Hili neno "fataki" umenikumbusha mbali sana, sijui lilipotelea wapi tu😁.A
ta ww utaonekana fataki
HujaletaNtaleta story siku mashoga wanavyonisumbua hali ni mbaya
Wewe ni shoga na una andika hapa ku promote ushoga.Naandika apa nikiwa nimevurugwa sana.
zamani kipindi natumia Instagram nilikuwa na tatizo la kusumbuliwa na mashoga kitu ambacho kilipelekea kufuta posts zangu zote na kuacha kutumia Instagram yapata miaka miwili sasa, Mara mojamoja naingia kwa kutumia akaunti ya Biashara.
Kiukweli ilo tatizo naweza kusema liliisha au kupungua kwa kiasi chake mpaka mwaka huu baada ya kupost kule MMU kuwa naitaji Rafiki wa Kike akajitokeza na shoga mmoja pm ila nilidili nae kwa kumpa vitisho vikali akaacha kunisumbua.
Sasa leo kuna huyu mmoja nmekutana nae kwenye daladala muda nakuja kariakoo kaniomba namba nikampa alivoshuka tu Buguruni akaanza kunitumia meseji zake za ajabu ajabu ikabidi nimtie block kwanza kila sehemu.
Nipeni dawa yao hawa wapuuzi maana wanataka kunizoea vibaya. Apa nina mpango wa kumuunblock huyu jamaa af nimwambie tukutane niwaseti wahuni wamfanye kitu mbaya
Naandika apa nikiwa nimevurugwa sana.

unampa namba yako mtu ambaye humfahamu au mlizungumza dili za kibiashara?Naandika apa nikiwa nimevurugwa sana.
zamani kipindi natumia Instagram nilikuwa na tatizo la kusumbuliwa na mashoga kitu ambacho kilipelekea kufuta posts zangu zote na kuacha kutumia Instagram yapata miaka miwili sasa, Mara mojamoja naingia kwa kutumia akaunti ya Biashara.
Kiukweli ilo tatizo naweza kusema liliisha au kupungua kwa kiasi chake mpaka mwaka huu baada ya kupost kule MMU kuwa naitaji Rafiki wa Kike akajitokeza na shoga mmoja pm ila nilidili nae kwa kumpa vitisho vikali akaacha kunisumbua.
Sasa leo kuna huyu mmoja nmekutana nae kwenye daladala muda nakuja kariakoo kaniomba namba nikampa alivoshuka tu Buguruni akaanza kunitumia meseji zake za ajabu ajabu ikabidi nimtie block kwanza kila sehemu.
Nipeni dawa yao hawa wapuuzi maana wanataka kunizoea vibaya. Apa nina mpango wa kumuunblock huyu jamaa af nimwambie tukutane niwaseti wahuni wamfanye kitu mbaya
Imagine notification inaingia kwenye simu kufungua unakuta "mambo hensam wangu" af kutoka kwa mwanaume mwenzio[emoji2961]
Nikweli mkuu watu waelewe kwamba uarabu sio uislam na uzungu sio ukristo.Umeandika nchi za Kiarabu na kwenye mabano umeweka "Islamic"!!! Ujue kutofautisha kati ya nchi za kiisilam na nchi za Kiarabu, kwa sababu si kila nchi ya kiarabu ni ya Kiislam, kama ambavyo si kila muarabu ni Muislam, wengine ni Wakristo.
" Wakapendana" ? Hii dunia bwana.🚮Mmmh! Kuna jamaa wanaitwa Btoo Allami na Nayyef Hrebid, walikutana jeshini vitani kwenye jeshi la Iraki, wakapendana, lakini hawakuweza kuishi Iraki, maana wangeuliwa, wakakimbilia Marekani na hadi sasa wanaishi Marekani na story yao imetengenezewa hadi muvi, inaitwa the Language of War.
Cheki BBC story yao ipo... na Marekani wakawapa makazi huko, maana kwao wangeuliwa." Wakapendana" ? Hii dunia bwana.[emoji706]
😂😂😂 ndio ivyoHili neno "fataki" umenikumbusha mbali sana, sijui lilipotelea wapi tu😁.
