Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Ngoja waweke kigodoro
Sijui baikoko....
Lazima mtaa ujae mashoga
Na utakuta mashoga wanajimuika
Na majirani

Dah wabongo wanafki huku wanaishi nao

Ova
 
1. Kuchuna hovyo Wanaume halafu mkikutana mnawateta na Kuwacheka.

2. Kuwachanganya / Kuwagonganisha Wanaume.

3. Tamaa Kupindukia zinazokuwa Kero.

4. Dharau, Sanifu na Unafiki wao dhidi ya Wanaume.

5. Kupiga Mizinga ya hovyo na isiyo na Utaratibu.

6. Uwongo na Umbeya ambavyo ndiyo Tunu Kuu ya Wanawake wengi kama siyo Wote.

7. Usaliti / kutokuwa Waaminifu Kwetu na Kutoridhika.

Tafadhali Wanawake wote sambazianeni hizi Sababu zangu Kuu Saba ( 7 ) GENTAMYCINE zinazopelekea baadhi au wengi Wenu Siku hizi Kupelekewa Moto ( Kunukudiwa ) mno na Wanaume ambao hawataki mzaha, hawataki Kufanywa Wajinga, Kusumbuliwa na Kupotezewa muda.

Badilikeni upesi yasiwakute haya Ok?
 
Mbona akiwa belgiji au bbc huwa anaongea tofauti?
Alisemaje? Weka clip tusikie. Sijawahi kumsikia Lisu akisema anaunga mkono ushoga.

Kuna qakati akwa nchini alisema kuwa yeye haungi mkono ushoga, lakini haungi mkono kutumia nguvu kubwa kupambana na ushoga. Akahoji kuwa utapataje ushahidi? Na tuna sheria inayolinda faragha za watu.

Na alikuwa na hoja za msingi. Ebu jiulize, kama watu hawajajitangaza wenyewe kuwa ni mashoga, utathibitishaje mahakamani kuwa ni mashoga?
 
Hapo namba 1 ndiyo panawaponza wengi,huwa wanajiona wajanja wanavyotukamua shilingi...
Siku amejichanganya unamuwekea ugoro kwenye kinywaji ili akatemoto kabisa..

Fahamu zikija kurudi anajikuta yupo peke yake room halafu amepakaza mavi kitanda kizima
 
Mbona akiwa belgiji au bbc huwa anaongea tofauti?
Hiyo BBC aliyoongea weka hapa tarehe kwani BBC hawafuti kitu, tukiingia BBC kwa tarehe uliyotupa tutakikuta unachodai, weka hapa acha porojo.
Sheria tajwa iliwekwa kwa nchi zote tatu za Afrika mashariki yaani Kenya, Uganda na Tanganyika na adhabu ya chini ya kifungo ni miaka 10.
 
baada ya kupata darasa sasa akili inanza kumkaa sawa
amechelewa tumechezwa na machale suku nyingi
 
Wanaowakula hao wanaume ni wanaume kutokea wapi? Ina maana hao 2 ndio wanawakula hao 8 wote jumlisha na wake zao? Hii mada inatisha sana na inafikirisha..
 


Mambo hayo ni haramu kwa mujibu wa sheria za Allah, sasa Mama alipaswa ampendeze Allah kwa kutamka hadharani kwamba Ushoga ni haramu na hautakiwi nchini kwetu potelea mbali akiwaudhi "Watu" lakini ampendeze Allah huku akijua ni Allah ndiye humpa mtu Uongozi kama huo alionao.
 
Mbona mashoga kitambo wapo tu
Na wanajichanganya na watu kama
Kawaida
Mitaani tu kwenye shuguli wakiweka vigodoro tu,mashoga lazima waalikwe
Waje wakate mauno.....huku watu wakifurahia
Ukija kwenye media huko mashoga wamejaaa kemkem
Ukija kwenye miziki yao ya sasa wasanii wanaambatana na mashoga

Ova
 
Katika kupinga swala nzima la ushoga naomba serikali iweke Sheria ya mtandao mwanaume ukipost umevaa GAUNI, DERA, BRAZIA au GAUNI.

Kuna baadhi ya wasanii wanavaa character za kike wanavaa nguo za kike wanapost video Katika mitandao Instagram,tiktok inabidi serikali ipige marufuku sababu jamii inaharibika unakuta mtoto wa kiume anaona kuvaa vitu vya kike ni kawaida.sababu ya Hawa wasanii

KATAA USHOGA LINDA KIZAZI CHAKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…