Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Musukuma naye anajua nini zaidi ya kuwa mropokaji tu? Mbunge mzima anataka mashoga wauliwe kimyakimya ana akili kweli? Hawa watu wanaoushupalia ushoga na usagaji ni kama wana marienge na makengeza, wapuuzi sana, wanajizima data na kujifanya hawaoni virutubisha ushoga na usagaji. Akili zao ni dumavu na zimeganda hazina uwezo kuona vichocheo na virutubisha mapenzi ya jinsia moja. Ni bora wabunge wabunge wakae kimya tu waache kubwabwaja maneno kuhusu ushoga na usagaji ni aibu kwa mujibu wa mila na desturi zetu
 
Tomboys na hao Wavulana hua wana bifu lao la kimya kimya si umeona hapo kasema walikua wananyang'anyana mabinti [emoji38]
Hua wanaamini Tomboys wanabeba mabinti warembo na wao wanaachiwa magalasa[emoji2960]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ushoga unapromotiwa Sana pamoja na usagaji na mkizingua tu kukataa wazi wazi ushoga misaada Inasitishwa.Ndyo tatizo la nchi masikini kama zetu tunaogopa kusitishiwa misaada.
Hawana cha kusitisha maana hatujawahi kupewa misaada zaidi ya kutunyonya!!
 
Tunataka tuwasikie Ester Bulaya na Halima Mdee wakikemea usagaji na ushoga bungeni!! Ni waongeaji wazuri lakini kwenye hili la ushoga na usagaji naona wamekaa kimya!! Inatia shaka!!
 
Ushoga unapromotiwa Sana pamoja na usagaji na mkizingua tu kukataa wazi wazi ushoga misaada Inasitishwa.Ndyo tatizo la nchi masikini kama zetu tunaogopa kusitishiwa misaada.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
 
Sio kwamba ni wasahaulifu. Tunaongozwa na mapenzi au chuki. Viwili hivi vinapofua.
 
Watunge sheria kuwe na mkaguzi na mdhibiti mkuu wa tuzi za Watanzania hiyo ndio kazi watakayoiweza hawa CCM.
 
Unafiki mwingi sana!!!
Msimamo wake ulitegemea hadhira (audience).
Akiwa kwa wananchi anawaambia ushoga haukubaliki, akiwa na watetezi wa LGBTQIA, anawatoa wasiwasi🙄
 
Tusikwepeshe mawe!! tuache unafiki wa kukemea hadharani ushoga huku tukiwa hatuna uthubutu wa kuwataja mashoga na wasagaji viongozi tunaowajua!! Kama hujui kusoma hata picha huwezi kutazama!


matendo kama haya yakifanywa na watu kama hawa walio maarufu kwenye jamii husababisha kuigwa na watoto hatimaye Taifa kuharibika!
 
Wafadhili wa vitendo viovu vya mapenzi ya jinsia moja usagaji na ushoga wamepamba moto ni wa wazi kila taasisi Shoga yupo huu ni utafiti wa kada za serikali na sekta binafsi hapa nchini.

Mashoga wameaza kuwa na sauti maeneo ya nyumba za ibada kadhalika kwenye semina mbalimbali zinazoendeshwa na mashirika mbalimbali hapo kabla mashoga walikuwa wanatumia siri kubwa wasijulikane ingali sasa wanatetea kwa sauti kubwa kwa kile kinachoitwa "haki za binadamu"

Kuna baadhi ya wabunge nao wako humo. katika mazingira kama haya 2025 si ajabu baraza la mawaziri akawepo shoga au mashoga kuwakilisha serikali katika mambo mbalimbali au huenda hata sasa wapo kwenye nafasi za juu za kisiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tomboys na hao Wavulana hua wana bifu lao la kimya kimya si umeona hapo kasema walikua wananyang'anyana mabinti [emoji38]
Hua wanaamini Tomboys wanabeba mabinti warembo na wao wanaachiwa magalasa[emoji2960]
Tena hao Tom boy ndio wanaliwa mno na wavuta bangi na wababe na wacheza mpira wa timu za kiume!

Na Wana vurugwa uwrmba maana wanajiona Ni wanaume ..hivyo wainamishwe tu.pesa za kuwahonga warembo wanazipata kwa msala huo!

Ni wakuwaonea huruma nao pia!
 
Itakua wa Buza hao
 
Dawa Yao ni kuwazika wakiwa hai watakwisha wote.
Tanzania sio sehemu salama kwa mashoga, waende hukohuko marekani wakatumie uhuru wao sio hapa kwetu Tanzania
 
Halafu mjue mnachanganya kati ya tomboy na lesbian, si kila tomboy ni msagaji, na si kila msagaji ni tomboy

Kuna matomboy wanaliwa, na kuna wanawake wana haiba za kike kabisa ila wanasagana, hivyo tomboy anaweza kuliwa ila lesbian haliwi yeye anasagana tu

Kama mwanamke anafanya vyote yani anasagana na analiwa huyo specifically wanamuita bisexual, anaingia kwenye kundi la B kwenye ile LGBT, maana yake anavutiwa na watu wa jinsia zote mbili siyo moja tu
 
Wapo tele.
 
Tayari tupo nao huoni wanavyo sita kwenye maamuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…