Kwa jinsi alivokua sikuweza kujua kuwa ni shoga na ila nilianza kumdisi baada ya kunikazania kuwa nikamtembelee kwake anapokaa huko Kawe ila sikutilia maanani mpaka alivoanza kuntumia meseji za ajabuKwanini alivokuomba namba kwenye daladala hukumnyima mkuu wakat ulijua kbsa ni shoga kaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nakuheshimu sana, kama ndo upeo wako wa akili umeishia apo basi nmekusamehe kwa izo kauli zako.Wewe ni shoga na una andika hapa ku promote ushoga.
Ukiona unatakwa na watu wewe ni shoga
Mods fungu huu uzi.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Tulizungumza vitu vingi sana tangu mwanzo wa safari mpaka ikafikia kubadilishana namba, nais kuna sehemu kalala jana tofauti na kwake maana alnambia yeye anakaa Kawe.unampa namba yako mtu ambaye humfahamu au mlizungumza dili za kibiashara?
Rangi za upinde wa mvua na Upinde wa mvua havina uhusiano wowote ule na Mashoga na ushoga wao au hao wanaojiita LGBTQIA ni wao ndio wanajihusisha na upinde wa mvua na hizo rangi ili tu kupromote agenda zao na mitazamo yao ya kiwendawazimu.Hizi rangi zamani zilikuwa zinatumika kwenye shule za awali, majengo ya sule za awali za watoto zilikuwa na hizo rangi, baadhi ya vitabu vya awali vilikuwa na hizo rangi, baadhi ya vipindi vya watoto na hata kimoja maarufu hapa nchini Cha wanyama wanaongea, zipo hizo rangi
Kwa kuwa Sasa imejulikana kuwa rangi hizo zinatumika tofauti, ifanyike operation ya wizara ya elimu kutembelea shule zote za awali kuondoa michoro yoyote ya rangi hizo ili kulinda vizazi vijavyo. Na. Vipindi vya Tv vya watoto, Kila Tv inayorusha ihakikishe episode zote zenye rangi hizo za kuzimu zinafutwa kabla hawajarusha hewani
Ila kweli mwamba. Unajua kanzu ni aina ya Dera na msuli ni aina ya kanga.Kuvaa sketi wanaume inategemea utamaduni. Kabila la wa "Scott" lina utamaduni wa kuvaa sketi tena za rangi maalumu. Huu ni utamaduni wao, haina maana ni mashoga. Mbona Wapemba/Wazanzibari?Waarabu wanavaa misuli kama vazi la kiutamaduni, ama na lenyewe ni la kishoga!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila kweli mwamba. Unajua kanzu ni aina ya Dera na msuli ni aina ya kanga.
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Yani upendi mashoga ila unawapa namba zako [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787]Naandika apa nikiwa nimevurugwa sana.
zamani kipindi natumia Instagram nilikuwa na tatizo la kusumbuliwa na mashoga kitu ambacho kilipelekea kufuta posts zangu zote na kuacha kutumia Instagram yapata miaka miwili sasa, Mara mojamoja naingia kwa kutumia akaunti ya Biashara.
Kiukweli ilo tatizo naweza kusema liliisha au kupungua kwa kiasi chake mpaka mwaka huu baada ya kupost kule MMU kuwa naitaji Rafiki wa Kike akajitokeza na shoga mmoja pm ila nilidili nae kwa kumpa vitisho vikali akaacha kunisumbua.
Sasa leo kuna huyu mmoja nmekutana nae kwenye daladala muda nakuja kariakoo kaniomba namba nikampa alivoshuka tu Buguruni akaanza kunitumia meseji zake za ajabu ajabu ikabidi nimtie block kwanza kila sehemu.
Nipeni dawa yao hawa wapuuzi maana wanataka kunizoea vibaya. Apa nina mpango wa kumuunblock huyu jamaa af nimwambie tukutane niwaseti wahuni wamfanye kitu mbaya
Imagine notification inaingia kwenye simu kufungua unakuta "mambo hensam wangu" af kutoka kwa mwanaume mwenzio
Sikujua kuwa ni shoga Mkuu. Siwezi kutoa namba kwa hao wapuuziYani upendi mashoga ila unawapa namba zako [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787]