Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

unampa namba yako mtu ambaye humfahamu au mlizungumza dili za kibiashara?
Tulizungumza vitu vingi sana tangu mwanzo wa safari mpaka ikafikia kubadilishana namba, nais kuna sehemu kalala jana tofauti na kwake maana alnambia yeye anakaa Kawe.
 
Hizi rangi zamani zilikuwa zinatumika kwenye shule za awali, majengo ya sule za awali za watoto zilikuwa na hizo rangi, baadhi ya vitabu vya awali vilikuwa na hizo rangi, baadhi ya vipindi vya watoto na hata kimoja maarufu hapa nchini Cha wanyama wanaongea, zipo hizo rangi

Kwa kuwa Sasa imejulikana kuwa rangi hizo zinatumika tofauti, ifanyike operation ya wizara ya elimu kutembelea shule zote za awali kuondoa michoro yoyote ya rangi hizo ili kulinda vizazi vijavyo. Na. Vipindi vya Tv vya watoto, Kila Tv inayorusha ihakikishe episode zote zenye rangi hizo za kuzimu zinafutwa kabla hawajarusha hewani
Rangi za upinde wa mvua na Upinde wa mvua havina uhusiano wowote ule na Mashoga na ushoga wao au hao wanaojiita LGBTQIA ni wao ndio wanajihusisha na upinde wa mvua na hizo rangi ili tu kupromote agenda zao na mitazamo yao ya kiwendawazimu.

So msije mkaogopa matumizi ya hizi rangi au upinde kwenye mambo ya msingi kama ya kiimani eti kwasababu hawa vichaa wanatumia hii nembo kama ishara ya uwepo wao.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Kuvaa sketi wanaume inategemea utamaduni. Kabila la wa "Scott" lina utamaduni wa kuvaa sketi tena za rangi maalumu. Huu ni utamaduni wao, haina maana ni mashoga. Mbona Wapemba/Wazanzibari?Waarabu wanavaa misuli kama vazi la kiutamaduni, ama na lenyewe ni la kishoga!
Ila kweli mwamba. Unajua kanzu ni aina ya Dera na msuli ni aina ya kanga.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Naandika apa nikiwa nimevurugwa sana.

zamani kipindi natumia Instagram nilikuwa na tatizo la kusumbuliwa na mashoga kitu ambacho kilipelekea kufuta posts zangu zote na kuacha kutumia Instagram yapata miaka miwili sasa, Mara mojamoja naingia kwa kutumia akaunti ya Biashara.

Kiukweli ilo tatizo naweza kusema liliisha au kupungua kwa kiasi chake mpaka mwaka huu baada ya kupost kule MMU kuwa naitaji Rafiki wa Kike akajitokeza na shoga mmoja pm ila nilidili nae kwa kumpa vitisho vikali akaacha kunisumbua.

Sasa leo kuna huyu mmoja nmekutana nae kwenye daladala muda nakuja kariakoo kaniomba namba nikampa alivoshuka tu Buguruni akaanza kunitumia meseji zake za ajabu ajabu ikabidi nimtie block kwanza kila sehemu.

Nipeni dawa yao hawa wapuuzi maana wanataka kunizoea vibaya. Apa nina mpango wa kumuunblock huyu jamaa af nimwambie tukutane niwaseti wahuni wamfanye kitu mbaya

Imagine notification inaingia kwenye simu kufungua unakuta "mambo hensam wangu" af kutoka kwa mwanaume mwenzio
Yani upendi mashoga ila unawapa namba zako [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787]
 
1. Nchi gani ya kiarabu imepitisha ushoga?

2. Umeandika nchi za Kiarabu na kwenye mabano umeweka "Islamic"!!! Ujue kutofautisha kati ya nchi za kiisilam na nchi za Kiarabu, kwa sababu si kila nchi ya kiarabu ni ya Kiislam, kama ambavyo si kila muarabu ni Muislam, wengine ni Wakristo.

3. Umeweka kama vile waarabu wote wanatoka nchi moja, hapana, nchi za kiarabu zipo tofauti kama zilivyo nchi za kiafrika, hivyo, huwezi kusema kama kitu kimepitishwa na nchi moja ya kiafrika basi waafrika wote wanahusika.

4. Itapendeza kama ukitoa taarifa usitoe kiujumla, usiseme nchi za kiarabu, ila taja nchi kwa jina lake, kama ambavyo huwezi kutaja nchi za kiafrika kwa ujumla kwa sababu zote zina sera na misimamo tofauti.
Morocco, Egypt, Algeria na Somalia ni nchi za kiafrika zinazojifanya zina msimamo dhidi ya magharibi sasa vipi wao na ushoga damu damu??
 
