHIRI KWA SASA HIVI WANAWAKE KUVAA SKETI..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…