Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Labda nithibitishe kwanza, mimi napendelea sana maamuzi yanayofuata sheria ambazo zimewekwa - rules based orders.

Nimesikia kuna hawa wanamitindo wamewekwa kizuizini na mahakama kuamuru wakapimwe kama ni mashoga.

Sina ubaya na hilo kwasababu na mimi sisupport vitendo vya ushoga. Ila ambacho ningependa kujua ni kuhusu hayo mamlaka na nguvu ya mahakama kwenye vifungu vya sheria kuamua mtu apimwe kama yeye ni shoga pasipo idhini yake.

Nimeuliza hivo kwasababu, tusipokuwa makini, hii kitu inaweza kutumika kufanya defamation na character assassination.

Imagine leo hii mtu unafanya kazi ya maana na unakutana na watu wengi, unaheshimika na ukoo wako, halafu from no where unasikia kwamba umewekwa lock up kwamba ukapimwe kama wewe ni shoga. Halafu inagundulika kwamba sio kweli. Unadhani utachafuka kiasi gani?

Kuna kitu hakipo sawa kwenye hili. Kwa wanasheria Pascal Mayalla na wengineo embu tunaomba ufafanuzi kwenye hili.

Mi sio mwanasheria ila, nina guts feeling kwamba kuna kitu cha kisheria hakijakaa sawa hapa.
 
Kumbe nawewe ni bwabwaaaa. Nimekutoa respect zote hapa JF kwa huu uharo wako wa kipuuuzi
 
Kinachokuwasha washa ni kipi acha Mapunga washughulikiwe kwa njia yoyote. Hata kwa kupigwa risasi hadharan
Mi sio punga ila si support huo mtizamo.... ingekuwa vizuri zaidi bunge wakaweka sheria hadharani. Otherwise, kusema kuwashughulikia bila sheria, huo ni upumbavu wa hali ya juu...

Serikali ikitaka waende bungeni waweke sheria kali.... yetu macho kama hawa watu watafungwa....
 
Mkuu
Mahakama ndiyo chombo pekee chenye kutoa amri za kisheria.

Labda katika ile hati ya amri ya mahakama ya kuwapima uimara wa marinda watuhumiwa waliofikishwa mbele yake hawwkuweka vifungu kubackup ile agizo. Lakini kisheria Mahakama ina uwezo wa kuamuru upimwe bila ridhaa yako.

Watakuja wenye vifungu hapa lakini nadhani tuangalie kwa kina, kwa nini mabasha hawaguswi? Je wanatambuliwaje bila kukutwa kwenye tukio?

Sheria ina vikona kona vingi vinavyohitaji Mahakama kuvitafsiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…