Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Wanaume wanaovaa hereni na vinjuga vinavyobana wanaweza kuingia katika mikono wa wapimaji.
Labda nithibitishe kwanza, mimi napendelea sana maamuzi yanayofuata sheria ambazo zimewekwa - rules based orders.

Nimesikia kuna hawa wanamitindo wamewekwa kizuizini na mahakama kuamuru wakapimwe kama ni mashoga.

Sina ubaya na hilo kwasababu na mimi sisupport vitendo vya ushoga. Ila ambacho ningependa kujua ni kuhusu hayo mamlaka na nguvu ya mahakama kwenye vifungu vya sheria kuamua mtu apimwe kama yeye ni shoga pasipo idhini yake.

Nimeuliza hivo kwasababu, tusipokuwa makini, hii kitu inaweza kutumika kufanya defamation na character assassination.

Imagine leo hii mtu unafanya kazi ya maana na unakutana na watu wengi, unaheshimika na ukoo wako, halafu from no where unasikia kwamba umewekwa lock up kwamba ukapimwe kama wewe ni shoga. Halafu inagundulika kwamba sio kweli. Unadhani utachafuka kiasi gani?

Kuna kitu hakipo sawa kwenye hili. Kwa wanasheria Pascal Mayalla na wengineo embu tunaomba ufafanuzi kwenye hili.

Mi sio mwanasheria ila, nina guts feeling kwamba kuna kitu cha kisheria hakijakaa sawa hapa.
 
Poleeeeeeh wee km ilitolewa order ya kupimwa na wametokaaaa, unadhani nn tenaaa??

Wako huruu na maisha yao ya kila siku km kawaida. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Teseka taratibuuu
Na ww ni mwana upinde mwenzako Nini?
 
Wanaume wanaovaa hereni na vinjuga vinavyobana wanaweza kuingia katika mikono wa wapimaji.
HATA UKIVAA PENSI NA MAKOBAZI UNAWEZA UKAITWA SHOGA HALAFU UKAKAMATWA NA KUPIGWA MADOLE YA MKUNDUNI.

HIKI KIKOSI CHA SAMIA KIMEKAA KIHUNI HUNI TU. KIKOSI CHA KUPIMA MAVI NA KUCHOKONOANA.

UKIJICHANGANYA UNAINGIZIWA MAJITI KWENYE HAJA KUBWA. HALAFU UNAPACHIKWA JINA LA SHOGA.

HUYU MVAA USHUNGI ADHIBITIWE. ANAVUKA MIPAKA YAKE.
 
Waache tu wakenue meno, ngoja wamalize kuwapima hao wanaosemekana ni mashoga kwa sasa.
Kuna wapumbavu humu hawakuelewi ila siku wakikumbana na hali hii watakumnuka sana haya maandishi.

Kipindi cha magufuli ilikuwa ni kawaida ukitofautiana na serikali unakamatwa unawekwa ndani kwa kisingizio kwamba wanakupima kama ulishawahi au unatumia madawa ya kulevya.... Tuliona kina Mh mbowe, manji, wema sepetu nk wakiwekwa mahabusu kwa huku wskisubiria kupimwa kama wanatumia madawa hayo ya kulevya.

Sasa bora wakati huo! Chukulia sasa wewe ni fulani uko na familia yako sebuleni hujui hili wala lile ila ghafla tu unasikia kwenye runinga kwamba unahitajika ukapimwe kama wewe ni shoga au pengine umeshawekwa mahabusu ila taarifa zinafika kwa familia yako kwamba upo chini ya ulinzi na unahitajika ukapimwe.

Kuna namna ya kuwakamata mashoga maana wanatambulika kwenye jamii ila sio hii ya kumhisi mtu tu na kwenda kuchomeka vidole kwenye chemba ya choo! Huu ni udhalilishaji kwa wale watakaokuwa wamehisiwa

Viongozi wa serikali wa sasa wasipotafakari kwa makini watakuja wawe wahanga wa huu udhalilishaji maana tumezoea kuna tabia ya kudhalilishana na kukomoana kila awamu inapobadilika.

Tafakari
 
Pole sana mtoa mada.
Watu wengi ajenda ya Ushoga wanaijadili kimihemko, hawatumii AKILI ndio mana, dude linakuwa kwa kasi.

Naomba sasa nijibu Swali lako.

Kwenye Kipengele namba 154 (3) cha Penal Codes imewekwa bayana kuhusu adhabu ya mtu anayeingilia mwengine au mnyama kinyume na Maumbile 'Order of nature' ataadhibiwa miaka kumi na minne jela.
View attachment 2595824

Lakini kwenye kipengele cha 110 (b) kinahalalisha mshtaki, ambaye kwenye hii kesi ni Jamhuri kuthibitisha madai yake. Zoezi linaloendelea ni kutafuta ushahidi, na ikiwa mtuhumiwa atazuia au kutotoa Ushirikiano wakati wa kupima atakuwa ametenda kosa, kaa mujibu wa kifungu hiko atakuwa ametenda kosa na ataadhibiwa kifungo cha miaka mitano.
[emoji28]
IMG_20230422_064422.jpg



Hakuna mahala pameandikwa kuhusu kupima shimo, ila sheria inataka mshtaki atoe ushahidi wa madai yake. So hatua hiyo imechukuliwa kuthibitisha mashtaka

Unadhani wanaweza kuthibitisha vipi? Kwa njia nyingine labda
Ni hayo tu.

Sent from my OPPO A57 using JamiiForums mobile app
 

Attachments

  • IMG_20230422_064512.jpg
    IMG_20230422_064512.jpg
    38 KB · Views: 8
ndo umejiona ushapata maisha?
HUKO ULIPO NILISHAPITA SIKU NYINGI SANA.

MIMI SITISHWI NA WATOTO WADOGO WANAOKULA UGALI KWA VIWAVIJESHI. UTAFARIKI KABLA YA WAKATI.

NA UKAMUELEZE HUYO SAMIA, KWAMBA HII NCHI SIO JAMUHURI YA MACHIZI. HATUTAMRUHUSU AWAINGIZIE VIDOLE MIKUNDUNI VIJANA WA HILI TAIFA.

NCHI IKIMSHINDA AKAE KANDO, KABLA HAJAWEKWA KANDO.
 
Back
Top Bottom