Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Tanzania ikatae utamaduni huo wa mapenzi ya jinsia moja na isilazimishwe kuunga mkono ushetani huo
Inawezekana Tanzania iliitangulia Msumbiji. Sisi ni wanafiki tu, ushoga upo halafu tunajidai eti tukatae utamaduni w nje. Labda useme tuzuie na kukomesha, lakini ukisema tukatae usije wakati tayari upo, ni kujisaidia barabarani huku umeziba uso tu
 
Inawezekana Tanzania iliitangulia Msumbiji. Sisi ni wanafiki tu, ushoga upo halafu tunajidai eti tukatae utamaduni w nje. Labda useme tuzuie na kukomesha, lakini ukisema tukatae usije wakati tayari upo, ni kujisaidia barabarani huku umeziba uso tu
ushoga upo sana tu muda mrefu hakuna aliyepaza sauti kupinga kama sasa. Dar kulikuwa na mashoga maarufu tena yalionekana waziwazi kwenye sehemu za burudani huku wengine wakijiremba kama wanawake na kujumuika kwenye mambo ya wanawake hakukuwa na kelele kama sasa, ina maana jamii haikuwaona hao mashoga ya kipindi hicho? Akina aunt..........
 
Ukiachana na tambo za wanawake mitandaoni, uhalisia ni kwamba wao ndio waathirika wakubwa maswala mengi ya kijamii, mimi kama mwanaume siwezi kukaa kuumiza kichwa changu juu ya mwanamke aliyeamua kucheat kwasababu hata huko nje ana chezewa na kutumika kama kete tu, hana lolote zaidi ya kutumika. Mwanamke ambaye graph yake kijamii inashuka kila leo atanitisha vipi mimi ambaye hata nikiwa na miaka 50 bado naweza vuta chuma cha 30's ?
 
Inategemeana na matunzo mfano mimi hivi navyo jipenda nikiwa45 mtu achomoi
 
Kwa sababu anapenda wanaume wenzie and you can't change that. I'm telling you this because I am a man who have dated two married men na wote walioa kwa presha za umri na familia, not out of love. So Pray harder yasikukute dear

Hmmh , hivi huwa mnapata raha gani kuingiliwa nyuma aiseeh? Ile feeling ya kuwa possesed na mwanaume mwingine nyinyi mnaichukuliaje, yani inawezaje kuwa normal?

Yani mimi hata mtu agusishe mkono kwenye kalio langu kwa bahati mbaya, hatuwezi kuelewana aiseeh, sijui nyinyi mnaweza tu daaah.!

ACHENI HIYO MICHEZO.
 
Inategemeana na matunzo mfano mimi hivi navyo jipenda nikiwa45 mtu achomoi

Lakini pamoja na matunzo, katika umri huo bado kuna group fulani la wanaume (wadogo kwako) ambao hauwezi kuwadate bila jamii kuku-label tofauti. Utaitwa majina kama Msimbe, Sugar mummie, Shangingi..nk kisha uanonekana mtu fulani hivi wa ajabu kwenye jamii, cha kufurahisha zaidi ni kwamba hata wanawake wenzio wengi hawatakusupport kwenye hilo.
 
K
waza kwanini nitembee na vitoto?
 
K

waza kwanini nitembee na vitoto?

Ndio ujue sasa kuwa mwanamke upo limited kijamii, huo muda wa kurukaruka baada ya kuwa cheated kwenye mahusiano (kama ulivyodai kwenye comment ya juu huko) eti kulipiza, ni bora ukautumia kufanya mambo mengine ya msingi.

Ni mashindano ambayo mshindi tayari anajulikana.
 
A
ta ww utaonekana fataki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…