Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Inawezekana Tanzania iliitangulia Msumbiji. Sisi ni wanafiki tu, ushoga upo halafu tunajidai eti tukatae utamaduni w nje. Labda useme tuzuie na kukomesha, lakini ukisema tukatae usije wakati tayari upo, ni kujisaidia barabarani huku umeziba uso tuTanzania ikatae utamaduni huo wa mapenzi ya jinsia moja na isilazimishwe kuunga mkono ushetani huo