Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

unampa namba yako mtu ambaye humfahamu au mlizungumza dili za kibiashara?
Tulizungumza vitu vingi sana tangu mwanzo wa safari mpaka ikafikia kubadilishana namba, nais kuna sehemu kalala jana tofauti na kwake maana alnambia yeye anakaa Kawe.
 
Rangi za upinde wa mvua na Upinde wa mvua havina uhusiano wowote ule na Mashoga na ushoga wao au hao wanaojiita LGBTQIA ni wao ndio wanajihusisha na upinde wa mvua na hizo rangi ili tu kupromote agenda zao na mitazamo yao ya kiwendawazimu.

So msije mkaogopa matumizi ya hizi rangi au upinde kwenye mambo ya msingi kama ya kiimani eti kwasababu hawa vichaa wanatumia hii nembo kama ishara ya uwepo wao.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Ila kweli mwamba. Unajua kanzu ni aina ya Dera na msuli ni aina ya kanga.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Yani upendi mashoga ila unawapa namba zako [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787]
 
Morocco, Egypt, Algeria na Somalia ni nchi za kiafrika zinazojifanya zina msimamo dhidi ya magharibi sasa vipi wao na ushoga damu damu??
 
Ila mzee kama unafatwafatwa na hawa watu labda una damu ya "mende"! Hahaa

Ila nadhani hawa wanafata na kuzowea watu kwa namna unavyojiweka, ukijiweka serious na sio kujibebisha hakuna atakaekuletea masihara...na kikubwa ni kuwapuuza, mi mtu akiomba namba namba nampa ya uongo, jina la uongo nasepa, atajiju.
 
Bora umelisema hili.
 
Morocco, Egypt, Algeria na Somalia ni nchi za kiafrika zinazojifanya zina msimamo dhidi ya magharibi sasa vipi wao na ushoga damu damu??
Kwanza hizo hizo zote zipo Afrika licha ya kuwa ni za kiarabu ukiacha Somalia.

Pili, hakuna nchi kati ya hizo iliyoruhusu ushoga kwao. Labda kama una waraka wao wa kuthibisha tuhuma zako.
 
Morocco, Egypt, Algeria na Somalia ni nchi za kiafrika zinazojifanya zina msimamo dhidi ya magharibi sasa vipi wao na ushoga damu damu??
Hata sasa nimepitia kucheki nchi zote hizo, zote zinaweka adhabu kali kwa LGBTQ... sasa wewe imetolea....unless unasema kwa chuki ya kidini.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ndio ivyo
Kama sijasahau hilo neno lilipewa kwa watu wanaorubuni wanafunzi.

Sasa huo ufataki wangu ulionea wapi? Unless uwe mwanafunzi weweπŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Kama sijasahau hilo neno lilipewa kwa watu wanaorubuni wanafunzi.

Sasa huo ufataki wangu ulionea wapi? Unless uwe mwanafunzi weweπŸ˜‚πŸ˜‚.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ndio mwanafunzi ndio maana nakuita fataki
 
Kafirane wewe acha mbambamba
 
Kwanza hizo hizo zote zipo Afrika licha ya kuwa ni za kiarabu ukiacha Somalia.

Pili, hakuna nchi kati ya hizo iliyoruhusu ushoga kwao. Labda kama una waraka wao wa kuthibisha tuhuma zako.
 
Attachments

  • IMG_20210814_110155 (1).jpg
    46.2 KB · Views: 9
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…