Naandika apa nikiwa nimevurugwa sana.

zamani kipindi natumia Instagram nilikuwa na tatizo la kusumbuliwa na mashoga kitu ambacho kilipelekea kufuta posts zangu zote na kuacha kutumia Instagram yapata miaka miwili sasa, Mara mojamoja naingia kwa kutumia akaunti ya Biashara.

Kiukweli ilo tatizo naweza kusema liliisha au kupungua kwa kiasi chake mpaka mwaka huu baada ya kupost kule MMU kuwa naitaji Rafiki wa Kike akajitokeza na shoga mmoja pm ila nilidili nae kwa kumpa vitisho vikali akaacha kunisumbua.

Sasa leo kuna huyu mmoja nmekutana nae kwenye daladala muda nakuja kariakoo kaniomba namba nikampa alivoshuka tu Buguruni akaanza kunitumia meseji zake za ajabu ajabu ikabidi nimtie block kwanza kila sehemu.

Nipeni dawa yao hawa wapuuzi maana wanataka kunizoea vibaya. Apa nina mpango wa kumuunblock huyu jamaa af nimwambie tukutane niwaseti wahuni wamfanye kitu mbaya

Imagine notification inaingia kwenye simu kufungua unakuta "mambo hensam wangu" af kutoka kwa mwanaume mwenzio
Ila mzee kama unafatwafatwa na hawa watu labda una damu ya "mende"! Hahaa

Ila nadhani hawa wanafata na kuzowea watu kwa namna unavyojiweka, ukijiweka serious na sio kujibebisha hakuna atakaekuletea masihara...na kikubwa ni kuwapuuza, mi mtu akiomba namba namba nampa ya uongo, jina la uongo nasepa, atajiju.
 
Rangi za upinde wa mvua na Upinde wa mvua havina uhusiano wowote ule na Mashoga na ushoga wao au hao wanaojiita LGBTQIA ni wao ndio wanajihusisha na upinde wa mvua na hizo rangi ili tu kupromote agenda zao na mitazamo yao ya kiwendawazimu.

So msije mkaogopa matumizi ya hizi rangi au upinde kwenye mambo ya msingi kama ya kiimani eti kwasababu hawa vichaa wanatumia hii nembo kama ishara ya uwepo wao.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Bora umelisema hili.
 
Morocco, Egypt, Algeria na Somalia ni nchi za kiafrika zinazojifanya zina msimamo dhidi ya magharibi sasa vipi wao na ushoga damu damu??
Kwanza hizo hizo zote zipo Afrika licha ya kuwa ni za kiarabu ukiacha Somalia.

Pili, hakuna nchi kati ya hizo iliyoruhusu ushoga kwao. Labda kama una waraka wao wa kuthibisha tuhuma zako.
 
Hata sasa nimepitia kucheki nchi zote hizo, zote zinaweka adhabu kali kwa LGBTQ... sasa wewe imetolea....unless unasema kwa chuki ya kidini.
 
Naandika apa nikiwa nimevurugwa sana.

zamani kipindi natumia Instagram nilikuwa na tatizo la kusumbuliwa na mashoga kitu ambacho kilipelekea kufuta posts zangu zote na kuacha kutumia Instagram yapata miaka miwili sasa, Mara mojamoja naingia kwa kutumia akaunti ya Biashara.

Kiukweli ilo tatizo naweza kusema liliisha au kupungua kwa kiasi chake mpaka mwaka huu baada ya kupost kule MMU kuwa naitaji Rafiki wa Kike akajitokeza na shoga mmoja pm ila nilidili nae kwa kumpa vitisho vikali akaacha kunisumbua.

Sasa leo kuna huyu mmoja nmekutana nae kwenye daladala muda nakuja kariakoo kaniomba namba nikampa alivoshuka tu Buguruni akaanza kunitumia meseji zake za ajabu ajabu ikabidi nimtie block kwanza kila sehemu.

Nipeni dawa yao hawa wapuuzi maana wanataka kunizoea vibaya. Apa nina mpango wa kumuunblock huyu jamaa af nimwambie tukutane niwaseti wahuni wamfanye kitu mbaya

Imagine notification inaingia kwenye simu kufungua unakuta "mambo hensam wangu" af kutoka kwa mwanaume mwenzio
Kafirane wewe acha mbambamba
 
Kwanza hizo hizo zote zipo Afrika licha ya kuwa ni za kiarabu ukiacha Somalia.

Pili, hakuna nchi kati ya hizo iliyoruhusu ushoga kwao. Labda kama una waraka wao wa kuthibisha tuhuma zako.
 
Attachments

  • IMG_20210814_110155 (1).jpg
    IMG_20210814_110155 (1).jpg
    46.2 KB · Views: 9
Back
Top Bottom