Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Hamkushinda sodoma ,hamkushinda gomora na hamtashinda simiyu bomboclaat
 
Jina lako tu inaelekea wewe ni wale wale
 
Hamkushinda sodoma ,hamkushinda gomora na hamtashinda simiyu bomboclaat
Hahahaahaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

HIZO NI STORI TU. NGANO ZA KALE.

LEO KILE KIBABU KIZEE CHA UGANDA KIMEIFUTA ILE SHERIA YAKE YA KIHUNI.

NA HUYO NDIO BWANA WENU ANAYEWAONGOZA KWENYE VITA YA VINYESI.

SEMBUSE NYIE UCHWARA WA TANGANYIKA MNAOKULA UGALI KWA VIWAVIJESHI!
 
Mushi bwabwa aisee

Siamini wachaga wanefika huko kama mleta mada

Mleta kama wewe bwabwa badilisha jina jina la Mushi kwenye ID yako hakuna Mwanaume bwabwa shoga Moshi ukoo wa Mushi.
JADILI HOJA, USIMSHAMBULIE MTOA HOJA.

KWANZA WEWE DADA HIDAYA HUKO KWENYE LICHAMA LENU MMEFUGA MASHOGA SUGU WALIOJICHOKEA KWA MAGONJWA NA UFIRAUNI.

TUTAANZA KUWAPIMA NYINYI NA HAO WENZAKO AKINA NYALANDU NA MAKAMBA.

MPIMWE NA MFUNGWE JELA MIAKA SABINI ILI IWE FUNDISHO KWA WENGINE.
 
Hata mimi sijui sheria lakini najua mahakama inaweza. Kutoa idhini ya kupimwa mtu hasa linapohusika suala la
1.Madawa ya Kulevya
2.Ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia...nk
 
Vp boss wao wa usafini kaawapigania

Ova
Hapana wametokaa wenyewee.

Haikua sahihi kwa utaratibu ulio tumikaa, jinsi leo tulivyowaka IG nilikua winja winja kupinga huu udhalilishaji,

Yaan kwa page ya Mange leo nilikua utadhani PR, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Haki hushindaa bhanaaa.
 
Hata mimi sijui sheria lakini najua mahakama inaweza. Kutoa idhini ya kupimwa mtu hasa linapohusika suala la
1.Madawa ya Kulevya
2.Ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia...nk
Sasa hao walio tolewa order wanahusika na hayo uliyo sema?? Ndo maana tunapinga hapa sababu iko nje ya hivyooo.
 
Hata mimi sijui sheria lakini najua mahakama inaweza. Kutoa idhini ya kupimwa mtu hasa linapohusika suala la
1.Madawa ya Kulevya
2.Ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia...nk
MAHAKAMA HAIRUHUSIWI KWA NAMNA YOYOTE KUAMURU KUPIMA WATU MIKUNDUNI NA KUWASOMOMEZEA MADOLE KWENYE NJIA ZA MAVI.

KAMA MLINZI WA HAKI NA UTU WA WATU, MAHAKAMA INAPASWA KUZUIA VITENDO VYA SERIKALI VYA KUDHALILISHA WATU, NA SIO KUCHOCHEA AU KURUHUSU UDHALILISHAJI WA WATU.

KWA HILI, HUYU HAKIMU WA MAHAKAMA YA KIVUKONI ANAYEITWA J.J RUGEMALILA, ANAONEKANA NI WALE MAHAKIMU WA OYA OYA WANAOENDESHWA NA MIHEMKO NA MAAGIZO YA KISIASA.

HAKIMU HAPASWI KUWA OYA OYA, ANASHABIKIA WATU KUZAMISHIWA MADOLE KWENYE MAVI.

ANAONEKA HATA SHERIA HAKUSOMA, ALIBEBWA BEBWA TU NA KUPACHIKWA MAHAKAMANI ILI AHUKUMU WATU KISIASA NA KWA MIHEMKO.
 
Utakoma kwa nn umeleta uzi kwa Id Yako yenye vina saba vya Noel...kwa upande wangu wapigwe tu nyundo hata kama ni maisha ili iwe funzo kwa wengine
 
Kwa mfano ikipigwa petition upewe haki yako ya kulawitiwa peke yako bila kuhamasisha wadogo zako roho yako itafika kileleni na utaachana na huu uwakala wako wakishetani?
 
wewe nawe ni wale wale.
 
Mhhh utata utatani.
 
Hiyo ni kama jinai tu...wakibainika ni nyundo za kutosha...pumbafuuu zao..
Poleeeeeeh wee km ilitolewa order ya kupimwa na wametokaaaa, unadhani nn tenaaa??

Wako huruu na maisha yao ya kila siku km kawaida. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Teseka taratibuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…